Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wanajf, salaam! Tangu kutokea kwa mgogoro wa kimaslahi kati ya RC Gambo na Mbunge Lema pale mkoani Arusha kuna maoni mengi yametolewa na wanabodi. Maoni mengine yanswasilishwa kwa njia za matusi...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo tarehe 19 Oktoba 2016; hapa jamii forum pekee zaidi ya post 5 plus hii yangu nimeziona zikiongelea chuki ya wananchi dhidi ya utawala serikali. Potelea mbali waweza kusema ni propaganda za...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kitendo kilichofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kumzuia Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kuweka jiwe la msingi kwa...
4 Reactions
Replies
Views
WanaJF tujaribu kujiuliza na kufuatilia kauli zilizotolewa na RC Gambo kama zilikuwa na chembechembe ya kisiasa. Tuwe wakweli tu!
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam anapaswa ahojiwe juu ya matumizi sahihi ya pesa za umma! kuna zoezi la kuweka uzio kandokando mwa barabara za Dar hasa zile barabara kubwa ili kuzuia wapitao kwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Mimi kama Mtumishi, Kwa Muheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, haya ndiyo niliyofunuliwa na nikuombe unitegee sikio. Ulitangazie Taifa zima kuwa katika hali ya maombi ya nchi nzima na Maombi haya...
3 Reactions
Replies
Views
"Kila mtoto atakayeanza darasa la kwanza 2017 ataripoti na mche wa mti, ataupanda na kuutunza kwa miaka yote atakayosoma - Waziri Makamba"
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Kama mnakumbuka huyu mbunge alikuwa kati ya wabunge vijana wazuri sana bungeni. Huwa najiuliza Vicent alishindwaje kuutetea ubunge wake! na ukizingatia hamasa iliyokuwepo uchaguzi uliopita hasa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mh Rais salam mkuu wangu. Ninakupenda sana na hasa vile unalinyoosha hili taifa. Hakika umekuwa baraka kwetu sote. Mh Rais unajuwa hawa jamaa wanaitwa mafisadi kama ulivyo wahi kusema kipindi cha...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Wanajamii,mbona kaka mama angebahatika kuwa rais wa jamuhuri,angeweza kuwa kiongozi makali zaidi kuliko mkuu? Kwa huu muda wa mwaka mmoja nimefanya tafiti,nimegundua,mama alitufaa zaidi kwenye...
10 Reactions
Replies
Views
Nadhani serikali ya JPM ina set kipimo cha ubora wake juu mno kiasi kwamba hawawezi kufika hata iweje! so far targets zao ni unrealistic na kiukweli come 2020 watakuwa na excuses nyingi! kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema kuwa Rais Dkt John Pombe Magufuli amempigia simu leo na kumwambia kuwa ana imani naye na kuwa hajafikiria kutengua uteuzi wake labda kumpandisha cheo. Hayo...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Alipoalikwa kwenye uzinduzi, alijua fika atakutana na mbaya wake hivyo alipaswa kujiandaa kisaikolojia, asingepata aibu zote zile. Hana sifa za kuwa kiongozi kwa kukosa uvumilivu.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baraza la vijana wa chama cha demokrasia na Maendeleo BAVICHA limemtaka waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi kutoa ufafanuzi juu ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Na wameipa siku saba...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nawaza kwa sauti kuhusu kauli hii. "Ninafahamu, Mniombee, Sitawaangusha" Hivi ni kweli anafahamu? Sukari kelele, Dawa Kelele, Mikopo elimu ya juu kelele, Stahiki za watumishi kelele, Uhuru wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu habari .. Naitoa kama ilivyo nimepenyezea habari kutoka Arusha kuwa vijana waliovujisha barua ya kutumbuliwa kwa mkuu wa mkoa ni vijana waliotumwa na Mwenye tatizo ili kutengeneza...
1 Reactions
Replies
Views
Hatuhitaji sasa shahada au stashahada,hatuhitaji tena mganga wa kienyeji kutabiri,hatuhitaji tena maono ya manabii kuona.Wananchi wanaoishi karibu na mgodi wa uchimbaji wa madini aina ya dhahabu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Redirect
YALIYOMKUTA David Kafulila, katika Studio za Kituo cha Utangazaji cha Televisheni ya Clouds, hatokisafau maishani mwake. Ni kwa kuwa, alialikwa kuzungumzia masuala ya uchumi na baada ya kufika...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
SERIKALI YATANGAZA UHAKIKI WA WANAFUNZI WOTE WALIOKO VYUO VIKUU AMBAO WANASOMA SHAHADA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia Viongozi wa vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rafiki na ndugu yangu Mrisho_Gambo, AJISAHIHISHE. Haipo lugha nyingine ya kumsaidia zaidi hiyo. Wapo baadhi ya watu wanampenda Mrisho, nikiwemo mimi, lakini wapo watu wengi zaidi, wengi sana...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom