Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kwa sasa nafahamu OPRAS ndio inayotumika sana hususani upande wa serikalini yan MDA's na LGA's, Je kuna zipi nyingine ambazo zinatumiwa na makampuni ama taasisi nyingi kwa Tanzania mwenye uelewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mda toka watu wamalize elimu ya vyuo vya ualimu but cjui ajira inatoka lini
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wandugu! Ningependa kuja Kenya kujitolea kwa kazi za kijamii kwenye NGO yeyote hapo kenya kwenye mkoa wowote nina shahada ya kwanza ya social work na uzoefu wa miaka mitano...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Leo wakuu. Kuna NGO moja inajiita ECHO-AID ambayo imetangaza ajira sasa hivi ''Accountant'' ikisema mshahara ni Euro 3,459pm to 3,987pm. Napenda kuwajulisha hii ni NGO ya kitapeli na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimemaliza udsm bachelor of arts in economics na gpa ya 3.0 ambayo ni lower second, kuna sehemu nyingine naitwa interview na zingine siitwi. Hivi tatizo la kutoitwa hizo sehemu zingine inaweza...
2 Reactions
87 Replies
17K Views
Niko Mwanza, ni mwandishi chipukizi wa vitabu vya ushairi, hadithi na articles mbalimbali, pia birthday cards,thank you cards,family cards,inspirational cards n.k. Nahitaji web designer mmoja...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Asalam wana JF Jamani katika harakati za kupeleka fadhila kijijini tumeamua kwenda kujenga nyumba huko ya wazazi. Hivyo tulishaanza mchakato wa kufanikisha hili tulishaandaa tofali na kuchimba...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Hi wakuu,natumai hamjambo. Jaman ndugu zangu nilikuwa naomba niwashirikishe hili,natafuta kazi kama vile supermarket,reception hata duka la nguo. Wasifu wangu; Form four,college (Nina Advance...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
Mimi nina Bachelor of science in food science and Technology, natafuta kazi sehemu yeyote. Naombeni msaada wenu 0758 106 501 kwa mwenye kazi atanipata.
0 Reactions
Replies
Views
Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has fianlly made a final deciosion of calling you...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa naitwa ibrahimu Riyad Houmud Ruwehy naishi arusha kama kichwa kinavyojieleza natafuta kazi ya uandishi wa habari, makala.n.k kwenye blog/website nina vifaa vyote vya kufanyia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuja mbele yenu kuomba uwezekano wa kupata kazi kwa kada ya storekeeper, assistant logistics, assistant supplier, warehouse contoller nk Nimemeet na matapeli wengi wastaarabu nk ila bado...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Nina kmapun yangu ndo mpyaa ya usafi naombeni mnielekeze namna ya kuomba tenda kwenye maofisi ..asanten in advance
0 Reactions
11 Replies
15K Views
Wakuu habari za muda huu, bila shaka mu wazima wa afya. Najitokeza mbele yenu kutafuta kazi katika blog au website ,nipo tayari kufanya kazi muda wote (24hrs) pia ubunifu katika kazi. Nina uwezo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa wale fresh graduates huwa kuomba Kazi unafanyaje,unakuta vigezo vyote vipo isipokuwa ya experience,wengine wanakaa kitaa hata mwaka mzima,je wenzangu mnaoapply huwa ukiona hicho kigezo mnatuma...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani hakuna mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye usahili wa kada tofauti Muhimbili taasisi ya mifupa MOI.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
habari zenu,Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 26 nipo Dar Elimu yangu ni kidato cha sita natafuta kazi yeyote ya halali naomba msaada wenu waheshimiwa Mbarikiwe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilipita na kuona hii kitu inafaa kwa wale msioweza kupata nafasi kuona tangazo hili.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Najitahidi sana kutuma maombi ya kazi kila uchao lakini mpaka sasa sijabahatika kupata ajira ya kunisaidia kuendesha maisha yangu. Haipiti siku bila kupitia website ya utumishi kuona kama kuna...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau, Nina mpango wa kuanzisha pharmacy mbezi beach nipo katika hatua za awali ninahitaji mfamasia aliyesajiliwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom