Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wanajamvi, Nimekutana na kitendo ambacho kimenifanya nijiulize kwma zana na serikali ya awamu ya Tano ya Elimu bure msingi na sekondari ni ya kweli. Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari ya Mbabala...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mungu baba mrehemu Raisi wetu hayati Mwl Nyerere. Alifanikisha kuwepo kwa viwanda japo ubepari ulimpiga vita sana.Viwanda kama Urafiki na kwa maono na maarifa yake aligawa ardhi endelevu kwa...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
  • Redirect
Shkamoo rais Magufuli. yapata siku kadhaa sasa naona kimya, majipu yameisha?? Halmashauri za wilaya na Manispaa zina majipu tena ya kutisha lakini uko kimya. tunakuomba uyamulike kwa jicho la...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kati ya mawazi amabao unaona katika siku walizoanza kazi ni akina nani unaona wanaendana na kasi nia, haki, ya kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi.?
0 Reactions
Replies
Views
Niseme ukweli wa wazi nasikitishwa sana na kinachofanywa na chama changu juu ya uchaguzi wa Zanzibar Ukiona mpaka watu wenye heshima kama Karume wameongea ujue imevuka kipimo Ivi tunaweza...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Nmeshikwa na mshangao na ujenzi wa fensi uliofanyika pale mchicha pembezoni mwa karakana ya Tazara ikionesha dhahiri ni Yard au Kiwanda kinataka kujengwa. Kinachoshangaza zaidi ni ukataji wa miti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati tukiwa karibu kabisa kuanza kwa vikao vya bunge, katika awamu ya Tano ya Uongozi wa Taifa hili. Tutegemee hoja zipi mpya ukiachana na zile za kila siku tulizozizoea za escrow, richmond na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Kuna wanasiasa matapeli na wakwapua hela za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya pesa kwa ajili ya uchaguzi ujao.Wafanyabiashara kama ni kulizwa kwa michango na hao matapeli mumeshalizwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
TUNDU ANTIPAS LISSU - niliyeamua kumpuuza. Tuanze kwa AMANI.. Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna kila dalili kuwa mpango wa elimu bure utagoma, hali ya shule zetu zitakuwa mbaya hasa kwenye miundo mbinu, fedha inayotolewa haitaweza kutengeneza hata madawati kama haitatolewa kwa mikupuo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Si CUF, CHADEMA , NCCR au Chengine chochote. Sasa endelezeni kuhujumiana na longolongo ! Mwana JF na wale wanatupia jicho JF, Angalia na sikiliza Mkapa segment..kuanzia dakika ya 2:46 mpaka...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika majipu sugu jipu lililopo katika Halmashauri { A.k.a wazee wa madokezo} zote Tanzania ni jipu sugu na lipo sehemu mbaya sana. Asilimia 90 ya muda utumikao Halmashauri unatumika kwa vikao...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Mvua kubwa iliyonyesha hapa Jijini Mwanza imesababisha madhara makubwa ya mali na kifo kimoja cha mtoto wa shule na inasemekana watu wengi zaidi wamepoteza maisha. Mto Mirongo kwa Miongo kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
  • Redirect
Katika majipu sugu jipu lililopo katika Halmashauri { A.k.a wazee wa madokezo} zote Tanzania ni jipu sugu na lipo sehemu mbaya sana. Asilimia 90 ya muda utumikao Halmashauri unatumika kwa vikao...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Pamoja na kujipa moyo juu ya uendeshaji wa chama baada ya Dr. Slaa kujiuzulu kutokana na kushindwa kumsafisha Lowasa katika kipindi cha uchaguzi. Tundu Lisu ameeleza wazi kuwa kiatu cha Dr. Slaa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
TUNDU ANTIPAS LISSU - niliyeamua kumpuuza. Tuanze kwa AMANI.. Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo...
0 Reactions
Replies
Views
Suala la serikali kutoa elimu bure ni nzuri na sisi kama wananchi bila kujali itikadi ya vyama vyetu tunamuunga mkono mh. jPM. Serikali imeahidi kutoa kutoa sh 10,000 kwa kila kichwa cha...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
MASHAMBA na viwanda 49 vilivyomilikishwa kwa wawezekaji mbalimbali nchini, vimebainika wamiliki wake wamekiuka masharti ya umiliki na wengine wamebadilisha matumizi yake bila idhini ya Msajili wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom