Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Sticky
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014...
115 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Namna ya kuandika CV...
41 Reactions
296 Replies
252K Views
  • Sticky
Salaam! Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla. Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
87 Reactions
208 Replies
147K Views
  • Sticky
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
3 Reactions
145 Replies
95K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
21 Reactions
15K Replies
1M Views
Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es...
11 Reactions
5K Replies
622K Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
90 Reactions
2K Replies
514K Views
VACANCIES ANNOUNCEMENT Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) invites qualified Tanzanians to fill vacant posts as shown below: 1.0 INVESTIGATION OFFICERS...
18 Reactions
3K Replies
286K Views
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu, plz naomba anijulishe. Elimu yangu ni ya vidato 6. Sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafsi tu na hiyo kazi..
10 Reactions
487 Replies
278K Views
Miezi michache iliyopita wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wamemaliza mitihani yao ya mwisho wa mwaka. Na kati yao kuna ambao wamemaliza masomo yao ya elimu ya juu. Kwa sasa wengi wanaomaliza...
250 Reactions
433 Replies
260K Views
Bank Officers (Several Positions) Location: Central Zone, Dar Zone, Eastern Zone, Highland Zone, Lake Zone, Northern Zone, Southern Zone, Western Zone. Job Purpose To provide outstanding...
9 Reactions
2K Replies
255K Views
  • Closed
Tafadhali mwenye taarifa juu ya ajira za ualimu zinatoka lini anisaidie. cc; Pumzi
0 Reactions
931 Replies
246K Views
Kwa wale wanaopenda kujiunga na JKT kwa mwaka huu nafasi ziko wazi. mchakato unaanzia Wilayani kwako. Tembelea ofisi ya wilaya yako kwa maelezo zaidi. ========= Jeshi la kujenga taifa JKT...
12 Reactions
1K Replies
201K Views
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhali .
4 Reactions
2K Replies
180K Views
Naomba kujuzwa kwa anaofahamu nafasi za jkt mikoani zinatoka lini?? ========================================= Mkuu, jeshini kwa sasa kuna figisu sana na JKT kwa kujitolea baada ya mafunzo unakaa...
0 Reactions
914 Replies
173K Views
Tembelea website ya utumishi Www.ajira.go.tz wametangaza nafasi mpya za kazi leo 16 april 2013
0 Reactions
17 Replies
150K Views
Wadau! Lleo nilikutana na mfanyakazi mmoja wa Serikalini, niliongea nae kuhusu ni jinsi gani mtu anaweza kupata ajira ndani ya Jeshi la JWTZ, Usalama wa Taifa na taasisi zilizopo chini ya idara...
9 Reactions
119 Replies
149K Views
Habari wananchi na wasio wananchi lakin mko Tanzania, Kwa makusudi nimeamua kuanzisha thread hii iwape mwongozo vijana wanaosaka ajira Nje ya Tanzania na Nje ya Africa kwa ujimla, Ili upate...
95 Reactions
798 Replies
136K Views
Wakuu naomba mwenye sample ya barua ya mdhamini au maelezo ya jinsi ya ku draft barua ya udhamini..natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
14 Replies
136K Views
Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa kibali cha nafasi za ajira ya walimu ili kujaza nafasi wazi zilizopatikana kutokana na walimu waliofariki, walioacha kazi...
16 Reactions
443 Replies
131K Views
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written.... Acha swali...
21 Reactions
970 Replies
131K Views
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya...
11 Reactions
407 Replies
126K Views
Back
Top Bottom