Yote ni majiji makubwa na yanachangamoto zake
Kwa mjasiriamali mdogo anayetaka kuwekeza ni jiji lipi la kuwekeza kwa gharama nafuu na likakutoa
Hata kama una mtaji mdogo
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wametia saini mikataba wa miradi mikubwa sita ya usambazaji maji kwa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani wenye thamani ya Bilion 114.5. Utiaji huo...
Baadhi ya Watalaam wanaoshirika ujenzi wa Reli ya Kisasa, SGR kutoka Tanzania na Kampuni ya Ujenzi ya Yapi Merkezi wakishuhudia zoezi la uunganishwaji wa reli ya Kisasa katika ziara ya Wakuu wa...
Dar es Salaam (Dar) (from Arabic: دار السلام Dār as-Salām, "the house of peace"; formerly Mzizima) is the former capital as well as the most populouscity in Tanzania and a regionally important...
Wananchi walikuwa na matumaini ya kuingia mkataba wa kulipwa hela kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kukodishia ardhi yao kwa kampuni ya JACANA/Strandline Resources inayotaka kufanya mradi...
Wote tunatambua kwamba serikali ina mpango wa kuacha kutumia mafuta kuzalisha Umeme na kuanza kutumia Maji na Gesi asilia ...kama wewe ni mfwatiliaji mzuri basi utakuwa unajua mitambo ya umeme ya...
JENGO la tatu la abiria (Terminal III) katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki, zikiwamo 245 za moja kwa moja...
Cruise terminal ...ni jengo liliojengwa pembezoni mwa bahari lenye uwezo wa kuhudumia cruise ship..hizi cruise ship husafirisha sana watalii kutoka maeneo mbali mbali duniani ..na hutia nanga...
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu...
Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi...
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kukamilisha mradi mkubwa wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), ambapo tayari kiasi cha zaidi ya...
Serikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya...
**mod masahihisho heading isomeke mataruma
Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda...
MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA ILIYOWEKWA ILI KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025
Serikali ya Rais John Magufuli imeanzisha Miradi ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata uchumi wa...
Dr Magufuli awataka NSSF kuanza ujenzi wa daraja la Kigamboni mwaka huu
By admin March 25, 2011Posted in: Habari Mchanganyiko
Na Tiganya Vincent_MAELEZO-Dar es salam
Serikali imeliagiza...
Wana jamvi,
Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village".
Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.