Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Ramani ya Nyumba nzuri ya kisasa yenye: 1.Masterbedroom 2.Lounge/Sitting room kubwa ya seti mbili za sofa 3.Kitchen na store 4.chumba kimoja kulala 5. Common toilet. Ikiwa na michoro yake yote...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anaeuza simu tajwa iwe in good conditions ani pm.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wanaJF, nina mtaji wa 150,000 naweza fanya biashara gani.naomba ushauri.naishi kurasini..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta kingamuzi cha startimes nina sh.30000 aliyetayari 0765480855 nipo malimbe mwanza
0 Reactions
6 Replies
890 Views
Toyota hilux pikup engine 5L iko ktk hali nzuri kbs,bei 27m Kwa wanaohitaji kuiona ipo dar simu 0713305000,
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Bei laki 4.5 ninazombili nauza moja niongezee mtaji ni hizi mpya nilinunua mwezi wa 6 nipo mwanza anayehitaji nipigie kwa 0788006200.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maeneo ya Mkolani, Buhongwa. Nyegezi pia naweza kufikiria Chumba na sebule self contained, au Chumba kimoja self contained,au Siyo self lakini cha wapangaji wachache, angalau mmoja au wawili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani member yeyote anayeuza latop tajwa hapo juu ani-pm pamoja na bei yake asante.ILA IWE KATIKA HALI NZURI
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Nauza mahindi na mafuta ya alizet bei ya jumla contact 0756-654525.:welcome:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu! Mwenye namba wa importer wa hizo ladies shoes anaeuza jumla na mwenye mzigo wa kutosha anistue! Reja reja sitaki! Then kuanzia hapo nitaenda kucheki mali then kama inalipa tutafanya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nauza modem ya vodacom (huawei) zile zenye slot ya kuweka memory card. Bei ni elfu 20 (20,000/=) ukihitaji call: 0712 122818
0 Reactions
2 Replies
979 Views
fremu nzuri ya biashara inapangishwa sh.laki moja kwa mwezi ipo tegeta ccm mita 50 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo..kwa anayehitaj plz call 0717483440
0 Reactions
1 Replies
868 Views
nahitaji ramani ya nyumba yenye vyumba viwili vya kulala,master moja,dinning,sebure ya kuweza kukaa seti mbili za coach na vikoro koro kadha wa kadhaa,jiko,stool, choo cha public..SIMPLE BUT...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Pata eneo kubwa kwa ajili ya kilimo,ufugaji, shule, kiwanda,makazi,nk huko Mkuranga Kiparang"andabarabara ya Kilwa. Eneo lina ukubwa wa ekari 10 na zaidi. Ukitaka zaidi utaongezewa hata kufikia...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
cc: 1580 mileage: 130,000km condition: good condition price 8,500,000/- the car is available for inspection after 5pm maeneo ya mwenge to ubungo, kinondoni na sehemu za karibu contacts: +255...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, nina blackberry bold 9900. Bei naanza na 420,000Tsh. Biashara maelewano ni PM tuongee biashara.
0 Reactions
6 Replies
906 Views
Nisaidieni kwenye kuprocess namba ya wakala wa m-pesa, tigo na airtel imekuwa kama nafasi kwa wengine. Maana nimezunguka maofisini kwao naambiwa hawatoi kwa dar es salaama lakini ukitoka...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Nina laki moja mkononi nahitaji ps 2 fasta nicheki kwenye 0718 097 972
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Gari imesajiliwa mwezi wa tisa mwaka huu, No T....CNV, ina km 86,0000. Rangi ya silver. Airbag 2, Mziki, kama kawaida AC za carina mnzijua ni full kuganda, ina engine ya 7A. Bei ni rahisi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom