Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Closed
Job Title : Managing Accountant Requirements : Bcom degree and/or professional accounting qualification (e.g. ACCA, CCMA) Job Description : Ensure that employees and contractors adhere to safety...
0 Reactions
35 Replies
67K Views
  • Redirect
Habari ndugu wana jf Kama kichwa cha habari kinavojieleza ningependa kuuliza kkuhusu nafasi za JKT za kujitolea mwaka huu zitatoka lini. Mwenye taarifa atujuze ili tujipange vizuri, ahsanteni sana
4 Reactions
Replies
Views
Wana jamii, Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
0 Reactions
161 Replies
65K Views
Kwa wale walioomba nafasi mbali mbali za Kazi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mnaarifiwa kuwa kutakuwa na mtihani wa kuandika kwa tarehe tajwa hapo juu. Wale tu watakao faulu wataitwa kwa...
3 Reactions
82 Replies
64K Views
Kama nilivyotanguliza hapo juu naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya diploma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
162 Replies
63K Views
Wakuu poleni na majukumu. Jamani naombeni msaada mwenye barua yoyote yakuomba nafasi ya kujitolea aniwekee hapa au antumie wasap no 0752269392
0 Reactions
8 Replies
62K Views
Mapema leo katika chuo cha DUCE na Kigamboni, Vijana waliitwa kwenye Usahili. Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakifanya mtihani wa usaili kwa ajili ya nafasi za kazi katika Mamlaka ya Mapato...
10 Reactions
282 Replies
62K Views
Nafarijika sana Ninaposikia kauli ya ahadi ya mh.Rais wetu kuhusu kutoa nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania katika jeshi letu imara (Jwtz) na kutoa kipaumbele kwa vijana ambao wamepitia...
5 Reactions
204 Replies
61K Views
Current vacancies Tanzania National Parks (TANAPA) is a parastatal organization charged with legal mandate to manage and regulate the use of areas designated as National Parks so as to...
0 Reactions
22 Replies
60K Views
  • Closed
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi chote cha mwezi Juni, Julai na...
9 Reactions
44 Replies
59K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku! Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test ya bank ya TPB huwa inakuaje? Au maswali yake huwa vipi? Maana nimeitwa kwenye interview...
4 Reactions
430 Replies
59K Views
TUKIWA KAZINI NA JAMAA ZANGU MAZUNGUMZO YALIKUWA HIVI NI WAPI WANAONGOZA KULIPWA MISHAHARA MIREFU HAPA TANZANIA? NI UN WENGINE WANASEMA NI WORLD BANK NA FICSA WENGINE WANASEMA NO ni AMREF KUNA...
4 Reactions
132 Replies
59K Views
Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa...
7 Reactions
271 Replies
57K Views
Kwa Wale Wote waloomba Posts mbalimbali za TPA majina ya USAILI yametoka. Kwa maelezo zaidi pakua Documents hapo chini
7 Reactions
564 Replies
56K Views
Mambo job seekers wenzangu? Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021? Tunataka tukajaribu bahati zetu.
5 Reactions
544 Replies
56K Views
Wadau nasikia hawa jamaa wametoa nafasi za kazi,hebu mwenye hlo tangazo au updates zake tuambiane. EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The National Social Security Fund (NSSF) which is the leading...
0 Reactions
98 Replies
56K Views
Jamani napenda kuomba kufahamu mishahara ya askali magereza kuanzia ngazi ya chini kwa anaye fahamu naomba atujuze jamani kufahamu sio ujinga tujuzeni tuu ndugu zenu ili tufahamu please kwa anaye...
5 Reactions
205 Replies
56K Views
Wahi sasa kwa Maelezo zaidi nipm Nikuombe vocha
16 Reactions
211 Replies
56K Views
2.2. ASSISTANT CUSTOMS OFFICER – (40 VACANCIES) 2.3.1. Purpose of the job To ensure the correct declarations of both import and export entries, and correct any anomalies and...
4 Reactions
78 Replies
55K Views
Naomba msaada wa kujua basic salary ya bank officer wa bank ya nmb. Nimepata huko but kabla ya huko nilipata kwenye NGO moja kwa mkataba wa miaka 2 na sehemu zote natakiwa kuripot mwezi huu...
1 Reactions
105 Replies
54K Views
Back
Top Bottom