Nimeshangazwa Na kauli ya Nape ya kumjibu Lisu kuwa eti Chadema kama INA Sera za kupinga ufisadi imfukuze Lowassa.Ninapenda kumwuuliza Nape Huyo Lowassa ambaye CCM inamwita fisadi baada ya kuhama...
Nimesikia kauli ya Kiongozi mmoja wa CHADEMA kwamba Chama chake kitaendeleza Mapambano dhidi ya Ufisadi! Ni kichekesho kweli maana Ajenda hiyo walishaitupa kitambo baada ya kuwa Vigeugeu!
CHADEMA...
Kufuatia tuhuma za wizi mkubwa unaohusisha kutafunwa malipo ya tozo za matumizi ya bandari kwa kipindi kirefu.Baada ya maagizo ya Waziri Mkuu yaliotokana na kuibuliwa kwa kashfa kubwa sana ya...
Yanayoendelea katika siasa za Tanganyika na Zanzibar yana ukakasi mkubwa kumung'unywa kihistoria.
Wananchi wa nchi zetu wana historia ndefu sana juu ya asili zao,malimbuko yao,machimbuko yao na...
Kufuatia zoezi la utumbuaji vipere,majipu na matezi imebainika kuwa Shirika la Viwango Tanzania kuna majipu yaliokomaa na kugeuka kansa rushwa ..Tuhuma husika za ufisadi zinayohusisha utolewaji...
Naomba mkae chini mpangilie utendaji wa serikali,
Kuwe na mipango sio uvamizi was kila mwenye cheo kuagiza alichokiwaza,
Kuwe na miongozo ya itendaji,
MKUU wa mkoa afanye na katibu afanye nini...
CCM imemjibu mwanasheria Mkuu wa Chadema ikisema ili chama hicho
kikuu cha upinzani kionekane kinapambana na ufisadi kwa vitendo,
kinatakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli na kumvua uanachama...
Wasaalam ukimya alionao Lowassa kwa wakati mwingine unaweza ukawa unakera na hasa pale maadui zake kisiasa wanaotumia udhaifu kuendelea kumpakazia tuhuma ambazo sisi tunaojielewa tunajua lengo lao...
Katika nchi zilizoendelea ambapo raia wanauelewa mkubwa wa mambo na wanajipa muda wa kufikiri na kuchuja kila jambo, chama cha mizengwe, misutano, chama cha uswahiliswahili kama CCM kingekua na...
Taarifa za Habari Leo Usiku zilihanaikizwa na mgomo wa Wafanyakazi wa Kiwanda cha Viatu Bora ambao kufuatia ziara ya Waziri wa Kazi na Ajira Kiwandani hapo aliagiza wafanyakazi wote wasio na...
Cheo cha urais ndio cheo kikubwa cha kisiasa kushinda vyeo vingine vyote.Ndio maana siku zote,Rais akimaliza muda wake.Inakuwa vigumu sana kumwajiri au kumpa kazi nyingine aifanye.
Labda kazi za...
Nimemsikia Nape akisema kuwa ccm walimfukuza Lowassa kwa kuwa ni fisadi. Mimi Nijuavyo Lowassa alijiondoa ccm. Na kama walimfukuza kwa nini yy pekee ndiye aliyefukuzwa, hakuna mafisadi wengine?
TUAMBIZANE UKWELI HATA KAMA UNAUMA
Unapoona watu wanaojiita vijana, tena eti wasomi tena eti waswalihina wenye mijisijida kama vifuu wanaelekeza na kusimamisha msingi wa siasa zao katika ubaguzi...
Pamoja na serikali kufuta ada na michango mashuleni,bado kuna kero zinawakabili watoto wetu ambazo wizara haipaswi kumsubiri rais azishughulikie.
Hivi sasa shule nyingi za sekondari za kata...
Mkwamo wa kisiasa Zanzibar watua rasmi kwa Papa vatican.Hatua hiyo imechukuliwa na Maalim Seif.Baada ya kumwandikia Papa barua na kumweleza hali ya kisiasa ya Zanzibar
Kwa kumshirikisha Papa...
Hata mtoto wa shule anajua kuwa kupiga vita ufisadi haijawahi kuwa sera ya CCM, bali ni mapambano anayoyafanya Magufuli binafsi kutokana na shinikizo la wapinzani na wahisani wa nje.
Ndio maana...
Akihojiwa katika kituo cha Radio cha Capital amesema na ameomba CCM NA CUF Zanzibar kamwe zisiwachanganye wananchi wala kuwavuruga wananchi
Akizungumzia suala hilo amesema Tokea mwaka 2000...
Mwenyekiti ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo ametoa maoni yake kuhusu hotuba ya rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein iliyosisitiza kuhusu marudio ya uchaguzi...
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa jumla ya Sh bilioni 459 kama mikopo kwa elimu ya juu kwa wanafunzi 122,486, wanaosoma katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi katika...
CHAMA cha Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) kimesema kamwe hakitawatetea wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi, hivyo kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanatii sheria za nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.