Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ninaona niwaeleze wanajukwaa kuhusu uenyekiti wa Kanda ya nyanda za juu kusini mtapigana vikumbo,mtagombana ila Demokrasia ya Chadema ipo kwa pilato Mbowe! Mnajifanya hamjui kuwa Chama chenu kina...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Niliposikia kuwa mzee wa rukhsa amezuru Magogoni, nilipata faraja kuwa huenda sasa mambo yakarudi kuwa 'kama zamani'. Nilitegemea kuanzaia hapo Safari za nje kwa watumishi wa umma rukhsaaa...
0 Reactions
5 Replies
614 Views
Rais ameivunja Bodi ya TRA kwa madai kuwa inapiga deal (kufanya ubadhirifu) kwa kuweka pesa za wananchi kwenye Fixed account. Sheria ya TRA ya mwaka 2006, kifungu cha 10 kinaeleza composition ya...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kassim Majaliwa akikabirishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu huyo wa CCM, leo...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Kwanza kabisa niwape pole Askri wote katika nchi hii hasa wale wa Jeshi la Polisi kwa kazi kubwa na ngumu wanayofanya..naposema kazi kubwa na ngumu wanayofanya nikiwa na maana Polisi wanafanya...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Hivi haya mambo tunayoambiwa tunapaswa kuyaamini na kuyachukulia serious kuna watu kweli wameyafanya? Mbona kama ni matukio yanayoonekana kuandaliwa kiufundi kufunika matukio mengine ya nyuma...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwenye maisha au uongozi kuna haja ya kupima kauli au maamuzi yako, nikiangalia uwepo wa WAZIRI MKUU Dodoma ni kama kufuta aibu ya BABA ambaye alihaidi kumwacha mkewe hali ya kuwa bado anampenda...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Mhe. Rais Magufuli,nikiamini unafuatilia hata kidogo soka,naomba nikukumbushe tukio moja. Tukio hilo ni muhimu kwa hoja yangu hapa. Lilitokea kule bondeni Afrika ya Kusini kwenye mashindano ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
  • Redirect
Ninaangalia AZAM TV hapa sasa hivi, ATCL imewaondoa wakurugenzi na mameneja wote kufuatia utendaji mdogo usio na Kiwango. BOMBADIA KULA VICHWAAAA!!!
0 Reactions
Replies
Views
"JPM kazi nzito ameipata baada ya kuvunja bodi ya TRA..., tunasubiri uundwaji wa bodi mpya! " martin maranja Masese (MMM), Siku chache zilizopita, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ripoti ya Profit and Loss inayoishia September mwaka huu, inaonyesha kuwa mapato ya TBL yameshuka. My take: Hii ni indicator iliyodhahiri kuwa mtaani hali ni mbaya. Lakini ifahamike kuwa TBL ni...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Wadau huwa tunalaumu makofi yasiyo na Tija Bungeni. Sasa leo ndio nitaamini kama ile research iliyosema panapo watu wanne mmoja ni hamnazo. Kwanza suala la fao la kujitoa linaathiri vibaya sana...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wana bodi Kutokana na kugundulika kwa magari hewa na matumizi ya mafuta katika shirika la posta Tanzania hivyo kuingizia hasara serikali ya sh bilion 3, hayo yafanywe kwenye taasisi za serikali...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
TANZANIA Breweries Limited Group of Companies (TBL), which is among the country’s largest taxpayers, yesterday announced poor business performance in the past six months ending September 30. 0...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Historia isiyo rasmi inaonyesha uzalishaji katika sekita binafsi ndio ulianza na changamoto zilizojitokeza katika uzalishaji wa sekita binafsi ndizo zilizaa serikali. Yaani watu walianza...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari zilizonifikia ni kuwa Menajementi ya Shirika la Ndege ATCL imevunjwa ili kukidhi vigezo na haja za Shirika hilo na malengo yaliyowekwa kwa miezi 8. Imeamuliwa Wakurugenzi Wote na baadhi ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana CHADEMA, ni vizuri mukatafuta dosari ndani yenu kwanza kabla hujatafuta dosari za wenzenu. Jiulizeni swali la msingi, ni MAPUNGUFU gani muliyonayo ndani ya chama chenu hata munashindwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu wana jamvi nipende kuleta kwenu taarifa za siri juu ya kinachoendelea ndani ya CCM kuhusu sakata la deni la Erick shigongo na CCM. Chanzo Cha Mgogoro. Mnamo tarehe 15/5/2015 ndugu erick...
6 Reactions
Replies
Views
Moja ya sera za Serikali ya Awamu ya Tano ni elimu bure kwa wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne. Sera hii ilianza kutekelezwa mara tu serikali ilipoingia madarakani. Swali la...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mchakato wa uchaguzi CHADEMA kwa ngazi ya kanda ndio habari ya mjini ya kisiasa wakati huu. Jicho la CCM lipo hasa Dodoma,yaani kanda ya kati na kanda ya Nyasi. Tunajua kuwa kanda ya kati ndio...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom