Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Angalia masanja akichekesha mwenye nchi
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kutawaliwa upya hakupingiki basi safari hii tujaribu mreno tunaweza kupata ujasiri na uelewa wa demokras kuliko mwingereza na mjerumani. Mambo ya Uganda Zanzibar Meya wa Dsm,Tanga ,Kino,Ilala...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mila na destuli za kiafrica zimajulikana hasa kwenye kipengele cha ndoa.... hua napata wakati mgumu kuona je,ni sahihi mke wa kiongozi mkubwa wa kitaifa kupewa nafasi kubwa ya maoni....?? na hyo...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Naandika kijichapisho hiki ambacho yeyote yule angeweza kuandika vyovyote vile aonavyo ingefaa. Lakini mimi kama mzalendo naomba nijikite katika nyanja yangu ya elimu kama Nguzo mama na muhimili...
1 Reactions
0 Replies
965 Views
Kwanza kabisa naungana na Trump kuhusu kuishambulia Uganda! Ningekuwa nina uwezo ningemtokomezea mbali dikteta Yoweri Museven! Nisingeishia hapo, pia Nkuruzinza ningemuondosha! Pili naunga mkono...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Inashangaza kuona serikali haina sera madhubuti inayosimamia elimu hivyo kila waziri anayekuja wizarani analeta mawazo yake binafsi na hivyo kuyumbisha misingi ya elimu yetu. Nitoe mifano...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Picha inaongea kila kitu, hapo Waziri wetu wa Fedha Waziri Mpango (CCM) alipokutana na Wabunge ktk nchi ya Uswidi, kilichonivutia klk vyote ni jinsi watu walivyo busy wakiwa na kalamu na karatasi...
4 Reactions
55 Replies
8K Views
Pongezi kwa Serikali ya Magufuli kwa kutumbua majipu kila kukicha,utumbuaji huu wa majipu upunguze ugumu wa maisha kwa watanzania,tunataka kuona bei ya bidhaa mbalimbali...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali 2.Escrow 3.EPA 4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi. 5.Meremeta 6.Kagoda 7.Richmond 8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei...
19 Reactions
137 Replies
19K Views
Nilivyoangalia ule ugomvi wakati Mbunge wa Iringa Msigwa (chadema) alivyokuwa anarusha matusi kwa hamaki kubwa dhidi ya Mkuu wa Wilaya nikabakia najiuliza maswali mengi ya bila majibu, ina maana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
CCM imekuwa ikiongozwa kwa mifumo ya mitandao ya watu. Na ni mitandao hiyo hiyo imekuwa ikiwezesha ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, madiwani na hata ule wa Mitaa. Kitendo...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kwenye uchaguzi ngazi ya Udiwani hapa kwetu Tanzania kuna sheria mbili ambazo kwa maoni yangu ni kandamizi. Katika sifa mbili ambazo zinamzuia mtu kuwa mgombea wa Udiwani kisheria, nukuu au rejea...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tatizo lililojitokeza juu ya uchaguzi uliofutwa huko Zanzibar umezua maneno maneno mengi sana. Kuna waliojaribu kulichukulia juu juu na kudhani ati ni tatizo la CCM kiujumla. Wengine walienda...
4 Reactions
313 Replies
35K Views
Ulaya Wamgomea Magufuli Umoja wa Ulaya (EU), umemgomea Rais Dk. John Magufuli, kwa kueleza kuwa msimamo wake ni uliotolewa na washirika wa jumuiya ya kimataifa wa kumtaka kushirikiana na vyama...
2 Reactions
64 Replies
13K Views
KUANZISHWA kwa chama chochote cha siasa malengo yake ya kudumu na ya mwisho ni kushika dola na kuiongoza. Ili chama kiweze kuaminiwa na wananchi kushika dola lazima chenyewe kijiamini kupitia watu...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Kama mnakumbuka hapo nyuma, kambi rasmi ya upinzani katika bunge lililopita ilimtuhumu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, kuwa dalali wa ardhi iliyoibua mgogoro huko Holili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametengua uteuzi wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Henry Lihaya baada ya kushindwa kutekeleza wajibu wake. Nnauye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu Waziri Dkt.Kigwangalla ambaye ni Mwenyekiti wa kikosi kazi hicho (kulia) akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe hao Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) wamekosoa namna ambavyo uchaguzi mkuu wa Uganda ulievyoendeshwa na kusema mabadiliko makubwa yanahitajika. Wakizungumza na wanahabari nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona waandishi, baadhi ya wachambuzi wa duru za siasa wa watumiaji wa mitandao ya kijaa wakijaribu kushawishi kuwa Magufuli na serikali yake wana dira nzuri na watatimiza ahadi zao kwa wakati...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom