Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
NIMEIPATA SEHEMU NIKAONA TUMSAIDIE Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wana bodi salam. Naamini wengi wetu tuko busy na wagombea wa magamba na hivyo tumesahau maslahi yetu mengine. Baada ya NEPI kunihakikishia MAKO hayumo, na mie nilikuwa team MAKO, akili ilinituma...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
WASIFU Advancend Diploma in land surveying, Msc in Geoinformatics Assistant Lecturer teaching subjects on land surveying, Remote Sensing and GIS, Engineering surveying for TEN YEARS Consultancy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wote, Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza degree yangu ya kwanza chuo kikuu cha dodoma Bsc. software engineering Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Nimesomea masuala ya Lugha ya Kiingereza na Kiswahili. Na nina interest kubwa katika utangazaji wa redio na Tv. Kwa anayefahamu utaratibu wa mtu kuweza kupata nafasi ya kujitolea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti wajameni, kwa mfano umegraduate labda na degree nyingne mbali na ualimu, udaktari na uhandisi, umetafuta kazi muda mrefu hupati, kuna hizi kazi za office assistance au za umessenger...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habar zenu wanajamvi. Jana katika pita pita zangu niliona tangazo kuwa tume ya utumishi wa makama wameita tena watu katika usaili wa kada mbalimbali, Majina wanasema yapo katika gazet la Daily...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
ambae anahitaji kinyozi kwenye saloon hapa yupo.kwa watu wa dar es salaam tu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi ni kijana mwenye umri 23..jinsia kike,elimu yangu kidato cha 4,pia nna certificate ya customer care &services.. Natafuta kazi inayolingana na elimu yangu pamoja na taaluma yangu..nipo...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Anatakiwa mwalimu wa somo la stadium za kazi . Mwenye ujuzi wa kuchora, kufinyanga, na vinginevyo vinavyohusiana na sanaa. Deadline tar 25/7/2015 Mawasiliano: 0766407153
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada jamani. Mimi ni Graduate Engineer (Civil Engineering) natafuta kazi yeyote mwenye msaada kwa hili naomba anisaidie. Natanguliza shukurani!
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Sekretarieti ya ajira yatangaza nafasi za kazi zaidi ya 1,000 Thursday, 09 July 2015 12:28 Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
kwa wale wahitaji:
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimepigiwa simu na LAPF wakinifahamisha nihudhurie interview tar 11/7/2015 kwa waliomba kazi LAPF hakikisha simu yako ina charge mda wote.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF. Mimi ni mmoja wa waliopeleka maomba ya nafasi ya kazi ya BVR operator kwa upande wa Ilala ila mpaka sasa sijajua kinachoendelea mana wenzetu wa wilaya tofauti washapata na...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Naitwa yasini shabani kutoka KASULU KIGOMA na 0758036032 napenda kuigiza napia mm ninauzoefu niliku hakuna kipaumbele
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nimemaliza chuo week iliyopita,nilikuwa nachukua Bachelor of science in Accounting and Finance chuo kikuu Ardhi.Natafuta kazi au sehemu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa hesabu kwenye interview za LAPF zinavyo look alike. Msaada maana kesho ndo kimbembe pale DUCE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom