Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka...
14 Reactions
669 Replies
72K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana...
8 Reactions
650 Replies
71K Views
UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua...
67 Reactions
587 Replies
102K Views
Kwa ambaye anajua hii system ya TaESA atusaidie Ni kweli inatafutia watu kazi? Au internship?
12 Reactions
568 Replies
71K Views
Kwa Wale Wote waloomba Posts mbalimbali za TPA majina ya USAILI yametoka. Kwa maelezo zaidi pakua Documents hapo chini
7 Reactions
564 Replies
56K Views
Hata kama ni jobless, bado maisha inabidi yaendelee. Pengine muda huu, kuna jobless wa Mungu anakaribia kukata tamaa au ameshakata tamaa kwa sababu hajui afanye nini au mishe mishe gani kusukuma...
54 Reactions
551 Replies
36K Views
Mambo job seekers wenzangu? Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021? Tunataka tukajaribu bahati zetu.
5 Reactions
544 Replies
56K Views
Hello wana JF . Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako. Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta...
11 Reactions
517 Replies
87K Views
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA Updates Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma...
4 Reactions
513 Replies
74K Views
  • Closed
Aise! Sijapata kuona mkaka ana roho mbya kama huyu daaah just imagine mtu unafanyishwa intervieww ngumu for 40 min maswali magumu haijapata kutokeaa unapass, Second interview inakuwa ya skype...
29 Reactions
505 Replies
67K Views
Heshima yenu wakuu. Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku. 1. Ninaishi Kigamboni 2. Umri wangu...
31 Reactions
503 Replies
32K Views
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi...
24 Reactions
491 Replies
51K Views
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu, plz naomba anijulishe. Elimu yangu ni ya vidato 6. Sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafsi tu na hiyo kazi..
10 Reactions
487 Replies
278K Views
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu...
10 Reactions
481 Replies
94K Views
Application 14/02 to 27/02 Shortlist release may first week Interview June Good day brothers
11 Reactions
479 Replies
111K Views
Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila...
9 Reactions
479 Replies
42K Views
Wadogo zangu wakike na wakiume. Naomba niwashauri kitu kimoja tu siku ya leo. Kama ukipata kazi nchi za uarabuni basi ni nchi mbili tu ndio bora, salama na mishahara mizuri. DUBAI na QATAR hizi...
33 Reactions
468 Replies
81K Views
Habari wadau, Huu ni uzi spesheli kwa waliowahi au walioajiriwa, kwa wale wataalamu wakujiajiri hapa siyo sehemu sahihi. Kuna njia mbalimbali ambazo watu huzipitia ili kufikia kwenye ajira, wapo...
29 Reactions
457 Replies
85K Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
455 Replies
36K Views
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa...
38 Reactions
453 Replies
18K Views
Back
Top Bottom