Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wizara ya Fedha na Benki ya Maendeleo Afrika(ADB) zimesaini mikataba yakuikopesha Tanzania shilingi bilioni 750 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi sekta mbili za maendeleo ya ujenzi wa barabara na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ushirikiano kati ya Afrika na China utashamiri zaidi katika miaka mitatu ijayo, Je, tunajiaandaaje kuchukua fursa zitakazopatikana kujiendeleza kibiashara, kielimu, au hata kiafya? Rais Xi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Evarist Chachali KWA wanaofuatilia safu hii, watakumbuka kuwa mara baada ya CCM kumpitisha Dk. John Magufuli kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu uliopita, niliandika makala...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa jinsi Muheshimiwa Dr. JPM anavyokamua majipu kila kukicha, inaonekana wazi kabisa taifa hili limeangushwa watumishi wachache tuliowaamini na kuwalipa mishahara mizuri kwa lengo wasije pokea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
watanzania walio wengi wameendelea kusherekea na kufurahia kile kinachoendelea kufanywa na mheshmiwa rais wa awamu ya tano furaha inayowasahaulisha kabisa kufikiria nn kitatokea kama madhara ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dear Raisi wangu Magufuli, tumeiona nia yako njema na tunaikubali. cha kwanza ni uchumi,,,, naam... huwa kuna mawili hapa.....nidhamu ya kukusanya na nidhamu ya matumizi..... la pili ni kwamba...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimelifikiria sana hili suala.Hivi kuna wizara ngumu zaidi ya mawasiliano uchukuzi na ujenzi,,kama muheshimiwa raisi bado ana fikiria waziri napendekeza achukue msomi aliebobea kwenye hizo fani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wizara zilizoundwa na Rais wa awamu ya tano baadhi yake kwangu Mimi zinatamkika vibaya na hazina utamkaji wa kisayansi. ( They are not scientifically arranged). Kwa mfano wizara kama ya afya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati wapenda maneno na siasa za kukosoa wakati wote, wasio ona jema hata moja wakiendelea na uchambuzi wao wa jinsi wanavyoliona baraza la mawaziri la JPM, Askari wa mwavuli wa JPM wameanza...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Je, Mawaziri wa Maghufuli walioapishwa leo, bado wanatumia Mashangingi au wamepewa magari madogo zaidi kama saloon na pickup ili kubana matumizi ya serikali? Kwa mliowaona wakiondoka Ikulu mtujuze?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
[*=2] ASHUKURIWE MUNGU MAANA INGEKUWA NI SIKU YA KAZI LEO TUNGEZUNGUMZA VIFO VYA WATU KADHAA KAMA SIYO MAJERUHIII KADHAA MAANA HUWEZI AMINI KILICHOTEKEA KWENYE JENGO ZURI LA KUVUTIA LA LPF...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimemsikia waziri Lukuvi kupitia ITV saa 2 usiku huu akitangaza kusudio la serikali kuanza kuwanyang'anya mashamba watu wote walioshindwa kuyaendeleza mashamba waliochukua na wale wote waliotumia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaffo naye afanya ziara ya kushtukiza Bahi NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Utumishi na Utawala Bora, Selemani Jaffo amewatangazia kihama wakurugenzi wote nchini watakaoshindwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wananchi wa vijijini wamesahulika katika tawala zote zilizopita. Wao maisha yao bado ni duni kwa kiasi kikubwa japo kwa miaka ya karibuni nguvu ya sayansi na teknolojia imeonekana ikileta ahueni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa kuwa bank ya STANBIC imekuwa ni uchocholo wa wezi wanaoibia serikalini pesa ambazo ni kodi za walala hoi, na serikali imekuwa haifanyaji juhudi kuufahamisha umma ni akina nani walipitisha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kuingia madarakani pamoja na sifa zote alizopewa lakini ukweli ni kwamba alianza kuendesha nchi kwa amri. Watu wamekamatwa, nyumba zimebomolewa na sherehe kufutwa. Likaja baraza nalo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia mada karibu zote anazoanzisha huyu memba mwenzetu zinamhusu Lowassa, Najiuliza hivi matatizo yetu ni Lowassa pekee? Habari ya mjini ya sasa ni kukusanya kodi, kubana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni kauli ya Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrick Olle Sosopi. Amesema pamoja na kwamba uchaguzi uliopita kura zake hazikutosha lakini bado ataendelea kutatua yale yote aliyoahidi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kama mtakumbuka wakati wa kuhutubia bunge pamoja na mambo mengine mheshimiwa magufuli aligusia swala la matumizi ya hovyo na akagusia kuwa enzi za jk kuna mashirika ambayo vikao vyake vya board...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kwa upande wa TRA na Bandari raisi alikuwa anahakikisha makusanyo ya kodi na tozo mbalimbali yanayostahili yanakusanywa. lakini kama mapato haya hayatasimamiwa kufanya kazi kwa tija hapo bado ais...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom