Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Sisi watanzania tumepatiwa malezi mema ya kupendana na kuthamini utu na ubinadamu. Ili kulinda na kutetea hali ya amani na utulivu watanzania tumelelewa na kufunzwa kuviheshimu na kuviamini vyombo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waraka wa kudai Sh 4 bilioni wasambazwa Monday, 25 October 2010 Mwananchi Mwandishi Wetu, Mwanza WARAKA unaodaiwa ni wa polisi wa kawaida umepatikana jijini hapa ukiihoji serikali ya awamu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MAMBO AMBAYO UNATAKIWA KUJUA KUHUSU KURA YAKO: Na. M. M. Mwanakijiji Kura yako ina nguvu gani na kwanini? 1. Kura yako ndiyo lugha pekee ambayo wanasiasa wanaielewa. Wanasiasa wote duniani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
KWA NINI WATANZANIA HAWAWEZI KUWAPA DOLA WAPINZANI! Hadi sasa hawajafanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ya viongozi wao kuongoza dola, wamekurupuka na kuacha maswali mengi ikiwa kuwa na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama kuna wanasiasa wanaokenua na meno yote 42 yanaonekana ni Shibuda na Selelii ambao wamejikomboa kwa kukimbia kutoka CCM. Je wanaujua wimbo wa Mshike, mshike ndege tunduni tuliowajanja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana nisaidieni neno hili,nimejaribu kufikiri kuwa yule mtendaji wa PROPAGANDA FIELD ndugu makambale ataficha uso wake wapi siku ile tukufu ya kuanza mapambano ya safisha safisha mapakashume...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna a kind of Mdahalo unaendelea sasa hivi live from radio 1 na BBC Swahili. Umelenga wasanii na uchaguzi. Yupo Sugu (Mbunge Mbeya mjini), Kala Pina (Diwani- Kinondoni), Pr. Haroun, Dokii n.k...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke. Wanafanya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukisoma magazeti ya leo na baadhi ya TV zenye ubia na serikali ya kifisadi ya JK na CCM yake utaona kuna msukumo wa kukichafua Chadema na hususani Dr. Slaa kuwa ni chama cha wahuni na hawafai...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa mgombea wa CCM jimbo la bukombe yuko kwenye kashfa kubwa ya kuuza kinyemela eneo la pori la bukombe ambalo linasemekana lina akiba ya dhahabu nyingi kuzidi hata mgodi wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari za usiku? Jana niliwaahidi kuwaletea picha juu ya mikutano ya kampeni za Mbowe jimboni Hai mchana wa leo. Naomba mnisamehe kwa kushindwa kuziweka hapa kwani kifaa changu cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mdahalo Mh Slaa alisema kuwa Tanzania ni nchi ya 2 au 3 kwa umasikini Barani Afrika. Aliyasema hayo bila kutoa Chanzo (source) cha kuthibitisha maelezo hayo. Huu ni uwongo LIVE, kama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura. 2. Ameingia Ikulu 2005 kwa fedha za EPA. 3. Amekiuka katiba kwa kutetea ufisadi/mafisadi. 4. Uteuzi wake wa nafasi mbalimbali ni kwa uswaiba. 5. Serikali...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubungo kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TWO THINGS INVOLVED When you are born a man, whether u’l be from a developed Country or a undeveloped country;If you come from a developed country you are safe but if you are from undeveloped...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Age 40yrs and below wengi wetu hatuoni majina yetu katika vituo vya kupigia kura. tufanyeje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamanda wa PCCB huko Bariadi wamemkamata mke wa Andrew Chenge aitwaye Tina kwa tuhuma za kugawa hongo ya Sh5,000 na kanga kwa wapiga kura katika vikao vya siri alivyokuwa anavifanya. Source...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama kakukosea msamehe,natubu kwa niaba yake,naomba kesho ukakuratafadhari...!!mfumo wa utawala umezeeka so inabidi ubadilishwe.kesho usifanye kosa utakalokumbuka na kujutia miaka 5.mpe slaa kura...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema... Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom