Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

habar wakuu, Leo hii amenukuliwa Spika Job Ndugai akidai kwamba wakimtaka Makonda hachomoki,..hapo sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli kati ya bunge na serikal..kwan taarifa zilizopo ni kwamba...
4 Reactions
75 Replies
10K Views
Kiongozi mwenye ujasiri wa kumtaja kigogo papa hadharani ni makonda pekee wengine wazugaji tu. Mkuu makonda hebu tutajie aliyeingiza Rangerover kinyemela na sababu za yeye kufanya hivyo ni zipi...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Ideology ni maono, beliefs, principles, ideas za mtu (au kikundi) anazotamani jamii iliyopo au anayoiongoza izifanyie kazi ili kufikia malengo anayotarajia. Nimebahatika kuishi katika vipindi...
3 Reactions
89 Replies
6K Views
____________________ Pongezi kiduchu zimfikie Nape Nnauye kwa kuonesha kuwa kinyume na ufedhuli, lakini pongezi hizo kiduchu na hatua yake ya kuwa kinyume na ufedhuli, havifuti ufedhuli wake...
2 Reactions
4 Replies
754 Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017...
1 Reactions
Replies
Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Maswali yangu Kwa Kamati ya Nape: 1. Waziri wa Habari ametumia kifungu cha sheria ipi (ITAJE SHERIA na KIFUNGU) ndani ya Tanzania kuunda kamati ile ya...
23 Reactions
99 Replies
7K Views
Profesa Lipumba ameshangazwa na ripoti iliyotolewa na umoja wa mataifa ikitaja Tanzania kuwa nchi ya 3 kutoka mwisho kwa furaha huku ikipitwa na nchi kama Burundi na Syria Amesema hii ianaonyesha...
3 Reactions
106 Replies
10K Views
Baada ya rais magufuli kuchukua nchi viongozi wetu wastaafu mzee mkapa na kikwete walikuwa wakipishana kwa siku zile za mwanzo za uongozi ,ispokuwa tu mzee mwinyi na hatujui zumuni la kwenda ikulu...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu Kuna wanabodi wengi wanapendekeza January Makamba amfuate ndugu yake Nape, na wengine wakimuhusisha Mwigulu, swali la kujiuliza kwanini Hawa watatu wanawekwa sehemu moja. Makamba ni moja ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mie ni mhanga wa mauaji ya kimbali yakiyotokea Rwanda Na kuua watu zaidi ya 800,000.Mauaji haya yalisababishwa Na Viongozi wetu waliokuwa wanautawala mbaya uliopelekea kutengeneza Ukabila Na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Nitakueletea Updates zote za Mkutano huu na wanahabari Humphrey Polepole atakua akiongea. Mkutano huu pia Utakua Live katika Facebook, Twitter, Instagram za Accounts za CCM. Azam pia Itaonesha...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wanajamvi..... Nimekaa chini na kujitafakari tangu awamu hii ya tano ya Mh Magufuli kuingia madarakani hadi Leo hii naandika haya bado sijapata majibu ya tafakari langu juu ya awamu hii ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu mlisikia Humphrey Polepole Akisema chama kikongwe chenye Ushawishi Mkubwa nchini kinatarajia kufungua chuo kwa ajili ya kunoa makada wake. Nikiwa kama Mwananchi nisiye na chama ninaunga...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Nimesikiliza wimbo wa mwana muziki mmoja nikaambiwa anaitwa Ney. Sikuwa namfaham nilisikilizishwa wimbo wake na mwenzangu mmoja. Ni wimbo wa kisiasa. Nlisikitika kuwa mwimbaji hakuwa mbunifu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nape ni jabali (mwamba) la kisiasa Tanzania. Anapokuwa mezani anazungumza kwa hoja, lugha laini na mwanana ya kumtoa joka pangoni. Anapokua jukwaani anazungumza kwa kupaza sauti ama kusawishi au...
17 Reactions
94 Replies
13K Views
Sio lengo langu kutoa uzi huu kwa kivuli cha kampeni. Najua kuna mengi yanasemwa kuhusu Lowassa ambayo hata mie nakubaliana na baadhi. Hata hivyo, ni vema pia tukayasema ya Magufuli, ili...
13 Reactions
152 Replies
23K Views
Hii itasaidia kuipa nafasi ya kutosha serikali ili ijitafakari kama inataka viwepo au la.
4 Reactions
88 Replies
5K Views
In Summary Only God and the angels know what this CCM government is going to do next, whilst President John Magufuli busies himself at the port of Dar es Salaam miraculously visiting the Port on...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Kesho March 26 Spika wa Bunge atazungumza na Waandishi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal One)
4 Reactions
138 Replies
16K Views
Back
Top Bottom