KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Profesa Shivji Mimi nilidhani kwamba kabla ya kuanza kwa mchakato wa kuunda Katiba Mpya kungekuwa na dira ya mpango wa maendeleo ili kujua tunataka Katiba ya aina gani,”alisema Profesa Shivji...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau eeeh,hv mnaonaje kwenye mapendekezo ya Katiba yetu hii mpya tunayoitarajia,kwa nini kusiwe na dirisha dogo la uchaguzi hasa kwa Raisi ili kuwapa nafasi wananchi kupima kama wana Haja ya...
1 Reactions
0 Replies
763 Views
Katika uchaguzi 2010 Tanzania tulishuhudia CCM wakiikimbia midahalo iliyokuwa inaendeshwa TBC na hata kuwakataza wagombea wao kushiriki. Midahalo hii ni fursa muhimu kwa wananchi na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokana na madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi selikalini,katiba mpya inayoendelea na mchakato wam kuandaliwa ingeruhusu kukodisha viongozi toka nchi za nje viongozi kama...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Napendekeza kuwa Katiba mpya iwe na kifungu cha kujisimamia kama Katiba ili kutoa adhabu kwa viongozi na watawala wanaounja katiba waziwazi na hili liwezekane kuunda jopo la Katiba kutoka Kanda...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Wazee hao wanadhani Raisi hasikilizwi an watendaji wake
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nivema sasa jeshi la police ligeuzwa mfumu nakuwa huduma za police .kwani kwa kufanya hivyo .kutaliondoa kuwa jeshi na kuwa chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni raisi wa nchi.na hivyo kutowezesha...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Toa maoni yako juu ya katiba mpya kupitia mtandaoni kwa kubonyeza hapa: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeangalia CD iliyorikodiwa sijui na nani wakati wawakilishi wa baraza kama watu binafsi wakitowa maoni juu ya katiba mpya waitakayo kama sehemu ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati wa Utawala wa Mkapa suala la kuandika katiba mpya lilikuwa ni chungu kuliko hata uchungu wa mwarobaini. Nilimsikiliza Mkapa akijibu matokeo ya Tume yake Mwenyewe juu ya katiba. Ali-fume...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Kinachonishangaza kura za maoni marumbano ni Uislamu na Ukristo, Waislamu wanataka kadhi kana kwamba kuna aliyewazuia kuwa nao, Madai Mpaka iingie kwenye katiba, wakristo nao wana hofu ya madai...
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Ndugu zangu hii sasa inasikitisha sana. Wakati wa nyerere waziri yoyote akiboronga anastaafishwa kwa manufaa ya umma, leo waziri akiborongo wizara hii anahamishiwa wizara nyingine. Kwa nini...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
* Waislam wataka wimbo wa Taifa ubadilishwe kwani ni wa Kikristo na pia siku za mapumziko zibadilishwe ! * Wakristo nao hawataki mahakama ya kadhi, OIC na uvaaji wa hijab mashuleni. Source: Habari...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau tunajadli katiba mpya kipindi hii ila naomba kuwasilisha hoja ja kuona ile nembo ya taifa nayo kama inahitaji mjadala naona kama haiendani na karne hii, naomba kuwasilisha!:embarassed2:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuwe na mdahalo wa wa wagombea wa urais ili wananchi waweze elewa nani anauwezo wa kuwaongoza na nani yupo kwa sababu kawekwa na rafiki zake. Tupendekeze midahalo mitatu kabla ya uchaguzi na...
0 Reactions
4 Replies
900 Views
Katiba itamuke wazi kuwe na taasisi maalumu za kuteua jaji mkuu na majaji wa mahakama kuu,kueua makatibu wakuu wa wizara,mkuu wa majeshi,polisi,magereza,wasiteuliwe na raisi,vilevile wenyeviti wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba dini zitengwe na siasa kiukweli. WAnasiasa wasiruhusiwe kuongoza harambee makanisani au misikitini. wasiruhusiwe kuongea kwenye makongamano ya kidini. wasiwe wachungaji wala mashehe.haya...
1 Reactions
0 Replies
834 Views
Naomba mnijuze Rais wetu mikataba anayo saini sasa uko omani hivi ina usu nini? je? ni vibaya ikiwekwa wazi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF. Nimepata kufatilia mijadala inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani kwa bahati nzuri nikashawishika kutambua yafuatayo Huwezi kuwa Rais wa Marekani kirahisi kama...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mwendo huu wa tume na mambo ambayo watanzania wa kiu ya kuyasema kuhusu huu muungano tunatengeneza tanzania ingine ya kusadikika.
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Back
Top Bottom