Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wadau natafuta mfanyakazi wa shamba la mifungo mwenye uzoefu wa kufuga nguruwe/aliyewahi fanya kazi kama hii.Shamaba lipo Morogoro manispaa.Kama yupo au unamjua tuwasiliane tafadhali kwa 0686 666666
1 Reactions
0 Replies
671 Views
Ivi kwa mfano ulikuwa unafanya kazi umeacha mkuu wa hospitali atafanyaje ili kukutoa kwenye payroll? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Wakuu habari za wakati huu! Mimi napenda sana kufundisha Hisabati na Uchumi vyuoni, na hata masomo mengine ya elimu, utawala, nk Nawauliza kitu kimoja tu, taratibu huwa zikoje mtu anapokuwa na...
0 Reactions
6 Replies
24K Views
Nahitaji mtu wa kunyoa saloon ya kiume. Ipo Chanika, Dar es salaam. Mshahara makubaliano; malazi yapo. Akiwa anajua computer ni vizuri zaidi kwani huwa naingiza nyimbo kwenye simu. Mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mfanyakazi Wa salon ya kike anahitajika awe anaweza kusuka mitindo yote, kuset na kumake up Jinsia yoyote. Umri kuanzia miaka 18[emoji3595] Mahali salon ilipo ni Buza kwa mpalange. Kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta mfanyakazi Wa salon ya kike awe anaweza kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi Wa Tabora mjini.. Mshahara ni 130000 kwa mwezi Preferred Wa kiume mwenye uwezo Wa kusuka na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salaam wadau...natafuta mfanyakazi katika ranchi ndogo ya mifugo, Mifugo iliyopo ni kuku, Mbuzi,Nguruwe na samaki.Ranchi ipo Morogoro mjini. Vigezo ni kama ifuatavyo: 1.Awe na umri usiozidi miaka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman Niko Moshi natafuta mfanyakazi Wa ndani, Kama uko tayar tuwasiliane. #0753716586
1 Reactions
3 Replies
918 Views
Sehemu ya kazi ni Mbezi Beach-Dar es salaam. Awe na umri kati ya miaka 22 na 30 Awe na uzoefu wa kazi za ndani na kulea mtoto wa mwaka mmoja. Awe anajua kanuni na sheria za kazi kama mfanya kazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eneo la kazi ni Kibara, Bunda. Awe jinsia ya kike, asiwe binti mdogo (awe Kati ya Miaka 20 hadi 40). Awe na uwezo wa kutumia Uhuru binafsi maana muda mwingi wenye nyumba hawapo, wanakuwepo tu...
1 Reactions
5 Replies
706 Views
Habari wakuu, Kwa mtu yoyote anaehitaji mfanyakazi nipo tayari. Kwa maelezo zaidi nakuomba PM. Tafadhali naomba msomaji kama unamfahamu anaecconect watu na kazi.naomba nijulishe malipo mazuri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wadau. Ninahitaji mfanyakaz wa ndani (house girl). Awe anajua kusoma na kuandika Asiwe na mtoto Awe na umri kuanzia miaka 20 Awe ni mkaazi wa dalsam (siyo lazima sana). Asanteni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kichwa cha topic kinajieleza.....anahitajika mdada mwenye umri usiozid miaka 25....asiwe na mtoto.....awe na tabia nzuri.....awe tayari kufanya kazi za ndani mkoani morogoro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Sifa: -Umri: 18-21 -Elimu: Angalau Darasa la 7 na kuendelea. Atafanya kazi zote zinazoweza kuitwa KAZI ZA NDANI pamoja chochote atakachoambiwa in extra. Mshahara: Tshs 40,000/=
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu jamani hope mko poa, Ndugu zangu nawashukuru kwani kuna watu wapo serious hapa nilishatafuta mfanyakazi hapa nikapata. Sifa za mhusika umri kuanzia miaka 18 msichana mwenye maadili ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu Habarini! Msichana mwenye umri kati ya 18 mpaka 25 anahitajika kwa ajili ya kufanya kazi za ndani. Eneo ni Kimara, Dar es salaam. Familia ni ya watu watatu ambao ni Baba, Mama na mtoto...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi, Ni matumaini yangu mko poa na weekend inaenda kama Allah alivyopanga Namshukuru Allah niko poa. Nirejee kwenye kichwa cha tangazo hili hapo juu. Nahitaji mfanyakazi wa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani kwa staili hiii mi naona kuna uonevu mkubwa sana kwa wafanyakazi wa ndani, sijajua ni kwa kukosa elimu lakini kwa upande wangu mi naona haki za kibinadamu zinakiukwa. Kwa mshahara gani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naitwa edgar nata futa mfanya kazi wa ndani nipo sngd karakan
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mama mwenye watoto watatu anahitaji Dada wa Kazi ! Anaishi Mbezi Louis, Mtoto wa kwanza anasoma Grade II, Wa pili yupo Nursery school na wa Tatu hajaanza shule. KAZI: Kupika, Kufua, Usafi wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom