Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

mdogo wangu kaaply kazi huko zoomtanzania ..kwenye e mail katumia hii e mail na wanatakiwa wacangie elfu 20.. je kuna ambaye ameshakutana na hii kampuni before? vipi uhalisia wake? nauiliza sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu amemaliza certificate ya Metrology hapo CBE anaomba kujuwa anaweza kupata ajira wapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari jamani natafuta Mfanyakazi wa salon awe mwanamke/mwanaume awe mtaalamu wa mambo yote ya salon Ajue kusuka, kushonea na kubond weaving aina zote, kuset na kubana style zote n.k Kwa yeyote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu, Nirejee kwenye kichwa cha habari, mimi nimuhitimu wa kidato cha sita na nimepitia mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mujibu wa sheria, kutokana na hali mbaya...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
kampuni medium size, iliyosajiliwa Brella, CRB na TRA yenye uzoefu wa kutosha kwenye shughuli zilizoonyeswa na nyinginezo inatafuta mbia kwa njia yoyote ikiwemo mkataba wa kufanya kazi na dalali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majina ya walioitwa kwenye interview dodoma yametolewa kwenye gazet gan?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Requirements: At least a Diploma in Accountancy, Financial Management, Business Administration and/or related discipline Job Description: Maintain relevant books of accounts along with...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
POLENI KWA MIHANGAIKO YA HAPA NA PALE, JAMANI MM NIPO MAFINGA IRINGA KWA SASA, NIMECHEKECHA AKILI HARAKA HARAKA NIMEGUNDUA NINAPOISHI KUNA RASIMALI NYINGI YA KUNI, OMBI LANGU KWENU NAOMBA KAMA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
​Wana Jr. please mwenye update za EGPAF tujuzane pls! thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu wote, jamani kuna business opportunity meeting inafanyika JB Bellmont tar 15 Aug 2013 card ninazo kama unaitaji wasiliana nami kwa namba hii 0754/0715 297298. Sent from my BlackBerry...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Guys mimi nataraji kumaliza chuo mwezi wa 11 fani ya umeme level 2,je mnaweza kunisaidia kupata nafasi katika kampuni yoyote baada ya kumaliza chuo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangazo limekuta mahali sasa sijui Lina ukweli maana silielewi ebu na nyie wadau lifanyieni kazi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Niwasalimu wana bodi.. Ni w'kend hii ambapo nilikuwa na mazungumzo na rafiki yangu mmoja ambae tumemaliza nae chuo mwaka jana. Jamaa bado hajapata ajira na haoni ayo matumaini kwani anatumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu. Kuna watu ambao wanataman kuwekeza katika kilimo ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi napenda kuwasaidia watu wa namna hiyo, ni hivi kila ekari unanipa tsh lak 4...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani habarini,naomba mwenye majibu ya hiyo shda yangu please kwani lengo nijaribu kuomba walau internship maana hal ni mbaya jamani,so kama una ndugu,jamaa au rafik ukini link nae itakuwa powa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimemaliza ..bachelor ya guidance and counselling..mwaka huu...nahitaji connection walau nipate hata N.G.O ya kufanya kazi ili nipate experience kwanza..jaman..mwene kufaham tujuzane..tanzania sis...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Guardian Newspaper Christian Social Services Commission (CSSC) is an ecumenical body established in 1992 by Tanzania Episcopal Conference (m) and Christian Council of Tanzania (CCT) to facilitate...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wote waliokuwa wamefanya usaili kwa ajili ya ajira serikalini kupitia Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma kabla ya ajira kusimamishwa, watafutwa ndani ya miezi 6 na kulazimika kuomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna nafasi mbili za kazi ya Marketing and Administration Executive. Details zote zinapatikana kwenye attachment. Kila la kheri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu. Nnatafuta kazi ya utengenezaji wa mashine za maofisini na stationary: Photocopy machine, printer, computer, scanner, lamination and fax. Nimesomea VETA Chang'ombe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom