Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Niliomba kazi muhimbili MUHAS kwa kada ya assistant supplies ila siju huwa wanatumia njia gani kutoa taarifa za waliochaguliwa kwa Ajili ya usaili na muda umeenda kidogo mwenye kujua anijuze...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara nyingi wengi wetu tumekaa tukisubiri kuja kwa fursa katika maisha yetu, lakini je ni sahihi kukaa (kubweteka) kusubiri kuja kwa fursa ? Jibu langu - HAPANA. Lakini pia ikumbukwe kwamba kama...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari Wadau Sisi ni walimu tarajali, tunategemea kuhitimu Chuo miezi mitatu ijayo Tumebobea Kwenye masomo ya Chemia Na Bilojia toka UDOM tunaomba Kama kuna sehemu kuna uhitaji wa Walimu Wa aina...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu tunahitaji Mstaafu yeyote mwenye Diploma au Certificate ya Pharmacy aliesajiliwa na Baraza la Famasi na awe tayari kufanya kazi katika Wilaya zifuatazo Mkoani Mwanza. Magu, Misungwi au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama mnayofahamu Bodi ya mapato Zanzibar ipo chini ya Wizara ya Fedha ya Tanzania na ni sehemu ya Muungano wetu.. Cha ajabu na kushangaza Bodi hii imetangaza Nafasi za Ajira ila kigezo lazima uwe...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimeitwa kwenye interview kesho asubuhi na mapema. Nahitaji kujua kwamba je kuna umuhimu wowote wa kutoa handshake baada ya kufungua mlango na kuingia ndani, na kukutana na interviewer? Na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
embu mwenye taarifa hizo anijuze.kama hawa watu wapo na waliwezaje kuvuka interview
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Poll
nimesomea medical lab science kwa ngazi ya certificate natafuta kazi sehemu yeyote ile
0 Reactions
0 Replies
1K Views
we need php programmer who is able to code,integrate and customize php system based on codeigniter and other framework as soon as possible if you believe your good please send your cv to...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Elimu:FORM IV pia nimesomea computer,nina Uzoefu zaid 3yrs nikifanya Stationary,Internet na PASSPORT SIZE No.0673306352
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habar zenu Wana jf mm ni kijana wa kitanzania nimejitokeza kwenu kuomba Kazi yyt halal ya kuniingizia kipato. 0654957658
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Employment opportunity in Tanzania - Programme Director, Coastal Rural Support Programme, Tanzania. For more information please see attached. Aga Khan Foundation EMPLOYMENT OPPORTUNITY IN...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani wakuu maisha ya mtaani kero, nimesoma pharmacyngazi ya cheti lakin mpaka sahiv nipo mtaani kama kuna kazi uko inayohusina na uju wangu tusaidiane. kwa mawasiliano 0657025002
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 19-04-2016 Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) KADA: CHEMIST II MWAJIRI: GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata kazi ya Cashier pharmacy store baada ya mda mrefu kuhangaika bila mafanikio kama miaka miwili na miezi 3 though nilifanya Fanya zingine na kuacha ila sizihesabu naombeni mnitie moyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari yako mwana JF, Ni matumaini yangu hamjambo na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa. Niende kwenye kiini cha uzi wangu. Kuna dada ameniomba nimsaidie kupost tangazo la kutafuta kazi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari wadau jaribuni kucheki fursa izo kwa atae guswa ajaribu kutuma
1 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Redirect
Habari zenu jamani Mimi hapa natafuta kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula sawa maana hapa nilipo sina hata sehemu ya kulala nimehifadhiwa kwa rafiki yangu. Nipo dar ni mwanaume...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom