Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wana JF, ni hatari ikiwa tumefikia hatua ya kubaguana kidini kwa kiasi hiki. Taasisi hii inahitaji wafanyakazi, lakini sio tu wskristo, bali ni lazima wawe Waanglikana. Huku hakuna mwisho mwema...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu changamkie dili hilo NMB wamwaga Ajira. Tembelea hapa www.nmbtz.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Farm Radio International (FRI) Tanzania Office Call for Application Position title:Youth Engagement Officer, Integrated Mental Health Program Position Location: Arusha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa jf! Mimi ni mdau wa jukwaa hili hebu tushauriane ktk hili maana km kwel wafanyakazi wote wanafanya hy bac serikal inawalipa mishahara y bure wafanyakazi wake! Mm n mfanyakazi wa sekta...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Wadau majina 93 tu ndio yametoka leo kwa ajili ya kuhudhuria usahili wa mahakimu wa kazi ,tume ya mahakma kuanzia tareh 18 August.
1 Reactions
15 Replies
6K Views
ivi tume ya utumishi wa mahakama barua zao za kuomba kazi huwa zinandikwa kwa kingereza au kiswahili??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana JF, any update khs ppf kwa interview zikizofanyika DUCE?
0 Reactions
0 Replies
790 Views
jamn nsaidieni waungwana
0 Reactions
3 Replies
9K Views
nisaidieni wana jamii forum
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Hawa jamaa inaonekana wamepewa tenda na Jiji la Dar, bila kukubaliana mipaka ya kazi au kwa kujisahaulisha ili kuweza kupitisha mambo yao ndani yake. Tamko la mkuu wa mkoa wa Dar MECK SADIKI...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
mimi natafuta kazi ya kuhudumia kwenye mgahawa
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa...
27 Reactions
422 Replies
51K Views
Vipi wadau ANAITAJIKA dereva wa kike au kiume ambaye atakuwa delivery man or woman to different locations in Dar es salaam.Anatakiwa awe na good track record na awe na uzoefu usiopungua 6months...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman tushaitwa tulioapply lile tangazo la deadline tar 11 july.nenda kwa web yao for more info
0 Reactions
25 Replies
5K Views
hii ni demo ya website yangu... yoyote anaye vutiwa na mimi na tukaweza kutengezeza kwa ajill ya project yoyote anakaribishwa.. link ShopChap online system
0 Reactions
0 Replies
752 Views
habari wanajamvi nimemaliza chuo hivi karibuni natafuta tempo yeyote plz nipm
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Wanahitajika mafundi 2 wa magari kwa ajili ya ofisi ya kufanya matengenezo madogo madogo ya magari na pikipiki. Wanaotakiwa sio mafundi bingwa bali ni wenye uwezo na uzoefu wa wastani wa ufundi wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Sales executives wanahitajika kwa ajili ya kutafuta wateja wa vifaa vya kielectroniki. Malipo ni kwa commission inayoanzia shilingi elfu 40 hadi elfu 50 ka kila kifaa/ mashine itakayopata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A. FRANK AFRICA Geotechnical Engineering Contractors Works Manager Secretary/Administrator Auger Drill Rig Operator CV and cover letter to Frankpile International Projects 112 Amverton Tower...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari. Kumekua na uhadimu wa watu wenye utaalamu wa maswala ya ufugaji wa samaki.wengi wamekua wakifuga pasipo kujua namna halisi ya kufanya ili kufuga kwa faida...hivyo nikiwa kama mtaalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom