Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Jamani naomba msaada kidogo kwa hili...najua kwenye bunge letu majuzi wameteua mwakilishi wa bunge la sadc baada ya kifo cha ndugu yetu mpendwa rich nyaulawa...naulzia je huyu ndugu akienda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tatizo la Kikwete, ndiyoo.. huyu Raisi wetu.. Yeye anaaamini mtu yeyote yule anaweza kuwa Raisi, cha muhimu ni mbinu tu tena hasa mbinu chafu kama alizotumia yeye mwaka 2005 kuhonga wanahabari...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitudumaza - Mtikila na Ratifa Baranyikwa Tanzania Daima Jumapili, 3 Februari 2008 Hivi karibuni Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
msikate tamaa, mageuzi hayaji kwa siku moja milango yote haijafungwa! jaribuni upande wa pili nyie ni wapiganaji
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi, Kikwete alishinda Jimbo la Hai na alipishana kwa nukta jimbo la Kigoma vijijini. Majimbo haya ni ya Freeman Mbowe na Zitto Kabwe. Can anyone explain to me what...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je fikra zile zile zilizokifikisha CCM kwenye asilimia 61 zilizotangazwa na TUME (toka 81% za 2005) bado zinaweza kukiwezesha kushinda mwaka 2015? CCM kinahitaji fikra mbadala ili kiishi au fikra...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Malipo ya Dowans yamechukuwa nafasi kubwa katika habari nchini mwetu. Kuna kila sababu ya kuchukuwa hiyo nafasi kutokana na upuuzi unaofanywa na serikali inayoongozwa na Jakaya Kikwete kukimbilia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
source: Jambo leo 20th March
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
chanzo changu kimeniambia kuwa katika uchaguzi wa mwaka 2010 majimbo yote ya mkoa wa kigoma yalidondokea upinzani. Mchezo mchafu ulifanywa katika yale majimbo machache yaliyotangazwa kuchukuliwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Napenda kujitokeza tena kushare fikra angavu tena,,, fikiri juu ya chaguzi ndogo zinazochukua picha mpya kila kukicha ambazo ni gharama kuendesha, hivi ni lini tutafanya maendeleo? Fedha nyingi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SIKIKA ni shirika lisilo la kiserikali linalotekeleza shughuli mbali mbali zenye lengo la kuchochea upatikanaji wa huduma za afya zenye uwiano, viwango na ubora unaokubalika, gharama nafuu na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF leo kulikua na mkutano wa M4C ukiongozwa na Mh Lema, mstahiki meya Jafari pamoja baadhi ya madiwani akiwemo Abuu shayo wa kata ya Langoni, Mh mbonea kata ya mji mpya pamoja na baadhi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ccm wajuta kumfunga maranda kwani ndie mtu pekee alie waingiza watu wengi ccm kuwatoa chadema ila baada ya kumfunga maranda wenyewe wanamwita muasisiwa yalemakundi makubwa na matawi makubwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Miongoni mwa mawaziri bora Tanzania ukiacha Mwakyembe na Magufulu huyu mh. Mwanry ni mchapakazi bora sana yupo serious na ni hodari katika utendaji wake. Sasa hivi yupo katika taarifa ya habari...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Anasema eti wakati wa ukolön wamefanya kazi nzuri ila suala la utekaji anajichanganya. Et usala umemuokoa mbowe. Hajajibu hoja
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba sana kujua walioiongoza wizara ya maliasili na utalii tangu uhuru na muda waliokaa wizarani kabla ya Balozi Kagasheki.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amesema hafanyi kazi kwa msukumo ama amri zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), likiwamo suala la...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
20/11/2013 Source: Taarifa ya Polisi kwa umma kuhusu matumizi ya silaha zinazomilikiwa kihalali - wavuti.com
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kitendo cha Waziri wa mambo ya kigeni wa Tanzania Benard Membe kufanya harambee ya uzinduzi wa filam "I LOVE MWANZA" ambapo alisema ametumwa na Rais Kikwete kufanya hivyo na kuwanunulia filam hiyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom