Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa kibali cha nafasi za ajira ya walimu ili kujaza nafasi wazi zilizopatikana kutokana na walimu waliofariki, walioacha kazi...
16 Reactions
443 Replies
132K Views
Habari wakuu .. Kama wewe ni kijana upo kwenye vigezo vya kufuatilia kazi ya bomba la mafuta ,training dit ,na season za online tukutane hapa kupeana updates na taarifa mbali mbali ...
15 Reactions
441 Replies
34K Views
Miezi michache iliyopita wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wamemaliza mitihani yao ya mwisho wa mwaka. Na kati yao kuna ambao wamemaliza masomo yao ya elimu ya juu. Kwa sasa wengi wanaomaliza...
250 Reactions
433 Replies
260K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku! Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test ya bank ya TPB huwa inakuaje? Au maswali yake huwa vipi? Maana nimeitwa kwenye interview...
4 Reactions
430 Replies
59K Views
Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa...
27 Reactions
422 Replies
51K Views
Habari zenu, Kama unatafuta kazi kwenye hizi NGO's ziwe za Local au International kuna usanii mkubwa sana kwenye kuajili au kwenye ajira zao. Yani wanajifanya wanatangaza kazi na kuita watu...
87 Reactions
415 Replies
82K Views
Binafsi nimeshawahi kufanya kazi kwa Muhindi kama Bosi wangu. Kipindi naanza kazi nilikutana na ahadi kibao na mambo mazuri mazuri tuliahidiwa kama kazi ikiwa nzuri marupurupu yataongezeka...
25 Reactions
413 Replies
49K Views
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya...
11 Reactions
407 Replies
126K Views
Moja kwa moja kwenye mada... Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hawajui hatima ya maisha . Kwa interview baadhi yao wanaitwa lakini nyingi ni kama danganya...
28 Reactions
404 Replies
75K Views
Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
23 Reactions
393 Replies
39K Views
Wakuu habari ya asubuhi Naomba msaada namna ya kuappy kazi online ualimu daraja la IIIA ngazi ya cheti(astashahada) kupitia OTEAS TAMISEMI. 1. Utaratibu mzima wa uombaji 2. Viambatanisho gani...
1 Reactions
386 Replies
118K Views
Nmejaribu tangu muda walioweka nakuwa rejected sijui shida imekuwa nini na muda umeisha kuna yeyote aliepata shida kama yangu kazi ndo imepita hivyo
5 Reactions
379 Replies
44K Views
Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu...
63 Reactions
379 Replies
16K Views
Hakika hali ni mbaya. Katika mizunguko yangu ya kumalizia weekend, nikasema niingie kwenye ki-pub kimoja cha mtaani nipate hata ka-bia kamoja kupoza Koo. Mhudumu mdada aliyenihudumia ni graduate...
40 Reactions
378 Replies
22K Views
Salute Comrades Habari za muda wanandugu. Person Details Name: Da'Vinci Sex: Male Marital status: Single Location: Western Tanzania (Lake zone) Nationality: Tanzanian Age: 28yrs Education...
46 Reactions
369 Replies
27K Views
Inakuaje wazee? Mwenye experience ya interview za utumishi kada za auditor II pale NAOT na Loan officer II HESLB atuwekee hapa tujiandae.
4 Reactions
365 Replies
44K Views
Watu ni wengi sana na bado wanazidi kuja, kama ni mechi basi ni sawa na wale wanaoingia katika mechi za simba/yanga wanapocheza na timu za mikoani. Ulinzi naona ni jukumu la askari magereza...
7 Reactions
352 Replies
48K Views
Wakuu habari za muda huu... Katika harakati zako aa kutafuta kazi ni swali gani uliwahi kuulizwa katika interview/usahili likakutoa jasho au ukawa unajibu huku unajua kabisa kama unajibu upuuzi...
11 Reactions
348 Replies
51K Views
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below: 1.0 INVESTIGATION...
14 Reactions
337 Replies
45K Views
Waungwana naomba nifahamu mshahara wa msimamizi wa jumuiya miradai ya usambazaji wa maji vijijini RUWASA.
2 Reactions
323 Replies
46K Views
Back
Top Bottom