Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
JESHI la Polisi kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali (DPP), limetaifisha mali zenye thamani ya Sh bilioni 11 zilizopatikana...
0 Reactions
Replies
Views
Wapinzani wamegomea kuingia bungeni kwa na kujadili hotuba ya rais sababu hawana cha kujadili sababu siku ya hotuba hawakuwepo hivyo hawana cha kujadili. Tuwaombe wabunge wa upinzani tulieni...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
1.Hongera Johni Pombe ,kwa kazi uloianza. Wewe umepata kombe,shindano halijaanza. Chomoza yako mapembe,uchome walojibanza. Magufuli ndo wa kwanza,Tanzania aipambe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mwananchi wa kawaida sina budi kumpa hongera Mh.Mafuli raisi namba moja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar aka TANZANIA. kwa namna alivyoanza tu na kuwamsha wafanyakazi wazembe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili swali linapasua sana kichwa changu gt nisaidieni. Hawa CCM wasasemaga wanajiamini sana na kwao ushindi ni lazima,, sasa kwanini hawaruhusu matokeo yatangazwe na mshindi apatikane?
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Mbunge wa Nzega mheshmiwa husen Bashe amekiri kua Magufuli ndiye rais tuliemhitaji kuiongoza nchi yetu kwani ni mtu anaesimamia anachokiamini bila kusita wala kumuonea haya mtu yeyote hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Baraza la Mitihani Tanzania mwaka uliopita wa 2015 liliendesha mitihani ya darasa la nne kama ilivyo ada.Lakini mwaka huo wa 2015 ilifanya mabadiliko kidogo katika usahihishaji kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Naangalia star tv muda huu kipindi cha tuongee asubuhi,mada kuu ni "BUNGE LA 11" pamoja na washiriki wengine mtangazaji amesema Mh.ZZK pamoja na mbunge wa sikonge nao watashiriki live...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi wa Zanzibar ambao wamekuwa wakipatikana na mambo ya maajabu kila unapokaribia uchaguzi,wakati wa uchaguzi na baada ya Uchaguzi. Suali kwa na utumwa kwa Wabunge wa Zanzibar ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona hoja ya kurusha matangazo ya bunge TBC live nape ameangalia mambo mawili 1. Kupunguza gharama alizozitaja za bilionl 4 kwa mwaka ili zisaidie masikini. 2. Kuwapa watumishi wa umma kuudumia...
10 Reactions
95 Replies
7K Views
Kuna habari kuwa sanamu maarufu jijini Dar itahamishwa na kupelekwa mwenge vinyago na hivyo kukuza utalii katika soko maarufu la vinyago la Mwenge,habari hiyo inadai kuwa sanamu hiyo kuwa Posta...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
CLEAR understanding of the fact that under the two-government structure of the Union between former Tanganyika (now Tanzania Mainland), and Zanzibar, and of its Constitutional implications on the...
2 Reactions
82 Replies
14K Views
RAIS John Magufuli pamoja na mawaziri wake, wamehimizwa kutovunjika moyo kwa kauli za kubeza kazi wanazofanya, badala yake wahakikishe wanaendelea na kasi yao kudhihirisha wanachofanya si moto wa...
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya...
11 Reactions
96 Replies
12K Views
Ninaziona dalili kali sana za Mungu kukurudishia jimbo lako , unahitaji uvumilivu kidogo sana . Uzuri wake ni kwamba wananchi wa Mtama ( ambako ni kwenu ) bado wanakuhitaji kuliko unavyodhani ...
7 Reactions
74 Replies
28K Views
Hili ni andiko la Hussein Bashe: Bashe: Membe Amuache Ndg Magufuli Afanye kazi Membe amekuwa Waziri for ten yrs ametimiza wajibu wake amuache Ndg Magufuli atimize wajibu wake. Aliomba Urais...
35 Reactions
207 Replies
31K Views
Ni aibu kuonataifa la kidemokrasia kama Tanzania kuanza Kuhujumu watanzania kupata habari za wale waliowatuma kuwawakilisha. Matangazo ya bunge ni kioo cha kutuonesha kama kweli wanatimiza wajibu...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Nashindwa kuelewa ni kweli Mh.Rais kakubaliana na hii dhana ya kuongerea nyuma ya pazia au ni mbinu ya kumgombanisha na wananchi ili ashindwe kutumbua majipu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Kuna taarifa kuwa, ili kuonesha kuchukizwa na Ufisadi/Rushwa. Wapinzani wamekubaliana kutoka nje kwenye vikao vyote vya Bunge vitakavyoongozwa na Chenge. Hii imefikiwa kwenye...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wakulima wetu wanatumia nguvu nyingi na masaa mengi kazini na kuishia kuvuna mazao kidogo na kupata bei ndogo wanapoyauza, Jitihada nyingi zimefanyika tangu uhuru kuhusu swala hili. Ila bado...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Back
Top Bottom