Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wenyeviti wa Vijiji Siha wakutana Usiku huu kuweka mambo sawa kwa DC,Wenyeviti wa vijiji kumi na moja wamekuta usiku huu ili kuweka msimamo mmoja wa kumsafisha mkuu wa wilaya kesho mbele ya...
0 Reactions
Replies
Views
Mkakati wa Mkuu wa Wilaya kujinasua huwenda ukagoma. Taarifa za kuaminika ,kutoka kwenye kamati ya siasa ya CCM Siha jana 01/06/2016 ambako wajumbe wa siasa waliketi na kujadili namna yakukabilina...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika Kitabu maalum cha Kampuni ya Jiangsu Jiangdu construction group inayojenga Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimeshangaa sana leo Mh. Raisi kumkingia kifua profesa Kikula wa UDOM kwamba alikua anatetea ajira yake alipoambiwa kuhusiana na hawa wanafunzi wa special diploma. Mh. Raisi, hii ni double...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
nimesikiliza hotuba ya Mkuu wa nchi alipokuwa anawahutubia jumuia ya chuo kikuu cha Dar es salaam lakini sikupenda kauli yake kuwasema baadhi ya wanafunzi waliofukuzwa ni vilaza.tafsiri ya neno...
0 Reactions
Replies
Views
Chadema katika jiji la Arusha inayoongoza halmashauri ya jiji hilo chini ya meya wake Kalisti Lazaro wameanza ujenzi wa Barabara ya Lami kwa Mrombo. Mwandishi wa Habari hizi Mwanahabari Huru...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Wana JF, hakika Rais wetu mahiri ndugu Dkt John Magufuli bado ana changamoto kubwa sana kutoka kwa baadhi ya viongozi na vyombo vya utoaji haki katika jamii. Hebu someni misconduct hii ya ajabu na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwanza niwapongeze kwa kuona siku ya Leo. Professional ndalichako anapambana na mazingira yaliyomng'oa Ujio wa Raid John Magufuli utamsaidia kuweka mambo sawa. Lkn je chuo kizima cha udom...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimemsikia Rais John Magufuli akisema waliofukuzwa UDOM ni vilaza sana. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hawa vijana ni vilaza wanafunzi wa UDOM waliosalia wanaweza kuthibitisha kwani vijana hawa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za jioni wadau. Wiki hii Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa na sintofahamu kati ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson na Wabunge wa Upinzani wakiongozwa na Kiongozi wa Kambi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewasimamisha kazi maofisa wawili wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha kwa kukiuka agizo la Rais John Magufuli la kusafiri nje ya nchi bila kibali maalumu cha...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Hawa si ndio watoto wa wanyonge ambao mama zao ni mama ntilie? Hawa si ndio watoto wa waunza michicha? Si ndio tuliambiwa kua wanyonge tumeshakombolewa tayari? Jamani hata kama walifeli...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ikumbukwe wananchi tupo katika janga la ukosefu wa sukari huyu mama hatumuoni akitetea wanyonge kuhusu matajiri walioficha mpaka sasa tunaelekea hilo tatizo kuisha, cha ajabu juzi wabunge fulani...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Magufuli amewaita wanasiasa wa upinzani kuwa ni vilaza, na ndio maana wanatetea wanafunzi vilaza! je unakubaliana na kauli hii, karibu tujadiliane bila jazba
0 Reactions
Replies
Views
Rais Magufuli tunakuunga mkono kwa dhati kupambana dhidi ya ufisadi. Tunakupinga kwa nguvu zote kupambana dhidi ya demokrasia. Kuanzia mwanzo tumekuunga mkono dhidi ya ukwepaji kodi, ubadhirifu...
45 Reactions
273 Replies
33K Views
Msikilize Waziri wa fedha na mipango Dk Philip Mpango akielezea kuhusu wizara yake kujipanga kukabiliana na mihamala shuku inayohusu utakatishaji wa fedha haramu na ufadhili wa ugaidi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi, Tanga limewasimaisha kazi watumishi wawili na wengine wawili kupewa adhabu kwa madai ya ukikwaji wa taratibu za utumishi wa umma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Nilidhani maisha ya maskini yataboreka ila naona kiza kinene. 1) Huku mtaani watu wameanza kusahau ladha ya sukari. 2) Wakazi wa mabondeni ambao wengi ni hohehahe pressure ipo juu. 3) Maskini...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ameyasema hayo kwenye uwekaji wa jiwe la msingi maktaba ya UDSM Je ni kweli wanasiasa wa Tanzania ni vilaza kama mkuu wa kaya anavyosema?
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom