Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

wanajf habari za zenu, Natafuta sehemu ya kufanya internship kwa hapa mwanza kwenye private institutions/company, NGOs na mashirika kama(ppf,nssf,pspf etc.) Na kwengineko ili nipate exposure...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kma inavyojieleza hpo juu wakuu nahitaji kujuwa viwango vya mshahara wa graduate katka kampuni ya SWISSPORT TANZANIA PLC !
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wadau Ofisi ya sheria ndio inaanza kazi inahitaji secretary wa ofisi. Ofisi ni ya sheria na ipo Dar.Ajue kuchapa na basic computer knowledge na apllications pamoja na office set set up na usafi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau?,natafuta kazi yeyote ile ya kufanya ili mradi inanipa kipato kizuri cha kujilimukimaisha,elimu yangu ni form six na ninaujuzi wa komputer pia na ninafanya kazi kwa bidii sana kupita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ngugu zangu wanajamvi naombeni msaada wa mawazo ni kitu hasa natakiwa kuwa navyo makini kwenye interview maana hii ndo mara yangu ya kwanza nili apply kwenye zoom tanzania shirika la openhands...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
DAR ES SALAAM. TOUR ESCORTS Kampuni inayo husika na kusindikiza na kuongoza watalii na wageni wa ndani na nje ya nchi, inatangaza nafasi za kuongoza na kusindikiza watalii na wageni kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wa jf mm naishi mkoani naomba kwa yeyote ambae anaweza kunipatia sehemu ya kujitola kufanya kazi kama msaidizi wa afisa ugavi sehemu yoyote Arusha ili nizidi kupata uzoefu katika ujuzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Njoo kilwa aje wilaya yeyote moro dar au pwani 0787419289
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wakuweza kupata kazi kanda ya ziwa elimu community development (degree) no ya cm 0715149184.
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Wadau wa jamii forum naombeni msaada kama kuna mtu anayefahamu chuo chochote hapa tanzania kinachotoa short courses za mambo ya fraud(especially fraud za mambo ya fedha ie binj financial...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
habari jf.....kuna link iliwekwa hapa ya ajira nikakuta post za hili shirika linaitwa good neighbors....hivyo nimeitwa interview wiki ijayo.....mwenye kulijua shirika hili vizuri.....interview zao...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nafasi za Kazi Umoja wa Mataifa, Application Deadline 22 December 2015 Bonyeza HAPA Kusoma na Kuapply AU tembelea www.ajirayako.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Wewe ni mjasiriamali na unapenda maendeleo? Basi nakukaribisha katika mkutano huu ili uweze kuzifahamu mbinu na fursa sahihi za kukitimizia ndoto zako. Badili fikra, timiza ndoto yako...
0 Reactions
Replies
Views
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inaendelea kutoa tahadhari kwa mara nyingine tena kwa waombaji wote wa fursa za ajira Serikalini kupita Sekretarieti ya Ajira kuepuka matapeli...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam kwa wote, Natafuta vijana wawili au watatu wa kufyetua matofali. Matofali sio ya kuuza. Kufyetua matofali 60-100 kwa siku. Malipo tutapatana kwa kila tofali. Sehemu ni Mbezi Salasala.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Samahani sana ndugu zangu nataka kufungua kampuni ya Fumigation now nipo katika masuala ya usajili, nataka kujua ni mikoa ipi nitapata zaidi soko na changamoto zake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Mtaalamu wa kuuza Duka la Madawa ya mifugo anahitajika haraka sana. Awe na sifa zifuatazo: Awe na Certificate ya Animal Health and production kutoka Chuo kinachotambulika PIGA SASA HIVI SIMU NA...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Swali. Je hao Afisa elimu wanapatikanaje na uteuz au nafasi hutangazwa ln?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom