Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Raisi Magufuli: walifikiri nitakua PART OF THEM! NEVER! NITAWASHUGHULIKIA KWELI!, KWELI!.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hakika huyu ni mwanamke wa shoka, asiyeyumbishwa. Ni mwanamke wa msimamo na sheria imekaa kichwani. Kutoka kwa huyu mbobezi wa sheria ninategemea bunge la TZ litakuwa la kuigwa Africa na...
2 Reactions
Replies
Views
Nimekuwa nikimfuatilia Huyu Mzee Renatus Mkinga kwa muda mrefu sana. Na nimegundua Anamchango Mzuri sana Ikiwa Atapata nafasi katika dawati lako ili kuku saidia kufikia malengo yako ya...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Namba ya majipu yaliyotumbuliwa ni kubwa na sijasikia hata moja lililokwenda mahakamani kupinga kutumbuliwa huko. Basi tuamini walitumbuliwa kihalali na nashauri utumbuaji uendelee, bado hata...
2 Reactions
7 Replies
944 Views
  • Redirect
Ni hali ya kawaida kwa binadamu kufanya chochote pale anapochafukwa. So ni vyema kwa Bunge kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanasaikolojia watakao tumika kutuliza hali ya hewa inapochafuka. Yani...
1 Reactions
Replies
Views
Napata ugumu kuelewa kwamba kamati za Bunge zina Wabunge wote.Tumeona zikileta mambo Kama Escrow,Richmond na wanasiasa wengi wakafurahia watu kuwajibishwa. Jana kamati moja imetoa report na...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
  • Redirect
Wakuu nawakilisha, kwa UKAWA ya sasa imepoteza dira ni wakati wa wakongwe Kwenye siasa Mh. Prof Lipumba, Dr. W Slaa na ZZK kuungana kujenga upinzani ulio imara. Kwa sasa CHADEMA ni kokolo si...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi hapa nchini mihimili mitatu hii ya bunge,mahakama na serikal kila mhimili unajitegemea? Halaf kidogo nisahau kuuliza! Iv naibu speaker kadi yake ya chama ina muda gan? Nasikia chini ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bunge litunge Sheria inayokataza Mbunge wa kuteuliwa na Rais, kuwa Spika au naibu spika au Mwenyekiti wa Bunge, ili kuzuia mgongano wa kimaslahi. Haya yanajidhihirisha kwa huyu Mh. Tulia Ackson...
0 Reactions
Replies
Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA MHESHIMIWA PETER SIMON MSIGWA (MB) KUHUSU BAJETI YA...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni Raisi Mstaafu Benjamini Wiliam Mkapa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ni Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete. Hivi ni vyuo vikubwa viwili...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamekanusha kudaiwa fidia na wananchi wa Kijiji cha Mazingira,Wilaya ya Handeni mkoani Tanga waliovunjiwa nyumba zao ili kupisha ujenzi wa barabara. Kauli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naikumbuka leo kauli ya headmaster Mkombo tulipo kuwa Kigoma Secondary School miaka hiyo. Nikiwa sehemu ya viongozi wa wanafunzi head Master Mkombo mara kadhaa katika semina zake alipenda sana...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Tungeomba wabunge watolee ufafanuzi hilo swali hapo juu.Maana mazingira na utaratibu uliotumika kuwafukuza wanafunzi wa vyuo tajwa hapo juu unafana. Lakini wabunge wamelipa suala la UDOM uzito wa...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Mhe. Bashe kwanza hongera sana kwa kuingia bungeni baada ya kufanyiwa figisu nyingi 2010 na hatimaye ukaenguliwa eti wewe si mtanzania. Na kwa kipindi kifupi tu jina lako limeanza kuingia vichwani...
13 Reactions
123 Replies
13K Views
Hili tatizo la elimu na afya linaweza lisiishe kwa njisi tunavyoenda na ukilinganisha na resources zetu. Njia rahisi ya mda mfupi serikali iruhusu wa kenya na foreigners wote katika hii sekta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za Rais za mzalishaji bora wa mwaka 2015 (President's Manufacturer of the...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Redirect
Hayo yamebainishwa na Naibu waziri wa mambo ya ndani , Mh Hamad Masauni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini dodoma. Lengo likiwa ni kuongeza tija. " Naagiza kupitia kikao hiki...
0 Reactions
Replies
Views
SAKATA la Kampuni ya LUGUMI limesababisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuagiza kupitiwa upya mikataba yote, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa leo na Hamad Masauni, Naibu Waziri wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Redirect
Naibu Spika siyo mjinga mpaka akatae kujadili suala la Wanafunzi 7000 walioamriwa kurejea Makwao kutoka UDOM walikodahiliwa kusoma KIMAGUMASHI programu maalumu ya sayansi, mpango uliolenga...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom