Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Najaribu kuota, nionavyo siku takribani 110 za JPM ndani ya Ikulu; ametumbua vipele tu, majipu hata kuyapapasa hajaweza. Naona kama vile vidole na mikono yake inapitishwa mbali na majipu yalipo...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
  • Redirect
Kwa ninavyomjua jpm na madudu aliyoyakuta BOT huwa anasema haya anaondoka na kwenda ikulu kurusha kombora.N aamini kuna masaa machache zile tower zilizojengwa kwa pesa ndefu zitatikisika hâta hao...
1 Reactions
Replies
Views
Kufuatia wanachama na wapenzi wa Chadema na Ukawa nchini kuwa na shauku ya kujua nani atavaa viatu vya katibu mkuu wa Chadema taifa. Wanachama wa chama hicho mkoani Tanga wameamua kufunga safari...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Redirect
Basi sina shaka kura halisi za mtanzania zitaipa upinzani ushindi mkubwa tatizo ni tume kujaa uccm kuanzia mwenyekiti hadi kule chini ni ccm Mwisho niseme tu tunaitaji tume huru ya uchaguzi hili...
1 Reactions
Replies
Views
Rais John P. J. Magufuli amefuta hati ya mashamba 13 ya wawekezaji wilayani Monduli ambayo yalikaa kwa muda mrefu bila kuendelezwa. Uamuzi wa Rais,wenye baraka za kisheria,umetangazwa hukohuko...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wengi tunalia leo kwa Biashara zetu kuguswa,Wengi tumeguswa kwa namna moja au nyingine {Kodi,bomoa bomoa,utumbuaji,},Wengi Tunajuta kwa namna Moja au Nyingine...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Wadau mnaweza kuniamini au kutoniamini au kunipuuza! Nakubali yote; Ila Maalim Seif atakuwa Rais wa Zanzibar siku sio nyingi! Nitataja sababu kwa ufupi sana na sitatoa maelezo hata baadae! *...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashashu Kijaji, amesema kasi ya serikali yake katika ukusanyaji wa kodi inaweza kufanikisha kukusanya hada Shs. 22 trilioni, ambazo ni sawa na bajeti yam waka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna msema wa kiswahili usemao, ukitaka kukata kuumaliza mti basi ng'oa mizizi yake maana, ukikata matawi tu, mvua ikinyesha huchipua na mti ukawa mbichi kuliko hapo awali. kwa akili ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Huko Nssf ndiko ajira ZINA Mashaka zaidi ya BOT,Nakushauri Waziri nenda ufanye ka rais alivyofanya BOT,Shirika litakufa soon maana halina tija kwa sasa na staff ni wengi sana na wengi wao hawana...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
HAPA KAZI TU . . .
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi rais anapokuwa na taarifa ya uhalifu halafu anasamehe wahusika Akidai kuwa wajirekebishe wakati huo huo anajinasibu kutumbua Majipu ya wahilifu wengine hii tuite ni double standard au woga...
0 Reactions
Replies
Views
Nimeambatanisha picha tatu,picha mbili zinamuonesha Dr Shein akiwa Serena Hotel kumjulia hali Jongwe Maalim Seif,wale wazee wa "body language" wanaweza kuona "uso" wa Dr Shein na ule wa Maalim...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Akitolea Maelezo ya awali ya muelekeo wa bajeti 2015/16 kwa kamati za bunge waziri SaadaMkuya amesema hii no bajeti ya wafanyakazi na Huduma za kijamii. kunaongezeko la asilimia 15. Hongera JK...
0 Reactions
35 Replies
15K Views
Karibuni tujadili ahadi hii walioitoa wanachedema kwa Lowassa ya kwamba hata iwe vp hawatamuacha! but miezi michache tu tangu shughuli ya uchaguzi mkuu ziishe mzee amesahaulika kabisa, hawamtaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana. Natamani kujua mipango yao kwa sasa! Juzi kati...
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Japo sijafanya utafiti wa kina, ila inaonekana kuna uhusiano chanya (positive strong correlation) kati ya kuishi maisha marefu, buheri wa afya na uana siasa. Embu tuangalie baadhi ya mifano...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Kuna watu nlishakataa kuwaita waheshimiwa maana sioni wanachofanya hasa cha kustahili heshima yangu. Kesho nina appointment ya kuongea na waziri flan. Lakini huyu ni mmoja ya watu wa hovyo kabisa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
ANSBERT Ngurumo, Mhariri na mchambuzi wa habari aliyekerwa na Kiingereza cha Rais John Magufuli wiki iliyopita, amempongeza kiongozi huyo kwa usikivu, hasa kwa kutumia Kiswahili jana Jumatano...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Lugha ndio urithi wa kwanza kabisa wa binadamu na taifa lake, mtz anayedharau lugha ya kiswahili huyo ni mhaini. Lugha sio maarifa wala usomi, bali ni nyenzo ya kuyatoa /kueleza Maarifa au jumbe...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom