KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya. Naomba kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate mwanga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya. Naomba kujua kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
BAADHI ya wanafunzi wa sekondari wilayani Mpanda na Mlele mkoani Katavi wamejitokeza mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kupendekeza Katiba ijayo ibane walimu wa kike ambao wanapewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NASHANGAA KUONA KABLA YA WATU WA TUME YA KATIBA KUFIKA ,ZINAGAWIWA MIONGOZO YA MAPENDEKEZO YA KATIBA MPYA TENA IKIWA IMECHAPWA NA MWANASHERIA WA SERIKALI,JE HII NI HAKI KWA RAIA AMBAO WANA MAONI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahudhuria live sasa hivi. Najikuta nimezungukwa na sura za kimagamba tu huku kijijini sijui kama patatolewa maoni significant. Siwaoni wanaharakati hapa,wapi Jukwaa la siasa? Nafasi hii itatekwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napendekeza katiba mpya iwe na baraza la kitaifa lenye wajumbe wazalendo, wasio wanacahama wa chama chochote cha siasa ili baraza hilo lihusike na kutunga sera na vipaumbele vya taifa. kazi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba mikutano ya katiba itakuwepo. lakini sio watu wote watapata mic kwa ajili ya kutoa maoni. Usashuri umetolewa kwamba kila familia (baba, mama, na watoto) ikae, ijadili, na kuandika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajameni, katika pita pita yangu kwenye mtandao nimekutana na maoni yafuatayo ya mtanzania mmoja juu ya katiba mpya; Yafuatayo ni maoni yangu; 1. Rais apunguziwe madaraka katika uteuzi wa...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Pongezi kwa Serikali na tume ya Katiba Mpya Katika hitimisho la Katiba naomba na haya yazingatiwe: 1.Wakuu wa mikoa wachaguliwe na wananchi kila baada ya miaka mitano wakati wa uchaguzi mkuu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na madiwani wengi kuwa na uelewa mdogo wa mambo wizi na ubadhilifu unafanyika bila hata wao kujua nini cha kufanya hivyo ni vema wakawa na elimu ambayo inaweza kuwawezesha kutambua mambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
katika katiba mpya polisi iwe Tanzania police service na sio kama ilivyo sasa kama Tanzania police force ,iwe taasisi ya hudumaa ya uma badala jeshi nakuwa chini ya amiri jeshi mkuu .rais .kama...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi wa wilaya ya kwimba mkoani,wamegoma kutoa maoni katika tume ya kukusanya maoni baada ya mkuu wa wilaya hyo kutoa wito kwa wananchi kujitokeza. Wananchi hao wamesema kwamba hawawezi kutoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sisi kama wa kristo ni lazima tupiganie katiba mpya iseme na itaje wazi wazi ushiriki wa madhehebu yote ya kikristo katika kutumia vyombo vya umma tbc.mwanzoni hili lilikuwepo lakini kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za majukimu ya kujenga Tanzania Imara. Mchango wangu kuhusu katiba ijayo. 1. Kwa kuwa viongozi wetu wameshindwa kukemea suala la ukabira na udini, ninaona kuna haja ya kuvipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, napenda kuwajuza tu ya kwamba kuna kongamano la kikatiba linaendelea kurushwa LIVE hivi sasa katika kituo cha televisheni cha ITV. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amini usiamini,Katiba mpya itakuwa ngumu sana.Ibara zake zitakuwa hazitafsiriki nje ya Mahakama.Kwanini? Nimetafakari kwa kina sana juu ya waliopo kwenye Tume ya Maoni ya Katiba Mpya ambayo ina...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cdm kimeonekana chama imara, lakini kisipokuwa makini na vipandikizi kitasumbuliwa sana, na ili kiwe safi, fukuza vipandikizi vyote kikianza na shiubuda
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kwa mujibu wa katiba yetu, mtu anayepaswa kuwa mgombea urais wa Tanzania level yake ya Elimu ni kiasi gani cha elimu? Naomba kufahamishwa na si kutukunwa. Aulizaye hujibiwa! Kwenye uliza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa maoni ya ngu katiba mpya ya Jamhuri ya muuangano iwezeshe kutokuwa na mlundikano wa kasi mahakamani, ambao mara nyingi hauna tija bali usumbufu na gharama kwa taifa ambazo zingeweza kuepukika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom