Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Sticky
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
3 Reactions
144 Replies
94K Views
  • Sticky
Salaam! Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla. Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
86 Reactions
208 Replies
147K Views
  • Sticky
Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Namna ya kuandika CV...
40 Reactions
296 Replies
251K Views
  • Sticky
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014...
115 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
nnahitaji gar kwaajili ya kuendesha kama Uber umri 26 yrs loc mbezbich experience uber over 1000 trips botl over 1000 trips hesabu kawaida 150k mkataba 180-190k muaminifu smart sina longolongo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naitwa Nicholous mkazi wa daresalaam tabata natafuta gari kwa ajili ya biashara ya uber na bolt, mimi ni dereva mzoefu na mwaminifu natafuta gari iwe ya mkataba au hesabu nachukua, kwa yeyote...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nani anafahamu kazi ya hii taasisi ya serikali Taesa kuhusu swala la ajira. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA KUITWA KWENYE USAILI KWA WALE WALIOCHELEWA Jeshi la Polisi Tanzania linawatangazia wahitimu wa Kidato cha...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
USIPATE TABU NA MASHAKA KAMA UNAHITAJI GARI KUBWA, COSTA NA SAIZI YA KATI HASAHASA GARI ZA KAZI. mimi nipo hapa kwa ajili yako nakusubiri kwa lengo moja tu nihakikishe umepata gari...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari! Nahitaji mabinti wa kazi ktk kampuni ya usafi iliyopo Dar es salaam,Mshahara wa kuanzia ni Sh.150000.Umri usizidi miaka 35 pia kwa wale wenye vyeti vya food production and house keeping...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari Mimi ni dereva uber na bolt nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4, nahitaji gari iwe mkataba au hesabu kwa ajili ya kufanyia kazi, kwa atakaye hitaji dereva nipo free mda wowote tuwasiliane kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari ndugu humu,samahani eti Kuna njia yeyote mtu anaweza kutumia ili kupata ufadhili kutoka serikalini kwa masomo ya ngazi ya diploma akiwa ametoka form 6 katika vyuo vya ufundi Kama DIT
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Waliofanya Customer Care Officer II vipi majibu mkeka haujaachiwa?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari ndugu zangu mimi nikijana mchapakazi ni dereva wa uber natafura gari ya kazi nina leseni pia na account natafuta gari kwa ajiri ya uber namba zangu 0628729873
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naitwa Innocent mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ngazi ya diploma, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mweneye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458, asante
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Scale hizi za mshahara zina maana gan tanroads msaada tafadhal 1.7, 2.1, 3.1, 5.1
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakubwa naombeni kuuliza kwa mwenye uzoefu mshahara wa phts 2 ni kiasi gani?na ptss 10 ni kiasi gani? Naomba kufahamishwa hapo
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naitwa Wilson mwamakalapya, Mwenyekt Wa kikundi cha vibarua mashambani. Tunafanyakazi zote za mashambani, tupo Mbeya,songwe,iringa na NJOMBE pia vijana wanasafiri kwa kazi za nje ya mikoa tajwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naitwa edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure. Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu. Nna uzoefu wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi salary scale ya PMGSS 3 ni shingap?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Utumishi wanatumia mda gani kuita watu kazini baada ya usaili wa oral?
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom