Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wakuu: naomba msaada kwa wanajf wenzangu mnaofahamu mahali zilizipo Ofisi za nyumbu kibaha! Ningependa nielekezwe nitafikaje iwapo ninatokea dar! Ahsante!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JM Forum Mimi ni kijana niliyemaliza diploma ya computer science natafuta kazi UZoefu;Nimemefanya kazi New habari co-operation kwa muda wa miezi minne kama field.Na pia nimegundisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shule ya secondary compassion missionary sec school inaitaji mwalimu wa masomo ya chemistry na biology.shule ipo morogoro wilaya ya kilombero.dead line 1 december 2014 12.00p.m kama upo tanyari...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimemaliza Stashahada ya Ualimu katika chuo cha Ualimu Morogoro (Kigurunyembe), Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Kiswahili, History, Civics na Geography katika shule yoyote hapa Morogoro...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau utumishi intavyuu ya hr wanataka tukae mtaani tu nn?inakuwaje mtu apimwe kwa maswali mawl?tena ya topic moja?scenario za kushiba mhhhh
2 Reactions
122 Replies
18K Views
Wakuu pitieni website ya utumishi majibu yamewekwa. Hongera kwa waliofaulu na waliofeli msikate tamaa,MUNGU yu pamoja nanyi.
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Guardian Newspaper Christian Social Services Commission (CSSC) is an ecumenical body established in 1992 by Tanzania Episcopal Conference (m) and Christian Council of Tanzania (CCT) to facilitate...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posted on Oct 16th, 2014 Program Manager Employer: Tanzania Water and Environmental Sanitation (TWESA) Deadline for applications: 5pm Friday 31st October 2014 This contract is for a full-time, 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello, kwa yeyote mwenye kufahamu Shule ambayo ninaweza kupata Part time teaching, hasa jijini Dsm. Anielekeze tafadhari: Sina taaluma ya moja kwa moja ya ualimu, bali nina uwezo wa kufundisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimehitimu form six 2009 mchepuo wa HKL, nina division one point 6, napatikana mkoa wa Tabora
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau... Samahan naomba kujuzwa kwa mwenye info yyte kuhusu nafasi za jkt kujiunga kujitolea kwa mwaka 2014/2015 naomba anijulishe... natanguliza shukran!
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Hivi kweli maswali ya paper ya written yanatosha kua ni kigezo cha kuchuja waombaji . Ma auditor wanaofanya statutory audits and other engagement,wanapewa maswali ya economics na...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakubwa, Hivi ni kweli kutokua na cheti cha computer, hupunguza uwezekano wa kuitwa kwenye usaili au kutoitwa kabsa?
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Nina masters ya community development na project management natafuta kazi/volunteering nisaidieni. Niko tayari kufanya kazi popote. Niligraduate mwaka jana mwezi 11. Help...!
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna mdogo wangu mdada ana agents wake huko nje ya nchi ambao humletea wageni.sasa anahitaji mtu ambae ana kampuni ya utalii ambayo ina sifa zifuatazo; -iwe na uzoefu wa kufanya kazi na...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna wakati serikali ilipiga marufuku recruitment agents lakini kila siku naona wanatangaza kazi , mfano HR solutions, jobmakini, cv people, radar n.k. Lile agizo la serikali vp?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Watanzania wenye ubunifu na ideas tofauti kwenye mambo ya biashara/elimu na teknolojia (video games,software,websites) wanahitajika..ideas zako tu, mengineyo unawezeshwa....wenye interest/maswali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta kazi ya kufundisha business subjects ktk shule yoyote ya O level na A level nauwezo mkubwa wa kufundisha Accountancy,Economics, Commerce & bookkeeping in O LEVEL nipo jijini Mbeya unaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mhudumu wa stationery anahitajika sinza awe anakaa karibu na sinza anayependa kujifunza elimu form 4 mchangamfu mshahara maelewano asizidi miaka 25 atume cv kwenda saidibakari228@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,mimi ni kijana,nipo dar natafuta kazi ya udereva,nina cheti cha form six,ufaulu ni division III,Nina 2 principal pass,1subsidiary,certificate of attendance ya computer...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom