Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Aliye wahi kuwa Mbunge wa Jimbo la uchaguzi Kyerwa mkoani Kagera kupitia chama cha Tanzania Labor Party na mgombea wa ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA Ndugu Benedict Mutungirehi amehama...
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maafisa wa serikali walioongea na gazeti la The Guardian.Maafisa hao wameseme serikali itaweka wazi aina ya ndege na price tag ya ndege hiyo. Pitia hii link kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeudhika sana baada ya kutazama video yako ukiwa bandarini na nimeudhika sana kukuona uko stressed na kutopewa majibu ya kueleweka. Inonekana subordinates wako (kuanzia PM wako, waziri wako na...
14 Reactions
65 Replies
6K Views
Sifa kubwa za Rais Mgufuli ni decisive lakini hili la utata wa majina pamoja na yeti vya huyu RC wa Dar sasa linatia kichefu chefu na inampakazia mpaka Rais mwenyewe ambaye ndiye aliyemteua...
12 Reactions
62 Replies
9K Views
#KutokaDodoma Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) Tundu Lissu amesema Chama Cha Wanasheria Tanganyika kwa wataipeleka serikali mahakamani kwa kuongeza kiasi cha asilia 15% kinyume cha...
19 Reactions
122 Replies
9K Views
  • Redirect
Mwenyekiti CCM ashangaa kutajwa cheti feki cha kidato cha nne wakati hakusoma Matokeo ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma yameibua mapya mengine. Hiyo inatokana na mwenyekiti wa CCM...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenyekiti CCM ashangaa kutajwa cheti feki cha kidato cha nne wakati hakusoma Matokeo ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma yameibua mapya mengine. Hiyo inatokana na mwenyekiti wa CCM...
1 Reactions
Replies
Views
Baada ya majina ya awali ya Lawrence Masha na Ezekiah Wenje kukataliwa bungeni katika kinyang'anyiro cha ubunge wa Afrika Mashariki (EALA) kupitia Chadema, hatimaye Chama hicho kimekubali kuweka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Binafsi nimekuta jina LA aliyekuwa boss ofisi fulani. Jamaa alikuwa na majigambo na kiburi na nyodo kibao. Alikuwa mbaya sana kwa watumishi wadogo, akinyanyasa wadada waliomgomea rushwa ya ngono...
3 Reactions
Replies
Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Vyuo na Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Arusha tumekuwa na Katibu NEC Itikadi na Uenezi ndugu Humphrey Polepole ambaye amekuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na utendaji mbovu na pia kukosa msimamo kwa sababu ya maslahi yao binafsi wasomi wa Tanzania wamekuwa mfano mbaya sana kwa jamii yetu tofauti na wasomi wa nje. Jambo hili limesababisha...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Swali hili linamuendea Mbowe akiwa kama KUB na muwakilishi mkuu wa maoni kinzani au mbadala dhidi ya serikali. Je, Mbowe yuko tayari kutetea ukaguzi wa vyeti kwa wanasiasa? Je, Mbowe yuko tayari...
8 Reactions
154 Replies
8K Views
  • Redirect
Wadau Habari! Kama tunavyojua Mara zote Binadamu ni Kiumbe Mbinafsi, Dhaifu, Wala hayuko Sawa muda wote kwa 100% (Not Perfect)na mwenye kuonea. Katika Zoezi lililoisha hivi karibuni la Uhakiki wa...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa miaka mingi sana kumekuwa na ukakasi wa madaktari bingwa kupandishwa madaraja yao ya mshahara pindi wanapotoka masomoni. Hawa ni madaktari ambao waliajiriwa kazini wakiwa kama Registrars au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Najua wengi wenu hivi sasa mnapita katika kipindi kigumu sana cha maisha yenu maana wengine mna familia zinazowategemea,wengine mnauguza wagonjwa majumbani na mahospitalini,wengine mnalea wazee...
4 Reactions
Replies
Views
Waziri mwenye dhamana na mambo ya Uchukuzi,Mh.Prof Mbarawa Makame,amesema serikali imeamua kununua rada nne na kuziweka sehemu tofauti ili kuweza kulinda anga la Tanzania ili kuweza kuongeza...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Habarini. Toka enzi na enzi, kumekuwapo na security kubwa sana kwenye kazi za serikali. Ukishaajiliwa, una uhakika wa kufa nayo au wewe mwenyewe uamue tu kuachana nayo. Ilikuwa ukiomba kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
  • Redirect
kwakweli kunakitu cha kujifunza kwani inauma sana kwa wafanyakazi waliofukuzwa kwahi kunawengine walikua tayali wakokalibu kustafu lakini ndo hivo je wafanyaje serikali hapo inapaswa...
0 Reactions
Replies
Views
Kumbe saula la elimu bure linachukua kiasi kikubwa sana cha pesa. Gharama za uendeshaji ni kubwa mno. Hii inaweza kuwa ni chanzo kikubwa cha upotevu wa pesa kwa Raia tunaouona sasa. Kama serikali...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nchi yetu ingekuwa na utawala wa sheria huyu mhuni na jambazi angekuwa lupango saa hizi, lakini sheria zinapindishwa huyu mhuni jambazi hataguswa. Nchi inaelekea mahali pabaya sana.
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom