Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hali zenu wakuu, Nawashukuru katika thread ya last week tulijadili sana kuhusu wako wapi ma TO waliopita? na tulitafakari mengi.... Leo sina hoja ya moja kwa moja bali naomba kila mmoja atafakali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namuangalia hapa Clouds muda huu anachambua Elimu hawa watangazaji hawajamuelezea sawasawa wamemtambulisha Kama mtaalamu wa elimu. Pia wamesema ni mmiliki wa chuo cha Mlimani professional study...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kuna siku habari zilivuma kwamba Balozi wa Norway kaenda Unguja na kukutana wanasiasa wa huko bila ya idhini ya Serikali, baadaye Serikali ikatoa Waraka kwa Mabalozi wote kwamba marufuku kufanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MADUDU YAIBUKA POLISI ARUSHA,OFISI YA RCO YAINGIA LAWAMANI. (PART 1) Mwandishi wetu,Arusha Hali ya sintofahamu imeibuka katika ofisi ya mkuu wa upelelezi mkoani Arusha mara baada ya ofisi hiyo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Inafahamika katika duru za kisiasa, hofu ya kupinduliwa ilipelekea Abeid Amani Karume ambaye alikuwa kiongozi chama cha A.S.P. kuamua kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika iliyokuwa chini ya chama...
7 Reactions
111 Replies
11K Views
Hakuna kitengo cha wizara ya ardhi ikivyokuwa na matatizo makubwa katika nchi hii kama watanzania wanyonge wanavyodhurumia ardhi. maafisa ardhi wanasomea kwa kazi ya kuwadhulumu watanzania. kwa...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Wakati wa mgogoro wa gesi mkoani Mtwara tunakumbuka pamoja na hoja uliyoitoa watu wa Mtwara hawana elimu pia uliiaminisha Tanzania ukiwa kwenye kiti hichohicho cha uwaziri unaoshughulikia nishati...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nchi ya Uingereza imempongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wa serikali yake hususani katika kupambana na ubadhirifu wa mali za umma na ufisadi, kwa siku chache alizokaa madarakani. Sifa hizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MBINU HIZI ZA WAPINZANI ZIMESHASHINDWA TAYARI! Siku chache zilizopita kumetokea tabia ya kushambuliwa kwa maneno kwa baadhi ya wakuu wa wilaya kupitia vyombo vya habari ikiwemo magazeti...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Mgombea Uraisi wa Upinzani huko nchini Uganda alikamatwa na vyombo vya Usalama vya nchi hiyo baada ya kutaka kujitangaza yeye mshindi wa Uchaguzi wa Uraisi ambapo ni kinyume na Sheria na taratibu...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Kumbe tuna uwezo mkubwa wa kukusanya kodi: Na Nyakongo Manyama –MAELEZO-Dar es salaam 22.2.2016 Serikali imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi trilioni moja kwa mwezi huu tofauti na...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa mara mbili kwa masikio yangu nimemsikia Kagasheki akisema Kanali mstaafu Fabiani Massawe ni mtu wa ajabu na ni mpuuzi maana anamtetea Meya Amani ambaye ni mwizi na mbadhirifu.......na anasema...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Shikamoo, Salute, Naandika kwako mheshimiwa; kuna mabilioni ya JK ambayo ni pesa ya wavuja jasho. Kuna wajanja wachache na mameneja wa benki walichukua hizi pesa na kuwapatia watu wasiositahiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Serikali imesema itatoa bei elekezi katika sekta ya afya hivi karibuni baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kubariki bei hizo kuanza kutumika kwa lengo la kuwapunguzia mzigo wa gharama wananchi...
0 Reactions
Replies
Views
Meneja wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) Mkoa wa Dar es Salaam, Lawrence Mwalumwelo na wenzake wawili wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SERIKALI imesema itatoa bei elekezi katika sekta ya afya hivi karibuni baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kubariki bei hizo kuanza kutumika kwa lengo la kuwapunguzia mzigo wa gharama wananchi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Baada ya Jiji la Dar es Salam kuwa chini ya UKAWA, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida. Mameya wa UKAWA pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
AMIRI JESHI, IAMBIE CCM ISIILAZIMISHE CUF IFUATE NJIA YA ASP. Salamu. Mie si mchambuzi wa mfano katika mambo ya kisiasa katika nchi yetu, ila niko na nafasi kama mtanzania kutoa mawazo yangu...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
  • Redirect
SERIKALI imeendelea kupaa katika ukusanyaji wa mapato baada ya kukusanya hadi Sh trilioni 1.79, ambazo imezipeleka katika huduma za jamii, ikiwamo elimu, maji, miundombinu na miradi ya maendeleo...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom