Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wadau kwa aliye wahi kuomba kazi ya mtendaj kata na katibu muhtasi ama msaidiz wa ofisi hyo halmash.imeita kwa usail ktk gazet la Mwananch la leo.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU) which is located in Lushoto District, Tanga Region is an institution owned by the North-Eastern Diocese of the Evangelical Lutheran Church in...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kutokana na changamoto mbali mbali za ajira..Mimi kama kijana wa kitanzania ikanibidi nifikirie nyia nyingi za kujikwamua na kupata kipato ambacho kitakuwa cha halili na kunisaidia kujikwamua...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani wadau hasa job seekers kuweni makini na mtu anayeitwa John Robert anatamia namba 0715811260. Huyu ni tapeli wa kimataifa atakupigia simu kuhusu kazi muogope sana huyu!! Me alinijaribu Mara...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Yeyote anayetafuata mfanyakazi wa stationery nipo hapa. Nimesomea komputer na nimefanya kazi kwenye stationery tatu nina uozoefu. Napatikana Dar es salaam , just pm me thanks email yangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kutoka chuo cha mzumbe,,natafuta sehemu yakujitolea ili kupata ujuzi zaidi kama unahisika tafadhali ni pm.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
HABARI WANAJAMIIFORUM, SIKU HIZI KATIKA AJIRA ZINAZOTANGAZWA HUWA WANAWEKA KIGEZO CHA AGE LIMIT, MFANO NOT MORE 30YRS OR 35YRS. MIMI SIJUI NA NAPENDA KUJUZWA KIGEZO CHA AGE LIMIT KINASAIDIA NINI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nina CCNA (Cisco Certified Network Associate ) pamoja na diploma ya Computer Engineering toka DIT kwa anayeweza nisaidia sehemu nikaweza jishkiza tafadhali msaada wenu.0715 425353.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naomba msaada kwa watu ambao wamefanya interview miaka iliyopita. Hii inawalenga wale graduate toka vyuoni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kutoka Gazeti la Mwananchi 25 August Kwa Mujibu wa Kibali cha Ajira Na CB 170/377/01/E/52 cha tarehe 16 Julai, 2014 kutoka kwa Katibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
jameni wandugu naombeni mnisaidie kwa ili nimesomea mambo ya uchumi na natafuta kazi sasa huu mwaka wa 2...ata kama internship ikipatika ni sawa tu
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama kawa akina Nchimbi wapo, Lowassa wapo, Hokororo wapo. Jamani yale majina yapo ila hatuna kwa kusemea acha wapewe kazi bana.
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Wakuu nimepokea simu mbalimbali usiku wa kuamkia leo vijana zaidi ya 50 wamekubaliana kuandamana mpaka ofisi za UHAMIAJI wakitaka kujua hatma yao. Lengo la maandamano ni kuitaka TUME ieleze...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
wadau km mnakumbuka 2weeks ago nliomba kujuzwa jinsi American embassy wanavyosaili , shaidi wangu akiwa ni mungu nlipata wadau 2 ambao walinitoa tongotongo kwa ushauri na format nzima ya usaili ...
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani tueleweshane nimeona wametangaza hzo ajira kwa mf.mtendaji wa kata kwa mkataba sa sijaelewa ukipata ukafanya na wakat huo huo ukapata kazi kwingine unaruhusiwa kutoka?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
LAND O' LAKE, SINC. INTERNATIONAL DEVELOPMENT INNOVATIVE SOLUTIONS FOR GLOBAL PROSPERITY JOB VACANCY: INNOVATIONS IN GENDER EQUALITY (IGE) PROGRAM The Tanzania Innovations in Gender Equality...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wanajamii. natafuta college ya kufundisha masomo ya hesabu, economics, statistics, research methodology.. and other related subjects. Nina degree ya economics and statistics.. nina upper...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sifa.Awe amewai kufanya kazi stationary kuanzia mwaka mmoja au miwili nakuendelea, awe amewai kufanya kazi ktk mazingira ya chuo kikuu, awe na elimu kidato cha nne na kuendelea na pia awe mkazi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Company: VIETTEL TANZANIA 2. Employment field: Senior Accountant 3. City: Dar es Salaam 4. Office address: Plot 145, Regent Estate, Migombani street, Mikocheni A, P.O. Box...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi kuna jamaa yangu ambae tulifanya wote usaili mwezi wa nne amenipigia simu kuniambia kwamba amepangiwa kituo cha kazi tena ameniambia yametoka majina manne tu. Swali langu ni kwa nini yatoke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom