Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwanza nianze kwa pongezi nyingi sana kwa utendaji wako mh waziri Mwigulu Nchemba. Nakupongeza sio kwa unafiki ila ni kwa dhati kabisa, tumeona namna unavyofanya kazi na tukuombe uendelee na kasi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya yanafanyika leo pale Mosses Machali atakapoamia rasmi chama cha mapinduzi baada ya kuka nje ya siasa kwa mda kidogo na kuonekana kuwa amesahaulika ndio mamuzi ya kuhamia chama cha mapinduzi...
27 Reactions
471 Replies
54K Views
Kutokana na kasi ya ukuaji wa nchi na ongezeko la idadi ya watu, ni wazi kuwa barabara ya Mlandizi- Dar haikidhi tena mahitaji yaliyopo na hivyo ni wakati muafaka kwa serikali kufikiria kuweka...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Salaam wakuu, Nimekua nikifuatilia vizuri mno utendaji kazi wa Makonda, kwa kweli kimsingi kwa matamko mbalimbali aliyokwisha yatamka, napata ukakasi kuhusu kiwango chake cha elimu. Kama kuna...
0 Reactions
Replies
Views
Kwakweli hali ilikua mbaya sana ilipofikia. Kila mtu aliyelipenda hili Taifa, alitaka apatikane kiongozi atakayeiondoa nchi kwenye uoza wa ufisadi uliopindukia, kukubalika na jamii na kufanywa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hili suala la matumizi ya hizi pesa lingekua limetokea nchini Afrika Kusini sijui mzee Zuma angekua katika hali gani. Kwa majibu ya Ofisi ya waziri mkuu sijui hali ingekuaje! Kwakweli...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Sasa hivi nchi nzima kuna migogoro ya wakulima na wafugaji. Kadhia hii si ya leo na inaonekana serikali imeshindwa kuiondoa. Chanzo kikuu ni wafugaji kuingiza mifugo yao kwenye...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuna hoja za kisiasa zinajengwa na baadhi ya watu wengi wao wakiwa wafuasi wa CHADEMA..'nchi hii tutawale wote si ya mtu mmoja au chama kimoja'. Ukiangalia juu juu unaweza usielewe maana yake, ila...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Gazeti Mtanzania Leo limeandika kuwa vyanzo vyake vya habari vimelipasha kuwa bodi imevunjwa kwa kukosa ubunifu wa vyanzo vya mapato. Kwamba rais ameivunjwa kwa sababu haoni kama bodi inamsaidia...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Anayezijua kazi za msingi za Bodi ya TRA anijuze. Nionavyo ni kwamba bunge na WF zinatosha kabisa kusimamia sera na utendaji wa TRA. Nashauri Rais asiunde tena bodi hii na badala yake iundiwe...
1 Reactions
3 Replies
937 Views
NECTA wasema wameshatimiza wajibu wao walioagizwa na raisi John Pombe Magufuli na kuhakiki vyeti feki; NECTA wasema kazi yao ni kuanika madudu na kila mkurugenzi walipohakiki kapewa majibu ...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Serikali ya Awamu ya Tano imefanya vizuri katika mwaka wake wa kwanza, ikifanikiwa kurejesha nidhamu ya kazi kwa kiasi kikubwa, kupambana na ufisadi, kukusanya mapato ya Serikali na...
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Kinachoendelea katika halmashauri zetu ni kitu cha hatari kabisa.Ukata wa hali ya juu,ukata wa kukwamisha kwa kiwango kikubwa utoaji wa huduma kwa wananchi. Wadau kwa wale wasio na taarifa ni...
28 Reactions
84 Replies
8K Views
TANGAZO LA KUANDIKISHA WANACHAMA WAPYA WAISHIO UINGEREZA/ULAYA Ndugu Watanzania mnaoishi Bara la Ulaya, Chama cha ACT Wazalendo kinawajulisha kuwa kinakusudia kufungua matawi mawili mwishoni mwa...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Uchumi wa nchi unategemea sana siasa zake! Tukienda pale zimbabwe kwa mheshimiwa sana Mugabe! Huyu mtawala ni wa siku nyingi sana! Na hapo awali ameifanyia makubwa zimbabwe!! Lakn ilifikia muda...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwenye domestic flights, routes za Dar - Mwanza ndizo zenye wateja wengi na zinalipa. Mashirika ya Precion air na Fast jet kila moja lina route tatu za Dar- MZA yaani saa 2 asubuhi, saa 6 mchana...
21 Reactions
105 Replies
10K Views
Wana jukwaa. Kwanza nianze kusema Mimi ni miongoni mwa wahanga waliokosa mkopo mwaka huu wa masomo 2016/2017. Pamoja na kozi ninayoichukua kuwa ya kipaumbele ya uhandisi... Baada ya kulifika chuo...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
  • Redirect
NI kijana alielelewa na UVCCM mpaka kufika nyadhifa za juu za kamati kuu... ila sasa mkulu anafumba macho juu ya lulu hii ambayo dar es salaam iliiona kama tumaini mbele ya maisha mema!!! jerry...
0 Reactions
Replies
Views
Nimeona clip ya Trump ya zamani akilalama kuwa Marekani inagandamiwa kichumi na nchi zinazouza bidhaa mbalimbali nchini Marekani . Mimi kwa upande wangu naona ni wazo zuri sana. Tutunge sheria...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Huyu Mzee wetu mstaafu aliwahi kutoa kauli kwamba Tanzania inakwenda kama gari bovu. Na mimi namuuliza.kaona ubovu wapi ili mafundi waingie kazini
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom