Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Zile shamrashamra za kuzungusha mikono, kudeki barabara, kuigiza kuzimia, kuchukua photoshop ya maandamano ya Ughaibuni na kulaghai watu nyomi ya Mikutano bandia zimeishia wapi? Wapi Mgombea...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anaendelea na ziara yake ya kusikiliza kero za Wananchi katika mkoa wa Dar es Salaam. Sasa katika moja ya mikutano yake Temeke, mkuu huyo wa Mkoa...
4 Reactions
Replies
Views
Tulipofika panatosha, tunahitaji ukweli usemwe. Tunajuwa wako wenye ujasiri miongoni mwa wasaidizi wake, lakini protocoli haikubali , au wamezidi kuogopa vitisho. Taarifa zilidokeza kuwa mkulu...
20 Reactions
36 Replies
5K Views
  • Redirect
Kama post inaposomeka na kama picha inavyojieleza hapo chini sina cha kuongeza zaidi, naona serikali ya CCM imeamua kufanya kweli: CHANZO: Mimi
2 Reactions
Replies
Views
Wakuu Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu ulipofanyika uchaguzi uliokua na ushindani wa hali ya juu kiasi cha mtu yeyote kutoweza kubashiri nani angeibuka na ushindi.Lakini mwisho wa siku alikuja...
0 Reactions
3 Replies
593 Views
Tanzania kuna wafanyakazi wa umma wengi sana, ambao kimsingi hawahitajiki. That results to poor efficiency at workplace. Katika ulimwengu wa internet, computer nk, huhitaji kuwa na idadi kubwa ya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Huyu Mungu wa lowassa mbona anamlipia huyu mja wake kwa muda mfupi sana?! afu hapahapa duniani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi leo nimekuja hapa kuliomba bunge letu liisimamie kikamilifu serikali kwani bila hivyo hatuwez fika salama. Nimesikitishwa sana na Chuo kikuu kimoja maarufu cha jijini Mwanza kutoa...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Unapozungumzia siasa ya Tanzania kwa mwaka 2015, lazima kuna neno UKAWA, wajuzi wa mambo napenda kujua mafanikio ya UKAWA kuanzia 2015-2016, Napenda kujua mafanikio ya M4C na UKUTA, hizi ndiyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Na kinacho tumika Arusha serikali inatumia nguvu na muda wake mwingi kupambana na upinzani na kulipiza visasi na kuwasahau wananchi kwamba wanataka nini. Na waliwachagua kwaajili ya nini. Na...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
MKATA MTI TAHADHARI NA TAWI ULILOKALIA! Binafsi nimesikitishwa sana na taarifa hii ya Ndg. Hussein Bashe kuhusu tuhumu alizozitoa dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimempa heshima kubwa...
6 Reactions
110 Replies
13K Views
Sote tunakumbuka siku rais alipoamua mwenyewe kwenda wizara ya Utalii na Maliasili kujionea meno 50 ya tembo. Nakumbuka aliposema 'lazima majangili wakiona tembo wawakimbie badala ya tembo...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
  • Redirect
Kuna baadhi ya mambo mtu lazima ujiulize, bila kinyongo na mtu, bila hiyana wala nongwa. Kwa haraka haraka huyu kijana mwenzangu ukwangalia kazi zake unaweza kusema huenda ndiye RC bora kuliko...
1 Reactions
Replies
Views
Wiki iliyopita nilileta hapa jukwaani taarifa hii ya kuachiwa huru kwa watuhumiwa 9 wa ujangili, wanafamilia wa Mbunge Mulla wa Mbarali mkoani Mbeya. Wengi waliohoji ukweli wa taarifa hiyo, sasa...
8 Reactions
92 Replies
12K Views
Tangu mwanzoni mwa wiki hii mpaka sasa wiki inaisha CCM wamepoteana hapa Jamii forums. Wameshambuliwa kila kona, kila idara, kila sehemu. Kuanzia Bilion 6 aliozoandika Lizaboni kwamba...
8 Reactions
95 Replies
7K Views
Kweli kama nchi tunahitaji kuwa na shirika la ndege lakini katika hali hii ya sasa ya kiuchumi ni asilimia ngapi ya watanzania leo hii wanaweza kuona serikali ilifanya la maana kununua ndege tena...
2 Reactions
10 Replies
965 Views
Kabla Sijasema Nalotaka Kusema, Niseme swala dogo la Kihistoria, Natolea Mfano wa Utawala wa Uganda, Hii Ni orodha ya Marais wa Uganda, Kabla, Mara tu na Baada ya Vita vya Uganda na Tanzania. 1)...
21 Reactions
133 Replies
19K Views
Baba bora hakiingia nyumbani Watoto ufurahi,Wanamkimbilia na kumkumbatia,Wana mwambia mambo mengi ya shule waliyo fanya Baba asie bora hakiingia nyumbani watoto wanakimbilia vyumbani...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama...
2 Reactions
82 Replies
5K Views
Back
Top Bottom