Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

I have applied for a certain job wakanambia nitume my GPS score mejaribu kugoogle meona its somekind of test though sijaielewa vizuri kwa anaelewa what is GPS naomba anisidie ufaham...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu!eti hivi mwajiri anaposema let say anataka mtu mwenye diploma ya business,marketing etc or equivalent qualifications huwa anamaanisha degree au form six?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hello ndugu zangu wana JamiiForums, Natumaini wote ni wazima. Mimi pia ni mzima. Binafsi si mkongwe sana JamiiForums lakini lazima nikiri kuwa JamiiForums imenifungua mengi sana na kunisaidia...
10 Reactions
31 Replies
6K Views
Ninafanya kazi Dar: My gross salary: 610000; Deduction is as follows: NSSF (10%)= 61,000 PEYE = 65,700 HESLB (Education loan 8%) =48,800 CRDB loan=183,000 Worker union=12,200 BIMA YA AFYA =...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Tunatafuta mwalimu wa day care katika eneo la Kibaha. Sifa: -Awe anaishi Kibaha -Awe wa jinsia ya kike -Awe na umri wa miaka 25 na kuendelea -Awe na cheti cha mafunzo ya day care toka Ustawi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nilihitaji kujuzwa kwa mwenye ujuzi .. hii kazi ya " Insurance surveyor and loss assessor " kwa hapa kwetu Tz inakuaje na inalipa kweli ?.
1 Reactions
5 Replies
855 Views
Kwa wale Vijana wenzangu ambao bado wanatafuta kazi kama mimi nashauri ni vema tukakutana tujadili namna gani ya kuweza kujiajiri. Binafsi nimefikiria tunaweza kufanya kazi nyingi sana kwa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari! Natafuta binti makini, mwenye uelewa, anaefahamu maana ya Customer care, elimu kuanzia form four. Afanye kazi katika zahanati yangu hapa Mwanza. Binti alietayari aniPM kwa maelezo na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari, ndugu zangu! Natafuta kazi ya ulinzi katika kampuni au mtu binafsi, mshahara usiwe chini ya laki mbili, napatikana Daressalaam, ELIMU Yangu kidato cha sita, maisha magumu ndugu zanguni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta kazi nimesomea WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINEERING kwa ngazi ya Diploma.
1 Reactions
0 Replies
832 Views
Mimi ni mwalimu mwenye diploma ya elimu, niliajiriwa mwaka 2009 katika halmashauri moja. Mwaka 2010 nilipata mdhamini alinilipia gharama za masomo ya shahada chuo cha Mipango Dodoma. Baada ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naombeni mnijuze hii kazi kwa hapa petu Tz inalipa ???
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Wapendwa; naomba niwaulize, hawa Viettel ni kampuni ya simu tu ama wanafanya nini? Halafu mishahara yao ikoje? Halafu maswali ya interview kuhusu distribution & customer care ni kama yapi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Mimi ni msichana Wa umri Wa miaka 24 natafuta kazi ya ualimu Wa chekechea Arusha Kwa mwajiri yeyote mwenye uhitaji naomba aniajiri nifundishe watoto. Sintaweka namba hapa Ila PM kwamwajiri atakaye...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
CONFUCIUS INSTITUTE AT THE UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM INTERNSHIP OPPORTUNITIES AT GOLDEN LAND GROUPS (GLG) NANJING, JIANGSU, CHINA~ 2015 Introduction The Confucius Institute at the University of...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dear Friends in Arusha Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada. Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama kuna anaefahamu mkoa wa tanga kuna site ngapi za vodacom na airtel na ngapi ni 2G na 3G katika kila wilaya. naomba msaada plz kama kuna mwenye info zote hizo nasaka ajila kampuni moja ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu nafasi mpya hizo changamkieni jamani Position: Core Network Planning Engineer Position: Radio Planning and Optimization Engineer Position: IP Network Design Engineer...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JF? Jana asubuhi nilikuwa napita mitaa ya Ubungo kuna jamaa alikuwa anabandika matangazo ya kazi akanipatia nakala moja ambayo imeandikwa hivi: KAZI KAZI 410,000/= NA KWA SIKU...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Kitendo cha kuajiri sector moja tu kla mwaka serikali haitendi haki.Just imagine,sector za kilimo,na afya serikali inaajiri watu wachache sana na kuacha wengine mtaani wakisota.Halafu eti mnakaa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom