Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wapendwa habar Za mihangaiko, katka kufanya Application tofauti tofauti online kuna compuni moja imenirudishia majibu kama hiv """tumeipata na kuisoma barua yako na tutawasiliana na ww...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Waungwana salama jamani. Eti kwa Aga Khan hospital huwaga wanachukuaga muda gani kukuita. Mfano kama umeomba nafasi ya kuvolunteer.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa mwenye ifahamu wa sheria ya ajira, kuna kitu kinaitwa severance kwa mtu aliye maliz amkataba wa ajira, Inamlazimu mwjiri kukupa au ni hiari tu ya mwajiri. Ahsanten
0 Reactions
4 Replies
814 Views
Habari Jamii Forums; Nili apply internal vacancy sasa nimepata email na kupigiwa simu kuhusiana na interview. Email imeandika EES Discussion Nimejaribu ku google EES ni Employee Effort Score...
1 Reactions
4 Replies
755 Views
Naomba msaada namna ya kujibu maswali haya ukiulizwa katika usahili 1) what kind of salary do you want to be paid? 2) explain how weak and strength aspects do you have?
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wadau, nilipatlngiw kituo na sekretriat ya ajira Feb 2016 ktk halmashaur, baada ya kukamilisha taratibu za kuajiriwa nikaambiwa nirudi nyumbani had nitakapo itwa tena na kuanza kupata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unafungua vip OTEAS wakuu kwa ajili ya kuomba kazi ya ualimu. Kwangu imetulia tu haifunguki, saa 5.30 usiku sasa.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninawasalimu ndugu wanajukwaa. Ninaomba maelekezo yatakayokua na msaada wa kunifikisha office za T- Marc na sikika,ni katika michakato ya utafutaji wa makte wa kila siku,nimejaribu kufanya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau natumaini mpo salama, nimesoma degree yangu nje ya nchi na vyeti ninavyo ila sijapeleka TCU kwa sababu kuna documents nilishindwa kuipata kwa haraka nikalazimika kurudi huku na sasa hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada najaribu kufanya application since monday maamka usiku system haifunguki leo nimebahatisha imefunguka ila nilivyofika hapo inagoma iko domant msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani anahitaji kuandikiwa project proposal, business plan, kufanyiwa monitoring and evaluation tuwasiliane kupitia 0684310382 , nipo dar es salaam-ukonga
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Ndugu wana Jf naomba mnisaidie kiwango cha mshahara wa field officer!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nikiangaliaga kazi hizi mara zinapotangazwa hasa Ubalozi wa Uingereza ambao wanatoaga hadi kiasi cha malipo kwa kweli ni mishara mikubwa sana ukilinganisha na ya serikali yetu au Taasisi...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata. Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku...
3 Reactions
29 Replies
14K Views
JAMANI KWA YEYOTE ALIYE APPLY KAZI UBALOZI WA KANADA NAOMBA MSAADA JINSI YA KU APPLY MANAKE WAMESEMA HII NDO JISI YA KUAPLAI Application Instructions: Please send electronically your...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wapendwa katika bwana. Tumsifu Yesu Kristo. Assalam Aleykum. Habari ... Ndugu zangu naona Mwenyezi Mungu amefungua neema na mdogo wangu hajawahi kuitwa kwenye Interview ila hakukata tamaa...
4 Reactions
58 Replies
11K Views
Mimi ni kijan mwenye umli wa miaka 22 ninaomba mchngo/msaada wenu wadau katika upnde wa uandkaji wa barua ya maomb ya kazi. Barua znatofautiana kwa upnde wangu mimi barua ninayoinzngumzia ni barua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za mda huu jamani, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja juzi serikari yetu pendwa imetangaza ajira kupitia website ya serikari, ajira ni nyingi na kwa kila kada, sasa katika kada yangu...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Je? ni vizuri kuzungukia nafasi za kazi ambazo hazijatangazwa katika maofisi au ni kujichosha na kijivunja moyo katika swala la kutafuta kazi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Kuna jamaa yangu alijaza ajira portal miaka mitano imepita, ila sasa anataka aweke certified coppies ila anakutana na changamoto cheti cha O- level kinagoma kufanyiwa editing yaani...
0 Reactions
6 Replies
902 Views
Back
Top Bottom