Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Jamani natafuta chumba sebule na choo kwa ndani mitaa ya sinza,mwenge ama kijittonyama haraka mwenye nayo anipm contact
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2 Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!! Na...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
kwa anae hiataji maeneo sehemu za mbezi luis kwa ajili ya kituo cha mafuta, kujenga shule, kiwanda e.t.c ani PM, hata ya kukodisha yapo.
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Legacy impresion company Plot no 428 block 44 kijitonyama P.o.box 12800 Tel: 0713603699/0767603699 Email: info@legacytz.com Web:www.legacytz.com Blog:legacycompany.blogspot.com Your...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Tunawakaribisha watu wote katika Hoteli yetu ya Penguin Resort Hoteli, ni eneo zuri lenye utulivu mkubwa na kuna huduma zote kuanzia Chakula,Vinywaji na malazi pia,bei ya chumba ni kuanzia elfu 35...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwa anayefahamu bei ya ekari moja ya shamba maeneo ya magereza ya bagamoyo, na vigaya inaweza kuwa shilingi ngapi? Wenye uzoefu mnisaidie. Asanteni....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salama? Nahitaji fundi mzoefu na mwenye bei nzuri ambae anaweza kutengeneza madirisha ya aluminium, naomba msaada wa hata contacts kama inawezekana! natanguliza shukran za dhati
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WanaJF wenzangu! Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year! Naombeni mnijulishe wapi naweza pata! Hata "open space" pia...
4 Reactions
37 Replies
11K Views
Simu tajwa hapo juu mpya na haijawahi kutumika kabsa inauzwa Ina android 4.0 Camera ni mega pixel 12 Internal memory ni 32 Waweza kuichek specification zake zaidi hapa...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
kichwa kinajieleza wakuu...................pia ningefurai hi kama ningepata na mawasiliano.........kwani mimi nko mkoani thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajumbe nimesikia tangazo la DSTV la offer zao katika package na nlikua nataka kujuzwa kama mtu amelisikia vizuri hilo Tangazo mana nimeskia juu juu katika daladala na je ukitaka kuona channel za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
CLICK HERE FOR MORE DETAILS !! A toyota verossa is now available for sale in Dar es salaam!! PRICE= 16,000,000 TSHS ONLY !! Price Negotiable?: yes Contacts: 0714633314 Country: Tanzania City...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Jamani mimi ni kijana wa kiume nipo dar,natafuta kazi yeyote kwenye mabaa,migahawa mikubwa,mashirika mbalimbali na hata kwa mtu binafsi,naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
735 Views
A DOUBLE-STOREY HOUSE TO LET1. Location - Plot no 2173, Block D, Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania 2. Room facilities (i) 5 bedrooms – four upstairs and one downstairs (each room is...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
wadau wa JF kuna kiwanja kinauzwa eneo: Mtwara mjini mtaa: Mitengo ukubwa:low density ya square meter 1500 na kimepimwa NB:KIPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI NA TAMABALALE NI 1KM kutoka katika barabara...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
We are real manufacture & distributors of quality sporting goods in Tanzania, get involved in entrepreneurship training which will be conducted at Don bosco youth training centre at Iringa region...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wakuu,habarini za asubui?Nina mpango wa kununua Harrier,ila sijui ni engine ipi nzuri.Naomba anayeyafahamu haya magari anipe ushauri.Mbarikiwe sana wakuu.
0 Reactions
0 Replies
658 Views
wakuu nauza simu ya HTC merge kwa bei ya laki tatu tu Niko mbeya kwa mwenye kuitaji anipm simu nimetumia kwa wiki 2 tu so its almost new
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Kifaa hiki ni maalum kabisa kwa kuzuia wizi wa gari yako au kufanya monitoring ya gari lako la biashara Ukiwa na kifaa hiki kimefungwa ndani ya gari lako unaweza kufanya yafuatayo 1. Ku-locate...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu wa gadgets, ipi inafaa zaidi Kati simu za mchina tajwa hapo juu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom