Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wadau JF, Namshukuru MUNGU kwa kuniwezesha kuwa Hai na kuuona mwaka 2016. Pia Namshukuru kwa kuwaweka Hai wote mlio Hai kama mimi. Naomba kuyatoa machache ninayoyaona kwa kiwango changu kama...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Mara tu baada ya mgogoro wa kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar kuibuka, Zitto Kabwe kama Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo alisema hivi: Kimsingi, Zitto alimtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mh Tundu Lissu amesema, tunataka Rais Magufuli atuambie, waliokaepa kodi bandarini ni kina nani na kwanini hatuwaoni Mahakamani. Hatutakubali atuambie tu...
4 Reactions
137 Replies
20K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalumu limesema mtu yeyote atakayetaka kusindikizwa na polisi kwenda kuchukua fedha nyingi benki, anaruhusiwa kwa kulipia Sh 10,000 au Sh 20,000. Chanzo: Habari Leo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mazuri yote aliyoyafanya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete yameanza kuyeyuka kama dheluji inayokabiliana na tanuri la moto. Dhambi ya madudu ya bandari haiwezi kumuacha Rais Mstaafu, Kikwete. Dhambi...
10 Reactions
84 Replies
12K Views
Siungani kabisa na kilichofanywa na wafusi wa CCM kuhusu bango lao na nahisi ya kuwa limevupa mipaka na la kibaguzi na walioandika ni wajinga wa kutokujua demographic makeup ya Zanzibar.Na...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Karachi. Authorities in Pakistan have reportedly seized a large quantity of a chemical used for making improvised explosive devices that allegedly originated from Tanzania. According to the...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Kamati inayoshughulikia utatuzi wa migogoro ya ndani ya bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kushirikiana na chama cha wanasheria wa Afrika (PALU) imekutana jijini Arusha kuzungumzia mgogoro...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
  • Redirect
Kwanza ningependa kupongeza serikali hii ya awamu ya tano kwa kasi nzuri tangu kuapishwa kwa raisi mpaka Baraza la mawaziri, Hongera sana. Ningependa kueleza machache kuhusu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimeshangazwa Na kauli ya Nape ya kumjibu Lisu kuwa eti Chadema kama INA Sera za kupinga ufisadi imfukuze Lowassa.Ninapenda kumwuuliza Nape Huyo Lowassa ambaye CCM inamwita fisadi baada ya kuhama...
0 Reactions
Replies
Views
Nimesikia kauli ya Kiongozi mmoja wa CHADEMA kwamba Chama chake kitaendeleza Mapambano dhidi ya Ufisadi! Ni kichekesho kweli maana Ajenda hiyo walishaitupa kitambo baada ya kuwa Vigeugeu! CHADEMA...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Kufuatia tuhuma za wizi mkubwa unaohusisha kutafunwa malipo ya tozo za matumizi ya bandari kwa kipindi kirefu.Baada ya maagizo ya Waziri Mkuu yaliotokana na kuibuliwa kwa kashfa kubwa sana ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yanayoendelea katika siasa za Tanganyika na Zanzibar yana ukakasi mkubwa kumung'unywa kihistoria. Wananchi wa nchi zetu wana historia ndefu sana juu ya asili zao,malimbuko yao,machimbuko yao na...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Kufuatia zoezi la utumbuaji vipere,majipu na matezi imebainika kuwa Shirika la Viwango Tanzania kuna majipu yaliokomaa na kugeuka kansa rushwa ..Tuhuma husika za ufisadi zinayohusisha utolewaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mkae chini mpangilie utendaji wa serikali, Kuwe na mipango sio uvamizi was kila mwenye cheo kuagiza alichokiwaza, Kuwe na miongozo ya itendaji, MKUU wa mkoa afanye na katibu afanye nini...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
  • Redirect
CCM imemjibu mwanasheria Mkuu wa Chadema ikisema ili chama hicho kikuu cha upinzani kionekane kinapambana na ufisadi kwa vitendo, kinatakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli na kumvua uanachama...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wasaalam ukimya alionao Lowassa kwa wakati mwingine unaweza ukawa unakera na hasa pale maadui zake kisiasa wanaotumia udhaifu kuendelea kumpakazia tuhuma ambazo sisi tunaojielewa tunajua lengo lao...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Katika nchi zilizoendelea ambapo raia wanauelewa mkubwa wa mambo na wanajipa muda wa kufikiri na kuchuja kila jambo, chama cha mizengwe, misutano, chama cha uswahiliswahili kama CCM kingekua na...
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa za Habari Leo Usiku zilihanaikizwa na mgomo wa Wafanyakazi wa Kiwanda cha Viatu Bora ambao kufuatia ziara ya Waziri wa Kazi na Ajira Kiwandani hapo aliagiza wafanyakazi wote wasio na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom