Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wapendwa naomba kujuzwa mishahara ya TAA scale TAA 3, TAA 4, TAA 5 nashukuru wadau.
1 Reactions
6 Replies
11K Views
Nina bachelor degree in Social Work ninapenda kufanya kazi sana za watoto kwa kiasi kikubwa .Inshort I love them kids ,nikifanya nao kazi au nikifanya kazi yyote inayowahusu wao uwa nafarijika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi, Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata kibarua katika magari ya mizigo. Kama yanayochukua mazao Mikoani na bidhaa mbali mbali. Nimejaribu kutafuta kibarua kulingana na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wadau waliofanya usaili TFDA kuna mtu yeyote mwenye taarifa ya Matokeo ya usaili uliofanyika DUCE tar 24/1/2015?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mi ni kijana,graduate wa mwaka 2014 udsm bachelor of arts in Economics mwenye uwezo wa kufanya kazi kwenye vitengo tofauti tofauti kama finance, planning, research, customer services, cashier na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari.... Mimi ni kijana, nimemaliza degree yangu ya kwanza UDSM mwaka 2014, katika course ya bcom finance........ Naomba mnisaidie nafasi ya internship/ kazi ili niweze kupata uzoefu, maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania Football Federation Career Opportunity Tanzania Football Federation is a sports organization registered in the United Republic of Tanzania under the National Sports Council Act of...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mwenye connection na kazi hizo juu anisaidie tafadhali...asanteni
0 Reactions
0 Replies
695 Views
msda mwenye uwezo wa kusaidia kupatikana kwa ajra kwa fani hapo juu anisaidie
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Awe anaishi kibaha maili moja Awe amehitimu cheti cha mafunzao ya elimu ya chekechea Awe msichana mwenye umri 18-30 Awe tayari kufanya kazi katika hali yoyote ile. Mwisho wa kuleta maombi ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habar yenu member wenzangu,mimi ni kijana wa miaka 23 nimehitim astashahada ya kilimo na mifugo naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Wakuu mimi nina GPA ya 3.4 sasa nina wasiwasi kama naweza nikapata kazi serikalini hasa utumishi wa umma
0 Reactions
58 Replies
20K Views
Wanajamii...! Naomba msaada kwa hili, benki ya posta wametangaza nafasi ya kazi ila kila nikituma kwa anuani yao waliotoa kua maombi yote ndio yapitie hapo mail yangu haipokelewi kabsa. Sasa sijui...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1: ACCOUNTS and MICROFINANCE mwenye uzoefu walau miaka mi tano katika kazi za Microfinance na accounts, Aweze kuandika business plans, kuanzisha, kusimamia na kuendesha microfinance program...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
naitaji kazi ya hotel ila sijasomea na nauzoefu na kazi hii kwa mda wa miaka 3
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama kichwa kinavyosomeka anahitaji mfanyakazi wa kike kwenye saluni ya kiume tabata segerea kwa aliyetayari tuwasiliane 0719130138
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. web/blog administrator. 2. social networks administrator. 3. sales marketing. any one qualified to do that is worth send your application and cv gamymaestro@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Vikundi, Taasisi Mbalimbali Shule, Kanisa, NGO, Kampuni Na Wote Wenye Kuhitaji. Natoa Mafunzo Ya Ujuzi Na Ujasiriamali. Baadhi Ya Key Issues: >Kilimo Hai Kupitia Mradi Wa Slow Food...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa jina Martha natafuata temporary job ya ufundishaj somo la Geography na mambo ya utalii kwa mkoa wa Arusha kuanzia mwez wa sita Mawasiliano-0782017002 na 0657440107
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa jina Martha natafuata temporary job ya ufundishaj somo la Geography na mambo ya utalii kwa mkoa wa Arusha kuanzia mwez wa sita Mawasiliano-0782017002 na 0657440107
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom