Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nasubiri kwa hamu kuona fisadi mmoja wa mfano ambaye atawajibika kwa matumizi mabaya ya fedha za uma. Nasubiri hili likichagizwa na uwepo wa mahakama ya mafisadi. Nasubiri kuona fisadi huyo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Rais Magufuli Akizungumzia Mishahara ya Peponi. Kwenye tamko la Rais Magufuli, kuhusu watu kulipwa mishahara minono kama ya peponi, alitoa tuhuma nzito ya posibility za bodi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Nataka kuwaasa wapinzani kusoma alama za nyakati na kubadilika kulingana na siasa inavyobadilika. BAADA YA MTEMI WAO KUUKOSA URAISI, WALIJIPANGA SANA KUPINGA NA KUDHOOFISHA UTAWALA WA RAIS...
0 Reactions
Replies
Views
UKIKUTA NYOKA NDANI Nawasalimu watani, wa mbali na wanyumbani, Nina swali mawazoni, mnijibu asilani, Yakikukuta jamani, utafanya jambo gani? Ukikuta nyoka ndani, utaita seremala? Wewe...
10 Reactions
53 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi, amesema Tanzania inapoteza zaidi ya Sh. trilioni moja kila mwaka kutokana na bidhaa feki ambazo ni asilimia 35 hadi 45...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ngwangaluka Rais, mwamisha mohla,Safari ya kujagha ku maendeleo Doho Mchezo. Mh Rais kwa kuwa umejua huko nyuma mambo yalikuwa hovyo sana,na kwa kauli yako mwenyewe umesema ni hovyo kweli...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imenilazimu nimtafute aliko Mzee wetu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mh.Samwel Sitta .Mzee huyu amekuwa kimya sana wakati nchi chini ya Mh.Magufuli inapambana kutumbua majipu. Nilitegemea Mzee...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Kuna jambo limenitatiza, nimekutana na kisa ambacho kimsingi kimenishangaza na sielewi usahihi wake, mwanzoni wa utawala wa JPM tuliahidiwa kupunguziwa ada kwa shule binafsi kwa maana ya serikali...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa hatua zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya Tano, ni dhahiri kuna dalili za nchi kurejesha heshima katika tasnia ya utendaji na itapelekea watumishi wake kujitafakari wanapokuwa wanachukua...
1 Reactions
1 Replies
998 Views
Tulifundishwa kuwa maendeleo ni mabadiliko toka hali duni kwenda iliyo bora maana yake ni mabadiliko kutoka mbinu hafifu kwenda mbinu zilizo bora, kutoka uzalishaji duni kwenda kwenye uzalishaji...
0 Reactions
2 Replies
674 Views
  • Redirect
Makampuni ya Richmond na Kagoda yalikuwa maarufu kimjadala wakati zilipoibuka kashfa za kifisadi za mabilioni ya shilingi za kitanzania. Kagoda ilitajwa kwenye kashfa ya EPA na Kampuni ya Richmond...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna wakati niliwahi kusoma taarifa moja ya hulka ya mtu mweusi. Hulka yake kubwa ni kupenda kutumia kuliko kuzalisha. Kule Marekani kulifanyika utafiti juu ya mtu mweusi. Wamarekani weusi...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
  • Redirect
Christopher Olesendeka msemaji mpya wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi.matokeo yake ya mtihani wa mwisho wa form six uliofanyika 1987 yanaonesha alipata 0.
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bajeti ikitengenezwa inabidi ieleze kila kifungu ni kwa ajili ya kitu gani. Mfano ieleze kuwa ni kwa ajili ya mishahara, maji, umeme. Kieleze wazi tumizi lake bila kumeza maneno.Kuna kipengele...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kampuni ya Lugumi imekuwa kaa la moto! Kila kitu kimeandikwa nasubiria siku tatu zimalizike nione huo mkataba utatokea kwa nani! Maana hata Waziri husika sisikii yeye kuwahimiza watendaji wa chini...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hakuna mfanyakazi hewa duh
0 Reactions
Replies
Views
Mmiliki wa kituo cha mafuta cha OILCOM jirani na Wizara ya Kilimo amekamilisha ununuzi wa nyumba zilizokuwa wanaishi wafanyakazi wa Tazara na Jeshi la Polisi maeneo ya Sokota/ Mikoroshini. Swali...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
The flood will make Malawi's food shortages worse Malawi President Bakili Muluzi has declared a "state of national disaster" and called for international assistance following severe floods in...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waungwana na wapenda Maendeleo, Awali ya yote nimpongeze Mh Rais kwa kazi ngumu ya kutumbua majipu ambayo yamekuwa ni matunda ya watangulizi wake. Najua niwengi mmeona ama kusikia kitendo cha...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa TLP taifa Dkt. Augustino Lyatonga Mrema amesisistiza ombi lake la kazi kwa kumkumbusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwamba ampe kazi yoyote...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom