Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Jana rais Magufuli alitua Bank of Tanzania (BoT) akiwa na iliyojulikana kama list ya wafanyakazi wote wa pale wakiwemo wafanyakazi "hewa" Nitafafanua kidogo hili linaloitwa wafanyakazi hewa ila...
11 Reactions
Replies
Views
Msaidie Rais wako atawale. Wengi waweanza kuhoji Mh. huyu aliahidi hiki na kile katika kampeni mbona bado hajatekeleza? Kwenye vyanzo vya mapato Bandalini,kodi za wafanyabiashara wakubwa na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Lakini waliokamatwa na polisi, kwa kuvuruga uchaguzi wa Meya mjini Dar es Salaam, ni Wabunge na Madiwani wa UKAWA...nachoka...!
2 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Redirect
Kama kumpata KM inawasumbua hivyo ndio tuwape NCHI ninyi??? Wapiiii!
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Taarifa za kiintelejesia ndani ya chadema zinasema katibu mkuu mpya ni ndugu Fredric Sumaye. Stay tuned
0 Reactions
Replies
Views
General Public 12% Aunali na Sajjad waliwahi vipi?
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nazungumzia suala la kuongoza nchi kwa vitisho na hofu nyingi bila kutengeneza mfumo wa kukomesha uchafu huo. Yeye mwenyewe ni shahidi kwa aliyoyakuta BoT jana. Kinachotakiwa ni badiliko la...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
MFUMO WA PAMOJA WA FORODHA{SINGLE CUSTOMS TERRITORY} UNASABABISHA MADHARA MAKUBWA HASA YA KIMAPATO KWA BANDARI ZETU HIVYO KUDIDIMIZA JITIHADA ZA NCHI KUJITEGEMEA KATIKA KUSUKUMA KASI YA MAENDELEO...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
  • Redirect
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge amewasimamisha kazi mameneja tisa wa Shirika la Majisafi na Majitaka la Dar es Salaam (Dawasco), akiwamo mkurugenzi aliyestaafu kwa tuhuma za...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hii sasa ni kali soma polepole. Wakati Magufuli ameshatamka (siku alipozindua bunge) kuwa amepokea kiporo chamchakato wa katiba na ataendelea na hatua ya kura ya Maoni. Na waziri Mwakyembe...
2 Reactions
Replies
Views
Mada: Nini matarajio ya watanzania kwa serikali ya awamu ya tano. Yaonyesha Kilala alimmiss Polepole jinsi anavyotembea na vocal zake. Polepole: Waliokwamisha katiba mpya wameshaondoka CCM...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwa kuwa mpaka sasa hakuna dalili za kumpata Katibu Mkuu Huko CDM, ebu basi mfikirieni Huyu bwana aliyejitolea kuwa Afisa habari wenu wakati wa Kampeni mpaka akawatosa wanawe na kusalimika peke...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Sisi wastaafu tumekuwa tukipata Pensheni zetu kila mwezi bila matatizo yeyote lakini kwa mwezi wa Februari,2016 hatujapata PENSHENI zetu. Ifahamike kuwa sisi WASTAAFU hatuna kazi yeyote ni hii...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Nimeona tena Leo Rais kafanya ziara ya kushtukiza (kama ilivyoripotiwa) katika taasisi nyeti sana nchini nayo ni BOT. Hapo ndio ambapo anaweza kupata dira na mwelekeo wa hali halisi ya uchumi na...
20 Reactions
91 Replies
8K Views
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameilalamikia serikali ya Magufuli kwa kitendo chake cha kukaa kimya kuhusu ufisadi unaoendelea kufanywa na Harbinder Singh Seth, mmiliki wa IPTL, ambaye huvuna...
9 Reactions
172 Replies
32K Views
  • Redirect
Watu wasiojulikana wamechoma moto Kituo cha Afya,nyumba tano za wakaazi na Afisi ya CCM huko Kibirizi,Pemba. Habari zaidi zitafuata kadiri zitakavyopatikana Chanzo:Radio One breaking news
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Maafa hayo yametokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa kumi usiku ambapo kamati ya ulinzi na usalama kisiwani humo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Chanzo: ITV habari za saa.
0 Reactions
Replies
Views
Tangu Novemba 5 wakati Dk John Magufuli alipoapishwa, ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga pekee waliotoka nje ya nchi, lakini jana Rais aliwaruhusu...
1 Reactions
70 Replies
11K Views
Naomba kujua wadau hivi hawa makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu walioahidiwa kupangiwa kazi zingine, je mishahara yao bado ni ile ile ya kazi zao au ilisha shushwa? Pili, je wanaripoti kazini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom