Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Dondoo: 1.Alikubali kutokwenda chuo kikuu na kwenda kufundisha shule za sekondari. 2. Ni msomi wa Shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala,UDSM 1975. 3. Alishika ngazi mbalimbali za uongozi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Mkurugenzi wa masuala ya utumiaji wa huduma za mawasiliano Reynold Mfungahema amewataka watu kutofanya utundu kuzuia simu feki kuzima kwani ni makosa. Ametoa angalizo kwa wananchi wanaotaka...
0 Reactions
Replies
Views
Sisi watu wa ajabu kweli. Kama wewe ni mgeni jitahidi sana kutuzoe! Ukitutazama kama mabepari lakini eti ni wajamaa! Wenye bidii ya kuizomea rushwa ya hadharani ilihali moyoni tunaishangilia...
0 Reactions
4 Replies
857 Views
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inatarajia kukutana kesho jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo itakutana chini ya Mwenyekiti wake, Rais mstaafu Jakaya Kikwete...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa hakika yale maneno yasemwayo sana mitaani kua "Upinzani ndio bunge, na bunge ni upinzani" hii ina maana ya kwamba hakuna bunge bila upinzani. Mwenendo wa bunge la sasa kimahudhurio si mzuri...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbunge wa jimbo la KIGOMA mjini mh;zitto kabwe aliwahi kusema kwamba yeye binafsi hawezi kuona RAIS anaviza democrasi akakubali kitu hicho hakipo kama yeye atakua hai. Kutoka na na ujasi na...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Katika uzinduzi wa Maonyesho ya picha ya Mwalimu Nyerere yanayofanyika maeneo ya sayansi apa Dar es salaam Tanzania
0 Reactions
3 Replies
847 Views
  • Redirect
Taarifa toka East Afrika Radio kama inavyoonekana kwenye Accouny yao ya Facebook pichani inasema nyumbani kwa Gwajima kumezingirwa na Polisi. Je lengo ni kumlinda au kumzuia asitoke? Kuna nini...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwanadiplosia na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Ndg.Benard Membe ametajwa kuwa ndiye mgombea mwenye nafasi kubwa ya kuibuka Mwenyekiti wa CCM Taifa. Wana CCM wamemzungumzia Membe kama mtu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu zangu,tusiwe wasahaulifu kiasi hiki,tumefikishwa hapa na serikali ya kijambazi ya CCM ktk awamu ya tatu na nne, umaskini mkubwa miongoni mwa jamii umetengenezwa makusudi na viongozi wa CCM...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
SIASA za tanzania ndo chanzao cha umasikini ambao watanzania wa leo tulionao katika hili nitaeleza ni jinsi gani siasa za tanzania kwa vyama vyote ila hasa kwa CCM(REVOLITION PARTY) chanzo cha...
0 Reactions
Replies
Views
Hamjambo,wnj? Nichukue fursa hii, kuwapongeza wana Kigoda cha Mwalimu Nyerere, na baada ya pongezi hizo pia nichukue fursa hii kuwajuza kuwa Kigoda kinakosa sifa stahiki kwa sababu ya mialiko yao...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna kauli nyingi kuwa serikali ya sasa inaangalia vipaumbele na kumjali mwananchi. Ajabu bajeti ya kwanza tuu miezi 6 baada ya kuingia madarakani zinatengwa zaidi ya Bil2 kujenga uwanja wa ndege...
66 Reactions
342 Replies
37K Views
Kwa ufupi Katika kabrashi hilo lenye kurasa nyingi na ushahidi wa vielelezo vya picha za victims na matokeo yalipo tokea na majina ya walio asirika na kwa wale walio tangulia mbele ya haki kumekua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Wanasheria naomba kuuliza: Hivi rais akiwa madarakani akafanya kosa ambalo linathibitisha kuwa alikuwa na mens rea sheria inasemaje. Mfano: Unaingia madarakani nyuma tulikuwa na ugomvi, unasema...
0 Reactions
Replies
Views
Mmoja kati ya waasisi wa CCM Mzee Ibrahim Kaduma ameunga mkono hoja ya Rais kutokuwa Mwenyekiti wa Chama. Hayo yalijiri jana akichangia katika muadhara wa Kigoda cha Mwalimu. Akichambua kwa hoja...
10 Reactions
67 Replies
9K Views
Kauli za hivi karibuni za Askofu Gwajima, zinaonyesha wazi kabisa kua yeye anamalengo ya kisiasa zaidi kuliko ilivyo wajibu wake wa kuhudumia roho za watu anaowaongoza. Sote tunafahamu kua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Redirect
Kama umewahi kucheza mpira wa miguu hasa hasa utotoni, zile mechi za mchangani, timu pinzani ikiwa na kipa galasa hua tunasema pale " kuna pazia tu", basi hua tunaongeza juhudi za kutafuta magoli...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau hivi hawa wabunge wetu wa upinzani kutoka nje ya bunge kila anapoingia Naibu spika hivi huku ni kumkomoa Naibu spika au kutukomoa sisi tuliowachagua, maana hawawakilishi hoja zetu tena...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
  • Redirect
BUNGE la bajeti linaloendelea mjini Dodoma, juzi limehudhuriwa na wabunge 85 badala ya 277 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya wenzao wa Kambi ya Upinzani kususa vikao vinavyoendeshwa na Naibu...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom