Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Hbr ndg........... ninatafuta kaz ya kufundisha elimu yang ni kidato cha sita.... uwezo na ujuzi wa kufundisha kidato chochote ninao masomo yangu ni geograghy na kiswahili...... nipo tayari kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani pepa mliionaje? Mi nsha surrender mapema, majibu kesho Best wishes kwa watakao bahatika kwenda oral,
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani kuna yeyote ambaye amepigiwa ama sms kutoka hawa jamaa,kuhusu matokeo jana!!?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kweli Tz ajira ni janga kwa graduate, hili linaendelea kujirihidhisha hata katika interview ya leo ya NSSF gundua watu waliojitokeza kufanya interview ni zaidi ya 5,000. du ni shidaaaah kwa kweli!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau swala la ajira kwa TZ ni janga kwa graduates, hii inadhihika baada ya kuona vijana waliojitokeza kwenye interview palew IFM kwa kazi ya Oporations officer iliyotangazwa na NSSF mwezi July.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la polisi imetoa majina ya vijana watakaoenda CCP moshi baada ya usaili uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu... tembelea www.policeforce.go.tz
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nipo DSM nina miaka 20 nimesomea microsoft word, powerpoint, excell, publisher, internet nk. Mshahara nataka 150,000/= na mahitaji yote nipate kwa anayeniajili. Napatikana 0757191544.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kichwa cha habari chajieleza wadau
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wanaopiga interview ya NSSF asubuhi hii msisahau kushare nasi maswali mtakayokuwa mmekumbana nayo huko ikiwezekana mscreen shot baadhi ya maswali na mtutumie kwenye jukwaa
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua...
1 Reactions
152 Replies
33K Views
If you find yourself competent and meet all personal specifications mentioned in the attached advert, please submit: 1) Application letter 2) Detailed CV not exceeding 5 pages 3) Copies of the...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Wadau nasikia hawa jamaa wametoa nafasi za kazi,hebu mwenye hlo tangazo au updates zake tuambiane. EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The National Social Security Fund (NSSF) which is the leading...
0 Reactions
98 Replies
56K Views
GREENBIRD SECONDARY SCHOOLS LOCATED IN MWANGA KILIMANJARO WISHES TO ANNOUNCE THE OPEN VACANCY FOR THE MENTIONED SUBJECTS ABOVE.. apply at director@greenbirdinstitutions.org the interview will be...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimemaliza mwaka huu, bcom finance, natafuta nafasi za internship......
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau?? TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!! Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14! Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!! Vitu vya...
0 Reactions
169 Replies
40K Views
Hv mwalimu wa degree anaeanza kazi anapokea sh ngap kama take home
0 Reactions
42 Replies
14K Views
Sijui Hizi Ofisi Zinapatikana Wapi Kwa Hapa Dar Yeyote Anayejua Anisaidie, Ili Nilete Barua Ya Maombi Hapo Ahsante Jigo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
We are looking for a motivated freelance Country Manager (m/f) as soon as possible who masters the local and English language fluently to lead our Kenyan and Tanzanian team in order to make our...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarin wana jamvi naomba kujua yeyote mwenye taarifa na hawa recruiters wa jobs in Dubai.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nimewahi kufanya kazi kama cashier, kama accounts assistant , kama administrator, kama store keeper namba yangu 0763141424
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom