Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kuna kitu kibaya sana kinaendelea kwenye ofisi ya CAG na tusipokisema kitty cost dearly kama taifa. Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini pamoja na kujitahidi kuwa wazi na kutoa matamko mbali mbali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema kuwa Rais Dkt John Pombe Magufuli amempigia simu na kumwambia kuwa ana imani naye na kuwa hajafikiria kutengua uteuzi wake labda kumpandisha cheo. Hayo yamesemwa...
0 Reactions
Replies
Views
Elimu shida, mikopo ya wanavyuo kizungumkuti,Mishahara haijaongezeka biashara ngumu, soko la hisa limeshuka B.O.T imekauka,,Ajira mpya mpaka sasa bado, uhakiki usioisha na unaoleta usumbufu kwa...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Wakiwa na umri mdogo Nyerere na Salim AS walionyesha uongozi uliotukuka pamoja na vijana wengine wa wakati huo.Je vijana wa leo walio uongozini wanazitendea haki nafasi na dhamana zao?Mifano...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Wakati wa kampeni tuliaminishwa kuwa Tanzania imepata utajiri mkubwa wa gesi ambayo mpaka kufika mwaka 2020 tutakuwa na uchumi wa Kati, sasa Mbona hatuoni dalili zozote? Au hata Mkuu wetu atuambie...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Wanajamvi, Wangapi wanabinywa kwenye maeneo yao ya kazi lakini hawashauti ovyo ovyo. Kama ni.outstanding performer ya nini ulilie kick za kutajwatajwa utadhani ni mmoja wa wale mapedejee...
13 Reactions
139 Replies
13K Views
Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limeipa siku saba serikali kutoa kauli kuhusu ucheleweshwaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na kuitaka serikali ikiri kuwa huo ni udhaifu...
13 Reactions
120 Replies
12K Views
  • Redirect
Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jenerali Mbazi Msuya akifafanua jambo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliohusu utoaji wa tahadhali ya hali ya Ukame...
1 Reactions
Replies
Views
Maoni yangu ni kuwa sijaona jipya juu ya kilichotokea jana Arusha mbele ya Mbunge Godbless Lema. Hao wakuu wa mikoa na makuu wa wilaya, wamepewa "maagizo maalum" ya kukwamisha wapinzani katika...
19 Reactions
57 Replies
5K Views
Nasikitika na nitaendelea kusikitika kutoka na utendaji wa huyu mkurugenzi wa bodi ya mikopo kutokana na kauli yake aliyoitoa kwenye gazeti la Nipashe kusema kila serikali ina kipaumbele chake na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Umofia kwenu GTs, Naamini wote ni wazima wa afya humu jukwaani. Kwa hili linaloendelea kwa wadogo zetu waliopo vyuoni kwa wale wapya na wale wanaoendelea inasikitisha kuona baadhi wanapewa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Uongozi ni busara, hekima, uvumilivu, staha na maarifa. Awali ya yote niseme tuu kuwa si lengo langu kujikita kwenye mzizi wa tatizo la ugomvi kati ya RC Gambo na Mh. Lema, hatahivyo, nachukua...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ilikua ni September 14,2015 siku ya Jumatatu. Mgombea wa Urais kupitia Ccm akiwa mkoani Tabora kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.
1 Reactions
Replies
Views
Ajizi nyumba ya njaa, CHADEMA kilijulikana kama chama makini kilichokuwa kikielekea kutoa sera mbadala ghafla kimekengeuka na kuingia katika historia ya vyama vya ajabu duniani kuwahi kutokea...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Nianze kwa kupongeza ujenzi wa nidhamu,umakini na heshima katika utumishi wa umma kwa njia ya utumbuaji majipu. Anayekwenda mrama,anatumbuliwa. Safi sana! DED wa Mkinga kule Tanga ametumbuliwa...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
NYOTA njema huonekana asubuhi, hivi ndivyo tunavyoweza kusema baada ya Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuanza kuonesha dalili za kuamka kutoka katika usingizi uliosababisha Taifa letu kukumbwa na...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Pili wa rais naye abebeshwa tuhuma kama za Nchema kwamba aliganyanga elimu yake na hakuna uwiyano wa kitaaluma kwa elimu anayodai anayo. Kwamba alifaulu Kidato...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nchi hii miradi mingi ya maendeleo inafadhiliwa na nchi au taasisi wahisani kwa lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wetu. Wakati wanafanya hayo wao hawatubagui. Nimesoma waraka wa Mhe Jacob...
1 Reactions
0 Replies
434 Views
Kama mafundi wetu tuliowapa dhamana ya kujenga nchi yaani CCM basi wanajenga kweli. Jee tuko tayari waendelee kutujengea nchi (nyumba) yetu kwa namna hii?
2 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom