Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Uchaguzi wa ubunge wa Afrika mashariki kupitia CCM umegubikwa kwa Rushwa .. Wagombea utoa Rushwa kati ya Tshs 2 Milion hadi 5 Milion. Wagombea wanaongoza kwa kutoa takrima ni Ndg Adam Kimbisa na...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Redirect
Kitendo cha Rais kutoa amri ya kiachiwa msanii ney na wimbo wake kuruhusiwa kupigwa ni funzo tosha kwa 1:Polisi Aikuchukua muda mrefu mukamtia ney mikononi na kumleta Dar sasa Rais anataka mutumie...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna Mijitu mijinga Jinga Kama Joshua Nassari wakati Lema akiwa Ndani kwa amri ya Maonevu ya Magufuli yeye yuko akijipitisha Pitisha Mananilii na Akina Magufuli na Majaliwa, Basi Mpuuzi akakubali...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nikiri kusikitishwa na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG) aliyoiwasilisha leo kwa Rais Magufuli. Kipande kilichonisikitisha hasa ni kile kinachoihusu TANESCO. CAG Prof. Mussa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kesho inabidi Rais Magufuli amuombe msamaha mwanamuzi Ney kwa kitendo kilichofanywa na watu waliochini ya mamlaka yake na kumsababishia Ney usumbufu mkubwa kwake yeye binafsi na familia yake...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
*Yah. RC Makonda na Masahibu* Ukweli utabakia kuwa ukweli, hapa tatizo sio vyeti! Tatizo ni kuwashika pabaya watumiaji na wauzaji wa Madawa ya kulevya. Maana aliwahi kuwa Rais wa vyuo vikuu...
13 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Zamani nilikuwa navutiwa sana na mwanasiasa machachari, msomi, mwenye kujiamini na mdhubutu kusema na kusimamia anachokiamini. Huyu si mwingine ni mhe. Zitto kabwe. Zitto kabwe alikuwa akianza...
6 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
HATUA 12 ZA BUNGE KUMUONDOA RAIS MADARAKANI. SEHEMU YA I: UTANGULIZI. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kisheria na kikatiba lina mamlaka ya kumuondoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
Replies
Views
Wote hawa wamepata umaarufu kwa kumtukana Lowassa.Jamani hawa jamaa in wajanja.Wanatuchezea akili zetu.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikichukua mfano kutokea Indonesia wao kufikia mwaka 2020 wameingia mkataba wa ujenzi wa copper smelter plant 2 na inaenda kugharimu kiasi cha $4 billion hii ni taarifa ya maofisa wa serikali...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA(TANESCO) TAARIFA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA UMEME - KIGAMBONI Shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wote Wilaya ya Kigamboni kuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Serikali lazima ijitazame sasa,hii siyo picha nzuri kiuongozi! 1.Jeshi la polisi linakamata(wizara ya mambo ya ndani),Baraza la sanaa la taifa linafungia(wizara ya habari,utamaduni,sanaa na...
16 Reactions
35 Replies
3K Views
Nilipata kusema wakati nachangia uzi fulani kwamba, kama rais anahitaji kupata front page basi itamlazima kufanya matukio yanayohitajika na watumiaji wa habari na hivyo kupelekea magazeti...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Mh.naomba utupe feedback juu ya agizo lako la kutaka mtu aliemnyoohea Nape bastola akamatwa na kuhojiwa kutokana na kitendo kile. Sitarajii ingechukua hata masaa kumkamata na kumuhoji huyo mhusika.
2 Reactions
30 Replies
3K Views
The Tanzania government has imposed a TZS 1,000 monthly charge on Sim cards. According to the Mobile Operators Association of Tanzania (MOAT) the monthly charge which took effect on 01 July...
5 Reactions
432 Replies
40K Views
Yule bwana mwingine alikuwa mpole sana hadi akaitwa 'dhaifu'. Yeye alikuwa hatengui tengui teuzi zake. Yeye ilikuwa mtu akipwaya sana anapewa muda mwingi wa kujirudi. Hali hiyo ilipelekea yeye...
56 Reactions
346 Replies
21K Views
..........................
0 Reactions
3 Replies
719 Views
Serikali yasema imeanza mchakato wa kununua meli mpya itakayotoa huduma ndani ya ziwa Victoria. Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewahakikishia wananchi katika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Licha ya vita iliyoanzishwa na mkuu wa mkoa kisha Rais kumteua kamishna wa kupambana na madawa hayo, biashara ya madawa ya kulevya bado imeshamiri Dar, mateja bado wananunua dawa hizo japo wanadai...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom