Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Deleted by Author
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamani hivi ukiandika barua ya maombi ya kazi huwa ukishamaliza kuiandika kwenye Microsoft word unai-copy halafu unai-paste kule kwenye e-mail kwenye chmba cha ujumbe? Au unai-attach kama CV au...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Naomba msaada jins ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email na njins ya kuambatanisha barua na nakala za vyetu. Mungu awatangulie wana JF
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Kutokana na changamoto za maisha suala la kujiajiri au kuajiriwa ni la mtu binafsi, hivyo kwa wale waliochagua kusubiri kuajiriwa mara nyingi suala la usaili (interview)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baraza la uwezeshaji la taifa (NEEC) kwa kushirikiana na ILE wamezindua Ajira Yangu Business Plan Competition kwa Vijana wenye umri wa miaka 18-35. Maombi yanapokelewa kuanzia 18 April -09 Mei...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
I
0 Reactions
1 Replies
631 Views
habari ndugu zangu mm ni kijana mwenye technician certificate nliochukulia katika chuo cha MUST (mbeya institute).Shida yangu kuubwa ni kuulizia ni kwa namna gani naweza kupata internship...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hawa jamaa EXPART LINKRS walitoa nafasi nyingi za kazi iv majuz ila ajabu wame shortlist watu alafu wanadai interviewee aje na 25,000/TSH ..jaman hawa ni majipuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na sintofahamu nani anaerudisha mtumishi kwenye payrol kama ni katibu mkuu elimu tamisemi au katinu mkuu wizara ya elimu au wote wanamamlaka.msaada hapo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
NIMETUMIWA HII KWENYE EMAIL MSISITIZO KWENYE RED Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi umehangaika muda mrefu kutafuta kazi, baadaye umepata kwa tabu sana tena serikalini ile unaanza tu inatokea bahati mbaya anko Magu anakutumbua au umepata private ile umeanza tu baada ya miezi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndo kibongo bongo hvo,, tusokuwa na wa kututuma tuanze kusaka mavisa twende nchi za watu tuu
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Elimu yangu ni stashahada ya ualimu katika somo la kiswahili. Sikubahatika kuajiliwa serikalini lkn nina uwezo mkubwa wa kufundisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona mwaka huu ajira zimechelewa sana.. Sijui itakuwaje maana hata za Afya zinazowahi kutoka azieleweki lini zitatoka hatari sana
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Natafuta Kinyozi wa barbershop.. Iko mbezi...mwisho... 0714-111058 0752-109265 Nicheki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Serikali, na Mamlaka ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Dada wa kazi za ndani yaani house girl anahitajika awe na umri wa miaka kuanzia 18 na asizidi umri wa miaka 20 pia awe na nia kujiendeleza katika taaluma ya ufundi. Naombeni tusaidiane katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar Vijana wenzangu, nahtaji Vijana Wa Kufanya nao Kazi ya kuuza sabuni za alovera na manjano kwa hapa dar, kwa ambao wako tiyar mnakaribishwa sana piga 0654957658
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hiv hawa jamaa wa NECTA wameishatoa majina ya usaili katika post yao ya kazi tarehe 8 February 2016 . plz km in a information yeyote share nami
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu napenda kutanguliza salamu kwenu. Kama mlisoma tangazo la kujiunga na JKT 2016, katika kipengele cha 9 au 10 kinasema " Awe na cheti original cha matokeo/ transcript". Ugumu unakuja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom