Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari zenu wanajamii forum, jamani natafuta kazi ya udereva, nipo mwanza mjini hapa, kwa yoyote mwenye kazi au kujua ani pm please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eee, ndio hivyo. MAWASILIANO: mudiduladula@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kazi Mimi nifundi Chuma yaani STEEL FIXER 0759154798
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunahitaji watu wenye vigezo vifatavyo: 1. Awe na degree yoyote ila degree ya masoko ita pendeza zaidi 2.Awe na uzoefu wa kuongoza team ya mauzo na kuhakikisha wanafikia target walizowekewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Administration & Office Management Jobs in Tanzania > www.EverythingDAR.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Find Jobs Vacancies In Nigeria Daily recruitment-nigeria.com Jobs Vacancies In Nigeria Accounting Jobs Vacancies In Nigeria Banking Jobs Vacancies In Nigeria Engineering Jobs Vacancies In...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu alifanya usaili, sasa jana kaambiwa na mtu anayedai anafanya kazi kwa hiyo ofisi kwamba inabidi atoe hela kwanza ili aweze kupewa hiyo ajira. Huyo mtu inaonekana amepata details...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba kujuzwa jinsi ya kupata ajira mkoani mbeya.....nafasi za IT natafuta mkoani mbeya
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari JF, Anahitajika Mdada mwenye Diploma au Certificate ya HR/PUBLIC ADMINISTRATION kufanya kazi Dar es salaam. Awe ana uelewa mzuri wa Ms Excel na Outlook. Mshahara ni Maelewano. Nitumie CV...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanazengo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,elimu kidato cha 4 na nimepitia mafunzo ya udereva na kuhitimu. kutokana na wimbi la ajira niliamua kuzunguka shule kadhaa kwa lengo la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa mliopo TPA hapa DSM. Ndugu yenu nimekwama nahitaji connection ya kazi za kibarua zile za malipo per day. Hata zile za Ukuli. MKONO Uende kinywani. Kitambulisho cha Temporary post za suma...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaman mimi napenda sana kujiunga na JKT kwa wale mnaojua nafasi zinatoka lini za maombi yakujiunga mniambie tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana JF natafuta nafasi ya kazi ya mdada mwenye miaka 26 lakini elimu yake ni darasa la saba, so mwenye hiyo kazi anisaidie maana nina ndugu yangu yupo nyumbani tu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
POST MEDICAL SPECIALIST II (RADIOLOGY) - 1 POST POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER Muhimbili National Hospital APPLICATION TIMELINE: 2020-04-09 2020-04-22 JOB SUMMARY N/A...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tujuzane kwa waliofanya interview zuku sales agent
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi umehangaika muda mrefu kutafuta kazi, baadaye umepata kwa tabu sana tena serikalini ile unaanza tu inatokea bahati mbaya anko Magu anakutumbua au umepata private ile umeanza tu baada ya miezi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Poleni na majukumu ya kila siku, Naomba msaada kwa wale wanaofahamu au waliowahi kufanya interview pale TANESCO ubungo, Mimi Nina written interview siku ya jumamosi inahusu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauliza kama kuna mtu keshaitwa kwenye interview kwa zile post za graduate in training program. Kimya kingi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
TCAA is looking for energetic young Tanzanians, which are medically fit to train in Air Ttraffic Control. QUALIFICATIONS REQUIREMENT: 1. Holder's of B.Sc. Degree Majoring in Maths and...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom