Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Naomba msaada jins ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email na njins ya kuambatanisha barua na nakala za vyetu. Mungu awatangulie wana JF
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wanajamvi. Nilikuwa mwajiriwa wa katika sekta ya elimu kwa muda wa miaka saba then baada ya kujiendeleza nikahamishia ajira yangu kwenye moja ya taasisi za serikali ila sasa nataka kurudi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni! Hivi naweza kuipata salary slip ya mshahara wa mwezi July mara tu mshahara utakapotoka?....
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakuu? Samahani, Nina rafiki yangu amebahatika kuitwa katika usahili wa PCCB, Katika vitu vilivyoorodheshwa kwenda navyo siku ya usahili ni ramani inayoonesha eneolako la makazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa jinsi ya kuandika barua ya kikazi inayopitia kwa watu wawili, mfano unataka kuandika barua iende kwa Managing Director lakini ipitie kwa Human Resources Officer Nimeuliza watu...
0 Reactions
43 Replies
72K Views
Habari zenu wapendwa, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya uhasibu kwenye kampuni za mabasi makubwa anisaidie ndio nmemaliza chuo, nimefanikiwa kupata kazi ila sina mtu wa kunielekeza. Boss...
10 Reactions
119 Replies
7K Views
Habari wakuu! Hivi ni kweli ukipata check number Serikalini una uwezo wa kuhama Shirika yaani mfano TRA tawi la Kigoma kuja TPA Dar endapo tu una channel na kuna nafasi hiyo sehemu unayotaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu. Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Samahani wana jamvi nahitaji maelekezo Kwa mwenye uelewa na hili swala . Kwa namna yoyote. Plz
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Jaman kama kuna mtu amewahi fanya usail pale Cocacola Kwanza naomba anipe desa kidogo. Hivi interview zao huwa zinakuwaje? Naenda fanya usail wa Resident Account Developer
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wakuu.. Tafadhari aliewahi kufanya written interview Utumishi hivi karibuni zinakuwaje? Manake kila mtu anasema yake tafadhari naombeni nisaidieni.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Habari wanajf, Naomba kwa yeyote anaefahamu TRA wanatoa aina ganii ya maswali kwenye written interview maana ndiyo mara yangu ya kwanza kuona interview ya civil engineering TRA, ninachojiuliza je...
1 Reactions
3 Replies
634 Views
Nawasalimu wote. Nina mtoto wa ndugu yangu yupo Dar hapo amemaliza mafunzo ya udaktari..yaani medicine ila kwa sasa alichelewa kufanya application za wizara kwa ajili ya kuanza Internship yake na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali. Umri wangu ni Miaka 32 Ni mkazi wa Dar es Salaam Nina...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Eti inawezekana kwa mtu aliehitimu darasa la saba akajiunga na Chuo cha Polisi kwa sasa. Kuna bint yupo fomu two, eti anaacha shule kapata nafasi ya Polisi hilo linawezekana?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa wale amba walishafanyaga interview Tanroads nafasi ya Weighbridge Shift Incharge.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
habari zenu wakuu, nipo hapa kuulizia upatikanaji wa hizi nafasi za kazi ktk makampuni ya usafi wa ofisini ,vyuoni n.k je zinapatikanaje? maana kuna ka"mshkaji" kana BIG FOUR csee17, kanaulzia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa yeyote yule anayeifahamu shule ya St. Jude Arusha kazi zake za kuajiriwa au kujitolea ni lazima uchangie kwa sisi Watanzania Nimekutana na kazi katika kujaza form nikakutana na kipengele...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
HABARI WANA JF Mimi nilisoma Magogoni (TPSC) Basic Technician Certficate in Information Communication and Technology (BTCIT) na nimefanya field miezi mitatu mara baada ya kumaliza certficate...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom