Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Natafuta kazi kwenye shirika,taasisi au hata kwa mtu binafsi nina diploma ya uhasibu.Ila sibagui kazi hata ambayo haipo kwenye taaluma yangu nafanya!Nipo mwanza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta shule ya kufundisha masomo ya Geography na Civics,, Nina uzoefu mkubwa na wanafunzi wangu huwa wanafaulu...... Nina degree tofauti na elimu. Please call for more enquiries 0683000177
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Ni mara nyingi watu huwa na malengo yao mengi na mazuri kabla hawajapata ajira, mambo hugeuka na kwenda kinyume mara baada ya kupata ajira, mtu hugeuka na kuanza kupanga malengo mengine nje na...
15 Reactions
29 Replies
9K Views
Napenda kuwapongeza tovuti ya ajira kwa hatua hii kubwa kuweza kubadili mfumo wa uombaji kazi hii itatusaidia kupubguza gharama za kutuma maombi nawapongeza sana kwa kuanzisha hii system mpya...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
leo nimetumiwa sms kuitwa kwenye usaili muhimbili kada ya assistant supplies officers ila sikumbuki niliomba lini kwani nimeshaomba mara nyingi muhimbili.nakumbuka mara ya mwisho niliomba moi ila...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HABARI KWENU WAKUU. Ni matumaini yangu sote tupo salama na tunaendelea na mapambano ya kimaisha kila kona ya dunia. Wakuu nimejaribu pitia pitia japo sijafanikiwa kukutana na uzi unaohusiana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
habari wadau? natafuta mtu wa kusimamia stationery na personal secretary (PS) katika chuo sifa wawe: wamemaliza kidato cha nne wachapa kazi na waaminifu ujuzi na uzoefu wa komputa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali ndugu zangu Wakenya, tunaomba msaada wenu, tuna mwanafunzi amehitimu A level (High school) Tanzania, na Results zake comb ni CBG na chemisry B , Biology C, Geography...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
DAMAX is looking for Program Management volunteer living in in Bunju, Mbweni, Boko, Tegeta, Wazo DAMAX is a consulting firm specialized in health and development work including research...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajukwaa, awali wa yote natanguliza shukrani kwa Mwenyez Mungu na wanajukwaa kwa ushirikiano katika kipindi chote ya mihangaiko ya kutafuta kazi takriban mwaka 1 na miez 3 hatimae...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
nimekuta nimepigiwa na hii namba niende kwny interview naomba kujua ni namba ya wapi maana sehemu nilizo aply ni nyingi namba ni 255 222110654
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomba tuwacliane kwa no. 0715140001.ahsanten wadau
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa JF Mimi ni mwajiriwa katika halmashauri ya wilaya kama Afisa kilimo. Kwa sasa ninataka kuhamia kituo cha utafiti wa kilimo lkn sifahamu taratibu zitakazoniwezesha kuhama mwenye yeyote...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
HABARI KWENU WAKUU. Ni matumaini yangu sote tupo salama na tunaendelea na mapambano ya kimaisha kila kona ya dunia. Wakuu nimejaribu pitia pitia japo sijafanikiwa kukutana na uzi unaohusiana...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Rejea mada hapo juu, naomba kuwasilisha ombi la internship kwenye makampuni au ofisi inayohusi nafasi ya I.T kwa taarifa hapo chini. Sex: Male Age: Adult Education: bachelor degree. Skills - Web...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Part Time Employment ? Operations Executive A small family owned enterprise is looking for an operations executive to run their day to day activities in Kibaha, Pwani. The candidate should...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Binti wa kuuza duka la nguo za kike kama picture inavyoonesha
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Anahitajika msichana wa kazi za nyumbani hapa Dar es Salaam. Eneo husika ni Tegeta, msichana huyo ataishi nyumbani kwa muajiri wake. Ni familia ya watu 4 ( Baba, mama na watoto 2). Piiga simu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, jamani wana jamvi! Nauliza, kama nimepangiwa kituo cha kazi na nisiporeport kazini kuna tatizo lolote baadae kama nikitaka kuajiriwa serikarini?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom